Wakuu tubadilishane maoni.
baada ya nchi zilizounda USA kuungana zilibakia kuwa Majimbo.
Tanganyika na Zanzibar zilikuwa Nchi mbili Huru ziliungana na kujubalika kuwa Jamhuri Moja ya Tanzania
Je...
Tuliona mwaka huu Chadema ikitangaza itasusia TBC taifa kutokana na ku report habari za ki propaganda wengi walishangilia wengine waliona ilikua bad movement huwezi ukawa na uadui na media huku...
Takribani muda wa miezi kama miwili hivi halmashauri ya jiji la Arusha imekuwa ikifukuza na kuwakamata wafanyabiashara za kimachinga kutoka maeneo yasiyo rasmi (mabarazani, pembezoni mwa barabara...
JE!KUNA KITU GANI KILICHOJIFICHA KATI YA MANENO/MATENDO HAYA?
KUHUSIANA NA TAARIFA KUWA CHADEMA ITAINGIA MSITUNI MWAKA 2015
"Nawaambieni, CHADEMA hatutakoma kudai ukombozi wa Watanzania...
Makamanda Godbless Lema na Ole Millya wataanza funga mwaka kwa kuwavua magamba huko kahama kesho na tarehe 29.12.2012 watakuwa Tarime na watamalizia Bukoba...Makamanda huko Kahama kaeni mkao wa...
Tarehe 18/12/2012 nilikuwa natoka Dodoma kuelekea Singida kupitia Kondoa , nilifika kwenye jimbo la Singida mashariki eneo linaloitwa Misughaa kwenye bonde la ufa.
Kwa mshangao mkubwa niliona...
.Amtaja Karume kuchochea vurugu Zanzibar
Na JOHN MALINGUMU
WAKATI malalamiko dhidi ya baadhi ya vigogo wa CCM kupandikiza wagombea wao na kutumia rushwa ili washinde uchaguzi ndani ya chama...
Hii ni kauli ya kidemokrasia inayonichefua sana, hasa wakati wa uchaguzi. Hutokea wakati wa kura za maoni na uchaguzini. Ni nafasi adimu ya magamba kuchakachua na kuanza kuhesabu majimbo. Kila...
Ndugu zangu tuache kuibaka democrasia. Mwenye nia ya kuwania uongozi asiandamwe ili mradi tu, sisi wananchi tumpime kwa uwezo wake.
Kwanini njama za kummaliza Zitto kisiasa zitashindwa!
1...
Makamanda Mimi nawaasa Viongozi wa CHADEMA wajihadhari na Mamluki katika chama. Juzi amejitokeza Mjeshi mjeshi mmoja kapiga picha na baadhi ya Viongozi wetu. Hili ni hatari sana maana watu hawa...
Rais Zuma wa Afrika kusini wakati akifungua mkutano mkuu wa 53 wa ANC huko Afrika Kusini December 16, 2012, alisema, "Ufugaji mbwa haukuwa utamaduni wa kiafrika bali wa kizungu." Aliendelea...
Wadau,huu ni mtizamo na mawaza yangu juu ya namna gani tunapaswa kutizima na hatimae tuweze kulinda image ya chadema.Mtizamo wangu huu ni matokeo ya mvutano unaoendelea ndani ya chama chetu ingawa...
Huu mfuko umekuwa kero kwa watumiaji. Sijui uteuzi wa watendaji wake ukoje ila unanipa shaka.
Nimefika mara kadhaa ktk ofisi zao, majibu yao mafupi hayana mantiki ukihoji zaidi utaambiwa "jibu...
Na Thobias Mwanakatwe
Mgogoro ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha umechukua sura mpya baada ya wajumbe...
Kabla ya kukosoa au kusupport kinachoendelea Mtwara, vyema tukapitia muswada wa sera ya gesi nchini na kuchambua mapungufu yake. Soma muswada huo kupitia kiungo hiki.
Muswada wa Sera ya Gesi nchini
Sisi tunayafumbia macho
A court in Argentina sentenced former economy minister Felisa Miceli to four years in prison Thursday on corruption charges related to a stash of $64,000 found in her...
Serikali naidai malimbikizo ya mishahara yangu, wakubwa wanasingizia hela zipo wilayani
waongo wakubwa, ukiendwa mishahara ofisi za wilaya wanasema wamepeleka majina yanayodai hazina
hii sio...
CCM wapo STARTV sasa hivi na wameanza tangia saa moja jioni wakieleza wananchi maendeleo ya serikali ya awamu ya nne
Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.