ORODHA YA UFISADI NA UZEMBE TANESCO AWAMU YA KWANZA NA MWITO WA KUTOA MAONI KUHUSU KUSUDIO LA KUPANDISHA BEI YA UMEME KWA MARA NYINGINE
Shirika la Umeme (TANESCO) linakabiliwa na...
je wadau baada ya Lema kushinda kesi na kurudishwa kuwa mbunge wa Jiji la Arusha, je atahitajika kuapa tena mara ya pili, au kiapo chake cha awali kitaendelea?
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Nape Nnauye ameeleza haya juu ya kuwepo kwa madai mbalimbali kuwa CCM inalenga kumdhohofisha Dr Slaa, madai ambayo hapa JF pia yapo kupitia...
Na Mwanahalisi
Masalia ya Zitto yapukutishwa CHADEMA
Na Alfred Lucas - Imechapwa 01 June 2011
Printer-friendly version
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ililazimika...
Kwa mujibu wa Prof. Muhongo shirika la ugavi wa umeme litaundwa upya ifikapo mwakani. Pia litagawanywa na kuwa na mashirika mawili ama matatu. Source TBC_ccm taarifa ya habari saa mbili usiku
NDG, WANAJF
Naomba tujadili kuhusu Mchango na Mgawanyo wa Mapato ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:
1. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 (TOLEO LA MWAKA 2005), ibara ya 133...
Ni dhahiri sasa Mahakama,kama Mhimili wa Kutoa Haki Tanzania,imechoka kutumiwa na Serikali na chama tawala kukandamiza demokrasia nchini Tanzania.Imechoka kuwa kichaka cha hujuma juu ya...
Source star tv
Katika hali inayoelekea kumwandama Dr. Slaa makamu mwenyekiti wa CCM bwana Lutabana ameamua kumlipia ada hadi mwaka 2014 na huku meya wa jiji la mwanza akijinadi kuwa yeye ni meya...
Dear Mbwazoba,
Kwanza kabisa nakupa hongera kwa kazi yako unayoifanya humu JF bila kuchoka, bila kujali unaifanya kwa manufaa yako binafsi au ya chama.
Thread zako karibia zote, zinaonyesha una...
Awali ya yote nawaomba Mods wasiuunganishe huu uzi wala kuuhamisha hapa. Lengo la huu uzi ni kudhihirisha ujungu kuu wa JF. Hivyo, hapa nitarejesha nyuzi mbalimbali za miaka kadhaa nyuma iliyotoa...
Unajua kila lililopangwa kwa haki hutimia.
Leo hii nimeona Watanzania wenzangu wanayo furaha kubwa sana baada ya Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kurudishiwa ubunge wake baada ya kunyang'anywa...
Na Charles Charles
KUZUNGUKA huku na huko kwa CCM ni kutuiga sisi. Tumeanza muda mrefu baada tu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, ndivyo anavyosema Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na...
SALAM KWA RAIS WANGU MPENDWA…..MTWARA KUNA TATIZO.
Na Baltazar B.komba.
Nianze kwa nukuu za jumbe kutoka kwa ndugu zangu na rafiki zangu wa Mtwara jumbe hizi zimezagaa katika simu za...
Kesho jiji la Arusha na viunga vyake litalindima baada ya mbunge wa Arusha kamanda Lema atakapowasili ndani ya jiji lake la Arusha, mapokezi yataanzia uwanja wa ndege KIA, naomba makamanda...
Ushindiwa G. Lema ulikuwa dhahiri tangu awali. Licha ya kubadilisha majaji, kuhamisha mahakama kutoka Arusha kwenda Dar na kupeleka mbele siku ya kutoa maamuzi licha ya shauri kusikilizwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.