Ujinga sasa basi: Kinana tuoneeni huruma watanzania

TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,085
2,000
Unajua Watanzania Tumezidi Ujinga sana, Yaani tunapelekwa pelekwa tu Kama misukule flani Na tunaridhika kabisa tu.. Jambazi, Mwizi wa Mali ya Umma, mdhulmati mkubwa, Bado anakumbatiwa tu Na watanzania tupo Na nchi ipo??!!? Tumekuwa zombie kiasi gani jamani..

Nchi HII ni Mali yetu sote jamani, Sio Kwamba nakuonea gere Kinana no!, Nchi sisi sote tuna haki nayo Hakuna mwenye hati Miliki Na Nchi hii..Lazima iwe Na Moyo wa Ubinaadamu Hata kidogo jamani, kila kitu umiliki wewe tu HE!! Mbona mlafi hivyo?

Msasani yoote Imejaa Majumba yako, mbali Na Jumba lako kubwa sana karibu Na CHUO Cha Tanesco mahando st lakini Bado Mwaya street imejaa majumba yako, mengine umepangisha makampuni , hivi Kwani nyumba moja haitoshi Kama kiongozi nyingine Na sisi tukajipatia???, bado una viwanja huko huko Msasani Hata hujavijenga hivi sisi turithi Nini mbona mnatuonea hivyo.

Sisemi Kwa Ubaya lakini Kwani kuchelewa kuzaliwa ndio zambi kubwa yetu kiasi tukose pahala pa kuishi?

Basi ni Heri Hata ungewapatia wanao wakae Kwenye majumba hayo lakini wapi, wanao watatu Samira, Hamza Na Yasin wote umeshawatoroshea Kanada, umeshawajengea huko wanakula bata Mwanzo-Mwisho, bado hatujaongelea Majumba yako huko Arusha anapokaa Yule Kaka yako uliyempiga uchizi, hapo Bado hatujaongelea Bandari yako ya Kuuza magari Temeke, Hapo Bado hatujaongelea Kampuni yako ya kufua nguo zote Za mahoteli makubwa FALCON, hapo bado hatujaongelea umiliki wako makumi ya makampuni hapa Tanzainia Na Meli zake, Hatupingi Mtu kuwa Bilionea this way lakini Kwa kiongozi wa Chama ni mfano gani tunapata..??!!

Hata Kama ukikasirika kuweka mambo yako nje mbona hapa sijaanika ndo naanza, kiongozi lazima uwe mwadilifu Na Mtu asiye Na Uchu Wa Mali this way..

Sasa watanzania tunasimamia rasilimali zetu, Na najua mimi Na wewe ni marafiki Wa Muda mrefu sana ila Mwenzangu dhambi sasa Basi umezidisha mno.. Achia Mali Za watanzania, usipokubali kusalimu amri Mbele ya Watanzania Basi ntakwenda press Conference Na Kutangaza karatasi Kwa Karatazi Ufirauni wako Woote. Kisha freely ntakuruhusu unifanye unachotaka kunifanya, si mmezoea kuua?!?Mie sio Kama Regnald Mengi, unamtisha kidogo anatetemeka, Nunua magazeti yote , Chimba biti Wahariri wakuu Wa magazeti yoote wasiandike habari zako lakini jua Mwisho umesika, Hutaweza, siku hizi kuna so many media to report madudu yenu..

Tuweni wazalendo jamani.. Tuweni wazalendo .. Mungu lazima aibarikia Ardhi yetu..
 
Kanundu

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
889
0
Si ndiyo maana aliteuliwa kuwa Kampeni Meneja wa Mkulu!!! Kwani Mkulu alivyosema "UKIJUWA KULA UJUE LAZIMA KUNA KULIWA" alimaanisha nini?. watu wanaliwa ndiyo maana nao wanakula nchi mwaya!!!!!

Ndiyo maana tuna hsauri CHADEMA iwe na kitengo cha KUMBUKUMBU. Maana hawa wote lazima warudishe mali zetu walizo tuibia wakati wa uongozi wao.
 
zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,841
1,225
huyu kinana ni tajiri mkubwa sana na ukizingatia muda mwingi alikuwa mwanasiasa na mtumishi wa serikalii huo muda wa kufanya biashara aliupata wp na kujipatia mali zote hizo au ndo kodi zetu ? Ngoja uchaguzi ufike alafu tumchane kwenye majukwaa watakiona ngoja muda ufike mwisho wao umefika
 
TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,085
2,000
huyu kinana ni tajiri mkubwa sana na ukizingatia muda mwingi alikuwa mwanasiasa na mtumishi wa serikalii huo muda wa kufanya biashara aliupata wp na kujipatia mali zote hizo au ndo kodi zetu ? Ngoja uchaguzi ufike alafu tumchane kwenye majukwaa watakiona ngoja muda ufike mwisho wao umefika[/QUOTEI
..

Mwizi apewe muda Tena.. NOOOOOOOOOO..!!! Watanzania wasipomtimua Mwizi wa Mali ya uma.. Wakikataa Kwa sababu ya Uoga wao..nadhani.. Nasema tena nadhani Mimi mwenyewe NTAMUONDOA..?
 
Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,594
1,195
Unajua Watanzania Tumezidi Ujinga sana, Yaani tunapelekwa pelekwa tu Kama misukule flani Na tunaridhika kabisa tu.. Jambazi, Mwizi wa Mali ya Umma, mdhulmati mkubwa, Bado anakumbatiwa tu Na watanzania tupo Na nchi ipo??!!? Tumekuwa zombie kiasi gani jamani..

Nchi HII ni Mali yetu sote jamani, Sio Kwamba nakuonea gere Kinana no!, Nchi sisi sote tuna haki nayo Hakuna mwenye hati Miliki Na Nchi hii..Lazima iwe Na Moyo wa Ubinaadamu Hata kidogo jamani, kila kitu umiliki wewe tu HE!! Mbona mlafi hivyo?

Msasani yoote Imejaa Majumba yako, mbali Na Jumba lako kubwa sana karibu Na CHUO Cha Tanesco mahando st lakini Bado Mwaya street imejaa majumba yako, mengine umepangisha makampuni , hivi Kwani nyumba moja haitoshi Kama kiongozi nyingine Na sisi tukajipatia???, bado una viwanja huko huko Msasani Hata hujavijenga hivi sisi turithi Nini mbona mnatuonea hivyo.

Sisemi Kwa Ubaya lakini Kwani kuchelewa kuzaliwa ndio zambi kubwa yetu kiasi tukose pahala pa kuishi?

Basi ni Heri Hata ungewapatia wanao wakae Kwenye majumba hayo lakini wapi, wanao watatu Samira, Hamza Na Yasin wote umeshawatoroshea Kanada, umeshawajengea huko wanakula bata Mwanzo-Mwisho, bado hatujaongelea Majumba yako huko Arusha anapokaa Yule Kaka yako uliyempiga uchizi, hapo Bado hatujaongelea Bandari yako ya Kuuza magari Temeke, Hapo Bado hatujaongelea Kampuni yako ya kufua nguo zote Za mahoteli makubwa FALCON, hapo bado hatujaongelea umiliki wako makumi ya makampuni hapa Tanzainia Na Meli zake, Hatupingi Mtu kuwa Bilionea this way lakini Kwa kiongozi wa Chama ni mfano gani tunapata..??!!

Hata Kama ukikasirika kuweka mambo yako nje mbona hapa sijaanika ndo naanza, kiongozi lazima uwe mwadilifu Na Mtu asiye Na Uchu Wa Mali this way..

Sasa watanzania tunasimamia rasilimali zetu, Na najua mimi Na wewe ni marafiki Wa Muda mrefu sana ila Mwenzangu dhambi sasa Basi umezidisha mno.. Achia Mali Za watanzania, usipokubali kusalimu amri Mbele ya Watanzania Basi ntakwenda press Conference Na Kutangaza karatasi Kwa Karatazi Ufirauni wako Woote. Kisha freely ntakuruhusu unifanye unachotaka kunifanya, si mmezoea kuua?!?Mie sio Kama Regnald Mengi, unamtisha kidogo anatetemeka, Nunua magazeti yote , Chimba biti Wahariri wakuu Wa magazeti yoote wasiandike habari zako lakini jua Mwisho umesika, Hutaweza, siku hizi kuna so many media to report madudu yenu..

Tuweni wazalendo jamani.. Tuweni wazalendo .. Mungu lazima aibarikia Ardhi yetu..

na yule binti yake aitwaye Amina yuko wapi siku hizi?
 
KirilOriginal

JF-Expert Member
Feb 13, 2012
2,157
2,000
...Sisemi Kwa Ubaya lakini Kwani kuchelewa kuzaliwa ndio zambi kubwa yetu kiasi tukose pahala pa kuishi? (neno la hekima)
...Achia Mali Za watanzania, usipokubali kusalimu amri Mbele ya Watanzania Basi ntakwenda press Conference Na Kutangaza karatasi Kwa Karatazi Ufirauni wako Woote (ndiye likula dili na mmiliki wa samaki wa magufuli) ....Kisha freely ntakuruhusu unifanye unachotaka kunifanya, si mmezoea kuua? (usisahau alivyommaliza Lt. Gen Kombe)
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
2,000
Kinana ni jangili..................... halafu unaomba akuonee huruma badala ya kumshughulikia jangili!

Kamata Mwizi Men!!!
 
Mtagingwembe

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
377
195
Kinana mla tembo ama kweli anatisha. Halafu ndiyo Napi anakazana kuiongelea kadi ya ccm baadala ya kuwasuta hawa mafisadi na majambazi wake, nina mashaka na elimu ya Napi, siamini kama ana masters kweli. Kwa nini ashindwe kutofautisha kati kadi ya ccm, tena ya mtu ambaye alishaachana na chama miaka mingi na huyu fisadi mkuu Kinana?
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
34,044
2,000
yote haya yamesababishwa na vuvuzela nape.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Mtagingwembe

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
377
195
Kinana mla tembo ama kweli anatisha. Halafu ndiyo Napi anakazana kuiongelea kadi ya ccm baadala ya kuwasuta hawa mafisadi na majambazi wake, nina mashaka na elimu ya Napi, siamini kama ana masters kweli. Kwa nini ashindwe kutofautisha kati kadi ya ccm, tena ya mtu ambaye alishaachana na chama miaka mingi na huyu fisadi mkuu Kinana?
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500
Mkuu Tamko, umetamka. Asante kwa ujasli na uzalendo. Nasubili kusikia vibaraka wao juu ya tamko lako hapa jamvini.
 
Ally Kanah

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
1,479
1,500
Ni kweli mkuu Babu Padri wetu yeye ni Ngono tu hana tatizo na mtu yaan akiona Demu ute unamdondoka sasa najiuliza akikutana na Biyonce si Babu atauza nchi ili ampata mtoto mzuri
 
TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,085
2,000
na yule binti yake aitwaye Amina yuko wapi siku hizi?
Hapana..
Watoto wake Wa Damu ni hao watatu tu, wako Kanada Na all details we Have .. Wengine ni out-leak Na mapandikizi tu..lakini si nia kuweka upenuni personal life but when it come to the situation like this, Hata Kama ni wewe hutapenda kabisaa..
 
TAMKO

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,085
2,000
Fanya kazi kwa bidii, Mungu atakubariki...

Kazi gani Na wapi.. Embu acheni kutusimanga hivyo mkishapata, nenda kafungue Kampuni Kama huna milioni mbili Bado brela hawajaliona faili lako, Kama Memorundum umeitengeneza mwenyewe mbona utajuuta, hiki Bado, kile bado, karekebishe hapa Yaani utakoma, lakini ukitumia Ze-watuz Na pesa nakwambia ni kitu cha siku moja tu, ukimaliza hapo kasake TIN Na CA kula TRA, utasumbuliwa Mtu unaambiwa upredict mtaji wako Na Kama ukipredict kidogo lakini uctual practice ukawa Na mtaji mkubwa Basi unapigwa penalt, sasa ukisikia ivo lazima uropoke mtaji mkubwa kumbe Ndo umejichomea mwenyewe unanyukwa ma-percent ya nguvu hadi unachanganyikiwa..

Yaani mambo yamepindapinda kila kona nenda kwenye passport Ndo kinyaa kabisaaa.. Watumishi wa kule kila Mtu ana Tigopesa, mpesa line yake, kaisajili Kwa jina jinginee, ukifika lazima akutoe kitu, mara hapa umekosea mie ntakusaidia njoo kesho ila unitumie kidogo Kwenye line yangu ya fedha, Na zote ukizipiga kimsingi zinaita tu hazipokelewi, ukipeleleza majina ya cm hizo wala si wahusika kamili, Yaani Nchi HII ipoipo tu, ukijifanya mkali kumbe from reception hadi huko Kwa mabosi wao ni vikosi vya Uharamia, wote Hawa ni Uzao wa utawala haram. Baba Mwizi mtoto ni kudra kuwa sio mwizi..

SERIKALI HII IMETUFIKISHA PABAYA, tukisema utasikia fanyeni Na nyie Kazi Kwa bidii, tunachambwa tu.. Ole wenu.. Wakukimbiza atakuwa wa kukimbizwa soon Na nyie tutawaambia acheni kulalama fanyeni Kazi Kwa bidii ..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom