Anna Makinda tuandalie majibu haraka!

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,589
2,000
Kwakuwa aliyetoa hoja kuwa waziri mkuu Pinda alilidanganya bunge kuhusu mgogoro uliosababisha mauaji ya wananchi pamoja na mkenya mmoja amerudishwa bungeni rasmi baada kushinda rufaa kwenye mahakama ya rufaa tz, Spika Semamba auweke ushahidi wa Kamanda Lema hadharani kwani watanzania tunauelewa ukweli ambao ndio aliusema Lema na Peter Kayanza Mizengwe Pinda alidanganya.

HATUHITAJI PROPAGANDA BUNGENI.

Wananchi mnasemaje!
 
Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,264
2,000
CCM kila kitu ni moto, Lema kuwa nje imewapa shida, anarudi wanakwenda poteza waziri mkuu.
 
MTK

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
8,659
2,000
Kwakuwa aliyetoa hoja kuwa waziri mkuu Pinda alilidanganya bunge kuhusu mgogoro uliosababisha mauaji ya wananchi pamoja na mkenya mmoja amerudishwa bungeni rasmi baada kushinda rufaa kwenye mahakama ya rufaa tz, Spika Semamba auweke ushahidi wa Kamanda Lema hadharani kwani watanzania tunauelewa ukweli ambao ndio aliusema Lema na Peter Kayanza Mizengwe Pinda alidanganya.

HATUHITAJI PROPAGANDA BUNGENI.

Wananchi mnasemaje!

UONGO WA KAYANZA PETER PINDA ULIKUWA MOJA YA SABABU ZA KUISHINIKIZA MAHAKAMA KUTENGUA UBUNGE WA GODBLESS JOHN LEMA ILI ANNA SEMAMBA MAKINDA ASILAZIMIKE KUTOA VIELELEZO VYA GJL NA WAKILI TL; sasa Ni GJL na spika semamba uso kwa uso mjengoni; sijui atakuja na kisingizio gani kukwepa kutoa maelezo na umma wa watanzania unataka kusikia hatima ya swala hilo.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,589
2,000
UONGO WA KAYANZA PETER PINDA ULIKUWA MOJA YA SABABU ZA KUISHINIKIZA MAHAKAMA KUTENGUA UBUNGE WA GODBLESS JOHN LEMA ILI ANNA SEMAMBA MAKINDA ASILAZIMIKE KUTOA VIELELEZO VYA GJL NA WAKILI TL; sasa Ni GJL na spika semamba uso kwa uso mjengoni; sijui atakuja na kisingizio gani kukwepa kutoa maelezo na umma wa watanzania unataka kusikia hatima ya swala hilo.

Wakidhani tunatania wajidanganye kupiga bla bla hili jambo bungeni, tunawasubiria kwenye mikutano ya hadhara ambayo wameagizwa lazima waifanye kutuelezea mafanikio ya ki-ccm.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom