Katika siku za karibuni husani mwaka 2000-2010 wanaharakati wamekuwa wakipiga kelele jinsi mataifa ya nje yanavyoshirikiana na baazi ya viongozi wasio waaminifu kuhamisha rasilimali za nchi kutoka...
Wananchi wa Mufindi tunaomba M4C mje Mufindi maana tangu ratiba ilipoharibiwa na polisi siku walipomuua Mwangosi tunaona kimya.
Mufindi ni mojawapo ya wilaya yenye maliasili nyingi lakini wakazi...
Wiki iliyopita mzee wetu Makamba alikurupuka kama kawaida yake na kutoa tamko la kuwaasa vijana kuacha kujiunga na vyama vya upinzani kwa madai kuwa hawafanyi utafiti.
Karibia wiki sasa nimekuwa...
TANZANIA imeunga mkono tamko la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) la kutaka kufanyike uchunguzi wa kina kuhusu ujangili wa Tembo ambao umekuwa ukikihusisha kikundi cha Lords Resistance...
WANA-JF,
Hii habari niliitoa wiki jana lkn iliondolewa mapema sana. Naomba niwatoe wasiwasi mods kuhusu uhakika wa hiki ninachoandika. Ni kweli kabisa na wala sibahatishi, kwani vyanzo vyangu vya...
SIKUOGOPA NILIPOONA MWANAJESHI ANAPIGA PICHA NA MIMI - GODBLESS LEMA.
Jana ilikuwa ni sikukuu ya Noel , nilikuwa kijijini kwetu hivyo sikupata fursa ya kusoma habari za magazeti na vyombo...
Hivi sasa dunia inawaka moto chini ya dhana ya kutekeleza demokrasia. Afrika inaongoza kwenye vita ya 'kueneza' demokrasia. Mabilioni ya dollar yanatumika kwenye chaguzi anbazo huzalisha wezi wale...
Unajua Watanzania Tumezidi Ujinga sana, Yaani tunapelekwa pelekwa tu Kama misukule flani Na tunaridhika kabisa tu.. Jambazi, Mwizi wa Mali ya Umma, mdhulmati mkubwa, Bado anakumbatiwa tu Na...
Wakuu hatuna budi kumpongeza RPC wa mtwara kwa kuruhusu kufanyika kwa maandamano leo huko mkoani Mtwara.Ni hatua nzuri inayoonjesha uwajibikaji kwa mujibu wa sheri na kanuni za nchi.Ni ma-RPC...
27 DECEMBER 2012
ZANZIBAR'S real Gross Domestic Product (GDP) grew by 10 per cent in the quarter ending September 2012 compared to a growth of 1.4 per cent of the corresponding period...
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini hivi karibuni alijikuta akirushiwa lawama kwa kusema kuwa mbwa ni ustaarabu wa wazungu. Maneno haya yalizusha hasira kiasi cha kuhitaji maelezo zaidi baada ya...
Walimu wamenyanyaswa kwa muda mrefu.........wakipelembeshwa huku na huko kwa kunyimwa stahiki zao na mishahara midogo, wakigoma wanarudi kwa kutishiwa tofauti na Kenya. Mara ya kwanza nilihisi...
Hii nimeipata kwenye mwanannchi ya leo 24/12/2012.
Mbunge wa Arusha Mh. Lema amesema ilipokutana na Mwanasheria mkuu wa serkali Fedrick Werema alimwambia nanukuu "Tuliamua kukuvua ubunge ili...
Mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM, kutoka wilaya ya kichama ya Kibaha vijijini bwana BRETA ameshikana mashati na wajumbe waliohudhuria katika kikao alichokiitisha katka kata ya Mlandizi...
DEC25 2012
WIKI iliyopita rafiki yangu kutoka Fiji aliniletea jarida moja lenye picha za kihistoria ya kumbukumbu ya ubaguzi kule Marekani enzi za ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa mtu...
Habari zenu wana JF,Na hongereni kwa kusheherekea sikukuu ya Christmass! Nimepigiwa simu na rafiki yangu aliyepo Songea,kaniambia kwamba mbunge machachari wa Singida Mashariki Tundu...
Tanzania Iran tried to import uranium from DR Congo
(AFP)
6 August 2006
Iran tried to import uranium for its nuclear programme from the Democratic Republic of Congo, but the shipment was...
Mwigulu Nchemba:
Ushindi wa Lema, siyo kwamba anaakili sana au chama chake kina maarifa sana yaliyosababisha ushindi, ila ni kutokana na serikali ya CCM iliyopo madarakani kuheshimu na kujali haki...
​​Wanajamvi, sio kusudi langu kuingilia mtazamo wa mtu yeyote, ila kwa nia ya dhati na uelewa kuhusu uhuru wa kutoa maoni unaolenga kujenga na sio kubomoa, nimeona vema nitoe Ushauri...
Jumuiya ya chama cha wafanyakazi nchini Afrika kusini kimestushwa na utitiri wa wageni toka China kuteka soko la ajira ndani ya nchi ambayo imepiga hatua kubwa za kiuchumi barani Afrika,mstuko huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.