KAUDO
Senior Member
- Aug 10, 2011
- 138
- 67
Kikao cha Halmashuri kuu ya CCM Wilaya ya Bukoba kinaendelea ukumbi wa St Francis, mjadala unaoendelea ndani na nje ya ukumbi ni mpango wa kupitisha azimio la kumvua Umeya DK Anatory Aman kufuatia mgogoro unaofukuta kati ya Dk Aman na Kagasheki.
Ili kufanikisha mpango huo Kagasheki yuko Bukoba kwa siku tatu zilizopita akifanya vikao vya siri na wajumbe wa mkutano huo. Baadhi ya vijana waliodaiwa kutaka kukabidhi kadi baada ya azimio hilo kupita wametimuliwa eneo la mkutano kama ilivyokuwa kwa waandishi wa habari.
Baadhi ya maswali yanayohojiwa nje ya ukumbi ni kama kweli kikao hicho kina ubavu wa kufanya hivyo................endelea kusubiri