Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni aibu kwa viongozi wakuu wa taifa ili na wale wahusikao na idara ya usalama wa raia kushindwa kuelewa nchi hii inapoelekea kiusalama,mauaji yafanywayo na polisi dhidi ya raia na viongozi wa nchi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
na Ali Lityawi, Kahama MKUU wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya na Diwani wa Kata ya Ngogwa, Kamuli Mayunga, wameingia katika malumbano makali wakituhumiana kujipatia kitu kidogo katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo CHADEMA kimevunja rekodi katika mji mdogo wa Tunduma baada ya maelfu ya wakazi wa mji huo kuhudhuria kwa wingi mkutano wa hadhara uliohutubiwa na mbunge wa Musoma Mjini Mh. Vincent Nyerere...
2 Reactions
13 Replies
6K Views
Viongozi wa CCM mkoa Njombe wakishirikiana na makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Phili Mangula ( wa pili kulia ) kuwaongoza wanachama wapya wa CCM zaidi ya 600 waliojiunga na CCM jana wakati wa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wazungu tuliwaondoa 1961 kwa kuwa walikuwa wanachukua maliasili zetu,lakini leo ndio wanamiliki njia zote za uchumi madini wanamiliki wao.Wazungu walikuwa na matabaka katika kutoa elimu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanabodi, Sasa inaonekana dhahiri kwamba CCM Kama chama cha siasa kimekwishakufa. Imebakia CCM inayoishi kwa nguvu ya dola kwa sababu CCM imekwishapoteza ushawishi wake kwa umma wa wakulima...
5 Reactions
59 Replies
5K Views
Excerpt from the report… TANZANIA Christians: 61.4% Muslims: 35.2% Folk (Traditional) Religions: 1.8% Unaffiliated: 1.4% Hindu: 0.1% Buddhist: < 0.1% Other Religions: < 0.1% Jewish: <...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yanayo tokea CHADEMA kwa sasa wana siasa tuliyatarajia. Haiwezekana kabisa kukawa na utulivu katka chama chenye uongozi wa majimbo kalibu 200. Chama chenye wabunge 48. Chama chenye halimashauri za...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
WAZANZIBARI wamezidikudhihirisha kuwa muhimukwao kwa sasa ni juu yamadai yao ya kutambuliwakama nchi na dola kamilikwanza na wala sio la ainaya katiba. Hayo yameendeleakujitokea mbele ya TUMEya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau kama kuna mtu ana picha za mkutano wa dr slaa leo, TARAKEA, apost maana nasikia ilikuwa balaa
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Bw. NICHOLAUS PIUS MWINUKA ambaye ni Mmoja kati ya walemavu wawili waliopatiwa msaada wa baiskeli kutoka kwa mbunge Deo Filikunjombe . Jina la mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naibu katibu mkuu Bara chama cha NCCR Bwana Laurent Sarumbu Tara ambaye pia ni diwani wa miaka yote kupitia NCCR toka mageuzi yalipoanza na aliyekuwa mgombea ubunge katika jimbo la Babati...
11 Reactions
105 Replies
9K Views
Hii ndio sababu ya Dk. Slaa kuandamwa na vijana hawa. Masalia ya Zitto yapukutishwa CHADEMA Alfred Lucas's picture Na Alfred Lucas - Imechapwa 01 June 2011 Printer-friendly version...
0 Reactions
4 Replies
974 Views
Maisha ya uongo, uzushi, uchonganishi na fitna ameamua kuachana nayo rasmi, nasi tunamkaribisha nyumbani kwa baba kwani baba anahuruma na upendo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya jaribio la kufa na kupona la mwenyekiti wa CCM kutaka kumng'oa mwenyekiti wa Kijiji Kwa-Sadala; hatimaye Novatus Makunga kafanikisha. Mwenyekiti huyo wa CCM ambaye anasemakana kuwa...
1 Reactions
84 Replies
9K Views
Mwaka 2005 wakati Kikwete anaahidi kutengeneza ajira milioni moja mimi binafsi nilikuwa sina kazi, ilinichukua mwaka mmoja zaidi baada ya hapo kupata kazi, hivyo nacount kwamba Kikwete alitekeleza...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Yaani ni uozo kabisa kwa mnaokaa na kufanya kazi huko mnaweza kutuambia kama kuna ufanisi wa aina yoyote lakini bado uozo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana Bodi Heshima kuu Kwa muda sasa nimekuwa nikifuatilia mtifuano unaoendelea ndani ya Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) ukianza na mikiki mikiki ya uchaguzi wake, uhasama uliojengeka baada...
15 Reactions
32 Replies
3K Views
Leo ni leo kusuka ama kunyoa Court of Appeal, DAR kuhusu RULING ya pingamizi zilizotolewa na upande wa mjibu rufaa! Updates.. Ruling tayari, mapingamizi 2 yametupwa, moja limekubaliwa...
14 Reactions
309 Replies
27K Views
Back
Top Bottom