Side comments: Zitto in JF Exclusive Interview on the 22nd of November, 2012


Status
Not open for further replies.
JamiiForums

JamiiForums

Official Robot
Joined
Nov 9, 2006
Messages
5,105
Points
2,000
JamiiForums

JamiiForums

Official Robot
Joined Nov 9, 2006
5,105 2,000
T

true

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2011
Messages
506
Points
225
T

true

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2011
506 225
Tayari mahojiano yanaendelea,, na Zito amejibu swali la kwanza kuhusu Zito ni nani?
 
Ben Mugashe

Ben Mugashe

Verified Member
Joined
Oct 9, 2008
Messages
992
Points
250
Ben Mugashe

Ben Mugashe

Verified Member
Joined Oct 9, 2008
992 250
AshaDii ongeza speed kidogo maana internet yenyewe ya tigo tunatumia na umeme wa Tanesco nafikiri kila mtu anajua jinsi gani hawana uzalendo hao Tanesco na tigo
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,673
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,673 2,000
Sijaelewa wakuu, inamaana yale maswali tuliyouliza kwenye uzi wa AshaDii wa wiki iliyopita ndio Zitto atayajibia hapa au tuulize maswali upya?
 
Rejao

Rejao

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
9,242
Points
1,500
Rejao

Rejao

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
9,242 1,500
Nipo interested kupata majibu ya kuanzia swali la tatu mpaka sita. Swali la 4 zaidi!!
 
Rjohn

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
616
Points
225
Rjohn

Rjohn

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
616 225
yep! ninaham kubwa sana na majibu ya mheshmiwa
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,917
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,917 2,000
hili swali la pili mimi nimelipenda kwa sababu lina hoja jya kimsingi. yaani kuonesha tofauti za kiitikadi kati ya chadema na ccm?au kuweka wazi ikiwa tofauti ni za kiutendaji tu na si kiitikadi.
 
Ta Muganyizi

Ta Muganyizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
5,269
Points
2,000
Ta Muganyizi

Ta Muganyizi

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
5,269 2,000
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
738
Points
0
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined Jul 20, 2011
738 0
Invisible

Invisible

Admin
Joined
Feb 11, 2006
Messages
9,099
Points
2,000
Invisible

Invisible

Admin
Joined Feb 11, 2006
9,099 2,000
Zitto

Zitto

MP Kigoma Urban
Joined
Mar 2, 2007
Messages
1,334
Points
2,000
Zitto

Zitto

MP Kigoma Urban
Joined Mar 2, 2007
1,334 2,000
Mh Zitto ni kwa nini mikataba ya madini kwa Tanzania ni siri wakati wenzetu Botswana inatangazwa wazi kama tulivyoona kwenye thread hii? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/356118-mkataba-wa-uchimbaji-wa-almasi-kati-ya-botswana-na-muwekezaji-vs-wa-tanzania-na-wawekezaji.html
Haya ndio mambo tutakayoyafanyia mabadiliko makubwa sana. Tunataka mikataba yote iwe wazi. Ndio maana wakati wa sakata la Buzwagi, mimi binafsi niligawa mkataba wa Buzwagi kama njugu kuonyesha kuwa usiri haufai. Hapa JF tuliweka Mkataba wa Buzwagi. Naomba Max autafute na kuuweka tena watu waone. Usiri ni chanzo cha rushwa
 
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
738
Points
0
Godlisten Masawe

Godlisten Masawe

Verified Member
Joined Jul 20, 2011
738 0
Majibu ya sera ya majimbo CDM nimeipenda, ikitekelezwa kuna mikoa itanufaika na rasilimali ilizonazo, kusini wanaonewa sana ila naona sera ya majimbo itawaokoa hasa kipindi hiki baada ya kugundulika kuna utajiri mkubwa wa mafuta na gesi
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,072
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,072 1,500
Yaani hapa kaburu kanibana lakini siondoki ng'o
Niko kidaku zaidi, si unajua inabidi tujipange?

Naona ndio unaibuka!! Mambo yashakwiva tayari.
 
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Messages
36,072
Points
1,500
Kongosho

Kongosho

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2011
36,072 1,500
Mie ni mwanasiasa wa nyumbani kwangu

Nahutubia watoto na hg na shamba boy :)

Na wewe una mpango wa kuingia kwenye siasa? Kila mtu sasa naona anaona njia raisi ya kuimarika kiuchumi ni kuingia kwenye siasa.
 
Rejao

Rejao

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
9,242
Points
1,500
Rejao

Rejao

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
9,242 1,500
Mie ni mwanasiasa wa nyumbani kwangu

Nahutubia watoto na hg na shamba boy :)
Mmmh...ngoja turudi kwa Zitto. Bado nasubiria majibu ya maswali yangu!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,295,821
Members 498,405
Posts 31,224,257
Top