Hoja yangu | Na Lula wa Ndali Mwananzela | Raia Mwema | Toleo la 273 | 19 Dec 2012
KWELI tunaweza kukilaumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapoamua kuanzisha na kuendeleza mashambulizi dhidi ya...
Waandishi wetu
KATIBU mkuu wa Chadema, Dk Willbroad Slaa amesema chama hicho kinasubiri kupokea taarifa ya mgogoro unaofukuta ndani ya chama hicho mkoani Katavi na kusababisha Makamu Mwenyekiti...
Ndugu wana JF,
Kwa upande wangu nimemchagua ndugu JJ MNYIKA kuwa mwanasiasa wangu wa mwaka 2012 kwa kuwa ameonyesha ukomavu wake mkubwa kwenye siasa na kuwafikia wananchi wake kwa karibu na...
Ndugu zangu,
Watanzania tuna usemi usemao "Mungu hamfichi mnafiki". Usemi huu umethibitika kupitia malumbano ambayo yamekuwa yakiendelea kwa siku kadhaa hapa JF. Kwa muono wa haraka haraka...
Wana Bodi.
Rais wetu amekuwa na ratiba nyepesi sana. Hebu tuangalie jinsi Rais wetu anavyotumia muda wake kila siku kama kiongozi wa Dola,Serikali, Mwenyekiti wa CCM, baba wa familia labda pengine...
Hapa Tanzania kwasasa kuna vituo vingi vya television vya binafsi na serikali lakini kutokana na kukosekana maadili ya uandishi vingine vimejeuka genge la ubaguzi kwa sababu wanazozijua ikiwemo...
Kilichojiri kwenye kipindi cha tuongee star tv ambacho kilimwalika mh.Lukuvi waziri wa sera na uratibu kwa shughuli za bunge kilinifanya nishindwe kujua kama tatizo la viongozi wetu ni ombwe la...
Ingawapendekezo la kutaka katiba iseme wazi kuwa wabunge watakaofanya madudu wapigwe bakorailipotolewa haikushabikiwa, ina ukweli kama si suto kwa wakubwa zetu. Jewanajamvi ingekuwa inawezekana...
Wadau,
Nadhani Mungu yupo nasi. Kwa muda kiasi CCM wameiweka CHADEMA kwenye migogoro ya kipuuzi kwa kuwatumia vijana kadhaa waliowanunua na hatimaye kujaribu kuisumbua CHADEMA kwa migogoro ya...
CCM kama chama kikongwe hakitarudisha imani ya wananchi ati kwa kuendesha propaganda zisizo na mashiko dhidi ya CHADEMA. Dawa ni kuacha yale wanayoyachukia wananchi (ufisadi, mfumuko wa bei...
Salaam wana JF,
Ndugu zangu naomba kuuliza swali moja hapa jamvini, "Hivi hivi vyama vingine kama vile NCCR, CUF,TLP na vingine hawana mabaraza ya vijana?Maana tumeisikia BAVICHA ya Chadema na...
Miezi michache iliyopita nilisikia taarifa zisizo rasmi kuwa Justice Rwakibalira alikimbwizwa India kwa matibabu ya ugonjwa wa ajabu uliompata. Baada ya hapo sijapata habari zake tena. Binafsi...
Fri, Dec 21st, 2012
Tanzania |
Norwegian energy firm Statoil found more gas offshore Tanzania, its third discovery in the country this year, putting it closer to having the resource needed to...
Muda mfupi baada ya kutangazwa na Mahakama ya Rufaa ya Dar es salaam,nakumrudisha Godbless Lema,kuwa mbunge halali wa jimbo hilo.
Hivi sasa hali ya jiji la Arusha baadhi ya maeneo ni shamrashamra...
Wakuu, nimejaribu kufuatilia viongozi wa CCM na wafuasi wa CCM kwenye mitandao. Lakini sijaona hata mmoja akionyesha kufurahia Ushindi wa Kesi dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini Ndugu...
Wimbi la kushindwa kwa CCM katika kesi kadha za uchaguzi ulitokana na kauli ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Yusuf Makamba pale baada tu ya uchaguzi wa 2010 alipotangaza kwamba wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.