TAARIFA KWA UMMA JUU YA MAAMUZI YA BARAZA LA MADAKTARI KUHUSU MADAKTARI WALIOGOMA
UTANGULIZI
Kutokana na mgomo wa madaktari uliotokea kati ya tarehe 23 na 29 mwezi juni 2012.Wizara...
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu siasa hapa nchini nimegundua kuwa kuna wanasiasa wawili tu ndio tishio kwa uchaguzi ujao. Wanasiasa hao ambao wanatoka vyama tofauti ni Dr Slaa wa CHADEMA na...
Diwani wa zamani wa sombetini Mussa Mkanga anayehusika moja kwa moja kufungua kesi ya kupinga matokeo jimbo la Arusha mjini yaliyompa ushindi Godbless Lema anadaiwa kutokomea kusikojulikana...
Serikali tuliyonayo na upinzania tulio nao ndio snapshot halisi ya Tanzania na Watanzania wote yaani wewe na mimi, Mtanzania wa mijini na vijijini. Tumefika hapa tulipo aidha kwa nguvu au kwa...
VIDEO- MANYANYASO YA POLISI KWA WANAKIJIJI WA KENDWA | Mzalendo.net
Jee amiri jeshi mkuu Jakaya Kikwete na Generali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema haya ndio malezi ya Jeshi lao zidi ya raia wa...
Wakimama wakiwa wamelala zaidi ya mmoja kwenye kitanda katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam.Picha na Maktaba
HALI si shwari kwenye wodi za wazazi katika hospitali karibu zote kubwa...
Thursday, December 27, 2012
Na Deodatus Balile, Dar es Salaam
Dhima na muundo wa serikali ya muungano kwa mara nyingine tena vimechochea mjadala mkali miongoni mwa Watanzania wakati Tume ya...
KITAIFA
Na Bakari Kiango
Posted Jumatano,Decemba26 2012 saa 21:54 PM
KWA UFUPI
Mwakyembe alisema bodi hiyo itakuwa na wajumbe wanane na itaongozwa na Raphael Mollel, na amewataka wafanyakazi...
Kuna matangazo ya kipindi kitakachorushwa na ITV kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM.
Nimeamini kabisa ya kuwa hakuna cha kujivunia ambacho CCM na serikali yake imefanya tangu kuingia madarakani...
Maeneo ya wazi ni ruksa kutumika-Wizara ya ArdhiWaziri wa ardhi na Makazi,Profesa Anna Tibaijuka.
KWA UFUPI
Tunajua halmashauri zetu hazina uwezo wa kuyatunza maeneo hayo, maana mengine yameanza...
Hivi jamani naomba tu kuuliza tujuzane, kuhusu historia ya mpaka wa Tanganyika na Zanzibar incase (in worst case scenario) tunavuja huu muungano wetu na kubakiwa na Tanganyika yetu.
Je mpaka uko...
Wadau kata ya Muhange (w) Kibondo ni miongoni mwa kata zinazoongozwa na CHADEMA cha ajabu diwani wake anashirikiana na CCM kwenye ufisadi wa ardhi na wananchi wameshamchoka yeye na chama chake...
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo John Mnyika, ameitaka Serikali kuweka wazi mradi wa miundombinu ya gesi asilia ambayo itahusisha ujenzi wa mitambo ya kusafishia gesi asilia katika mikoa ya Lindi na...
Wakuu,
Tumepatwa na msiba kata ya Makuyuni. Tunaomba mwenyekiti wa halmashauri na Mkurugezi wake wajitahidi kufuata taratiibu za kuitisha uchaguzi ndani ya siku 90 kama ilivyo ada. Wananchi kwa...
Waziri wa Ujenzi Mh. Magufuli amekuwa akipiga kelele kuhusu matumizi ya magari ya serikali kwenye shughuli binafsi. Alienda mbele zaidi na kutangaza mbele ya vyombo vya habari kuwepo na operesheni...
Tangu wanachama wachache wa CHADEMA walipoanza kutuhumiana na kushutumiana kupitia JF watoa maoni mbalimbali mmetoa mwito kwa chama kuchukua hatua na wengine mmehitaji majibu kutoka viongozi...
Wapo wana siasa ambao mimi naamini ndio wana siasa uchwara na mapandikizi ya kuuwa demokrasia hapa Tanzania ambao kila usiku na mchana wanadhani Watazania bado ni wajinga wa kudanganywa kwa maneno...
Nimeona makala nyingi kwenye magazeti na maoni mengi hapa JF watu wakipendeza chama kuwachukulia hatua kundi la masalia. Nakubali ni kundi hatari lakini tayari limejulikana na ni kakikundi kadogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.