Zuma alikoroga!

Zuma alikoroga!

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,711
people-with-their-dogs-part5-13.jpg
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini hivi karibuni alijikuta akirushiwa lawama kwa kusema kuwa mbwa ni ustaarabu wa wazungu. Maneno haya yalizusha hasira kiasi cha kuhitaji maelezo zaidi baada ya kugundua kuwa kuna watu wanapenda mbwa kuliko binadamu hasa Waafrika. Kwa habari zaidi GONGA hapa.
 
Sasa hapo kosa lake ni nini? Si amesema ukweli. Huku afrika ng'ombe, mbuzi, kuku ndio wanadhaminiwa zaidi.
 
Back
Top Bottom