Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,695
40,721
Tanzania Iran tried to import uranium from DR Congo
(AFP)

6 August 2006


Iran tried to import uranium for its nuclear programme from the Democratic Republic of Congo, but the shipment was intercepted in Tanzania, The Sunday Times reported, citing a senior Tanzanian customs officer.

A huge shipment of uranium 238 bound for the Iranian port of Bandar Abbas was intercepted on October 22, 2005, by customs officials in Tanzania making a routine check, the officer told the newspaper.

The British weekly also cited a United Nations report, due to be considered by the Security Council, which said there was "no doubt" that a large shipment of uranium 238 was transported from the Lubumbashi mines in the DR Congo.

The customs official said the uranium shipment was found hidden in a consignment of coltan, a rare mineral, which was destined for smelting in Kazakhstan after being transported through Bandar Abbas.

"There were several containers due to be shipped and they were all routinely scanned with a Geiger counter," he said.

"This one was very radioactive. When we opened the container it was full of drums of coltan. Each drum contains about 50 kilogrammes (xx pounds) of ore. When the first and second rows were removed the ones after that were found to be drums of uranium," he said.

"The container was put in a secure part of the port and it was later taken away, by the Americans, I think, or at least with their help. We have all been told not to talk to anyone about this."

The Sunday Times also quoted a source with access to security service assessments as saying that there was "great concern" about Iranian sleeper cells in Britain conducting reconnaissance at nuclear power plants in preparation for a possible attack.

Iran's top nuclear negotiator Ali Larijani said Sunday his country would not suspend uranium enrichment, in a clear rejection of a UN resolution calling for a freeze of the sensitive nuclear work.

Iran insists it wants to enrich uranium only to make reactor fuel for power stations but the United States and other countries suspect Teheran wants the capacity to make weapons-grade uranium.

The UN resolution requires Iran to halt uranium enrichment and other sensitive nuclear fuel work by August 31 or face the prospect of sanctions.

X X X

Now I knw why the Iranians are trying to be so nice to the Tanzanians... this could be our own case of Iran connection!!! Rais aulizwe!! Miye nilifikiri ni Warusi peke yao wanajaribu kupitisha silaha.. Mr. President kanusha hilo....

=====
Dec 2010:
VZCZCXRO1511
PP RUEHMR RUEHRN
DE RUEHDR #1593 2700838
ZNY CCCCC ZZH
P 270838Z SEP 06
FM AMEMBASSY DAR ES SALAAM
TO RUEHC/SECSTATE WASHDC PRIORITY 4811
INFO RUCNSAD/SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY PRIORITY
RUEHSW/AMEMBASSY BERN PRIORITY 0116
RUEHKI/AMEMBASSY KINSHASA PRIORITY 0214
RUEAIIA/CIA WASHINGTON DC PRIORITY C O N F I D E N T I A L DAR ES SALAAM 001593

SIPDIS

SIPDIS

AF/E FOR BYODER, AF/RSA FOR MBITTRICK
ALSO VCI FOR HHEINTZELMAN AND KWALKIN

EO 12958 DECL: 09/27/2016
TAGS PTER, PINR, IAEA, PGOV, CG, TZ
SUBJECT: URANIUM IN DAR COMMON KNOWLEDGE TO SHIPPING
COMPANIES, PER SWISS DIPLOMAT

REF: A. DAR ES SALAAM 01376 B. UNVIE VIENNA 00601 C. KINSHASA 01309

Classified By: Charge d'Affaires D. Purnell Delly for reasons 1.4(b),(d) and (e).

http://www.wikileaks.no/cable/2006/09/06DARESSALAAM1593.html#par1

1. (C) According to a senior Swiss diplomat, the shipment of uranium through Dar es Salaam is common knowledge to two Swiss shipping companies. Hans Peter Schoni, Counsellor at the Embassy of Switzerland in Tanzania, referred to the allegations of uranium from the Democratic Republic of Congo (DRC) passing through Zambia and Tanzania en route to Iran, but did not attribute to the shipping companies any opinion of the source or destination of the alleged uranium. Poloff pointed out that the reports were unsubstantiated, but Schoni repeated that transport of uranium is common knowledge to the two companies, though no one at either company would admit it in writing. XXXXXXXXXXXX are both based in Geneva and conduct verification and inspection work in Tanzania.

http://www.wikileaks.no/cable/2006/09/06DARESSALAAM1593.html#par2

2. (C) Mission has shared this information with all relevant agencies at post which were unable to substantiate this or any other such reports of uranium shipments. Nevertheless, given the potential significance of such allegations we believe it is important to report nonetheless. DELLY
 
Hapa kuna balaa linakuja sasa kama Tanzania na Iran wamefikia hatua hii iko kazi sana .Mimi sina la kusema kwa sasa ila nangoja habari zaidi toka Serikalini .Magazeti ya Tanzania yako kimyaaaaaaaaaa sijaona magazeti ya kiswahil yakisema hili jamani kunani ?
 
Mzee Mwanakijiji said:
Tanzania Iran tried to import uranium from DR Congo
(AFP)

6 August 2006


LONDON - Iran tried to import uranium for its nuclear programme from the Democratic Republic of Congo, but the shipment was intercepted in Tanzania, The Sunday Times reported, citing a senior Tanzanian customs officer.

A huge shipment of uranium 238 bound for the Iranian port of Bandar Abbas was intercepted on October 22, 2005, by customs officials in Tanzania making a routine check, the officer told the newspaper.

The British weekly also cited a United Nations report, due to be considered by the Security Council, which said there was “no doubt” that a large shipment of uranium 238 was transported from the Lubumbashi mines in the DR Congo.

The customs official said the uranium shipment was found hidden in a consignment of coltan, a rare mineral, which was destined for smelting in Kazakhstan after being transported through Bandar Abbas.

“There were several containers due to be shipped and they were all routinely scanned with a Geiger counter,” he said.

“This one was very radioactive. When we opened the container it was full of drums of coltan. Each drum contains about 50 kilogrammes (xx pounds) of ore. When the first and second rows were removed the ones after that were found to be drums of uranium,” he said.

“The container was put in a secure part of the port and it was later taken away, by the Americans, I think, or at least with their help. We have all been told not to talk to anyone about this.”

The Sunday Times also quoted a source with access to security service assessments as saying that there was “great concern” about Iranian sleeper cells in Britain conducting reconnaissance at nuclear power plants in preparation for a possible attack.

Iran’s top nuclear negotiator Ali Larijani said Sunday his country would not suspend uranium enrichment, in a clear rejection of a UN resolution calling for a freeze of the sensitive nuclear work.

Iran insists it wants to enrich uranium only to make reactor fuel for power stations but the United States and other countries suspect Teheran wants the capacity to make weapons-grade uranium.

The UN resolution requires Iran to halt uranium enrichment and other sensitive nuclear fuel work by August 31 or face the prospect of sanctions.

X X X

Now I knw why the Iranians are trying to be so nice to the Tanzanians... this could be our own case of Iran connection!!! Rais aulizwe!! Miye nilifikiri ni Warusi peke yao wanajaribu kupitisha silaha.. Mr. President kanusha hilo....
Mbona mmekaa kimya au mmekasirika mbona mkunja ndita,serikali inabidi iangalie maslahi ya taifa bila kufungamana na upande wowote
 
Washawasha watu hawajakaa kimya ila issue yenyewe ni kubwa.Watu lazima wawaze na kuutafuta ukweli .Huu urafiki wa JK na Iran unaweza kutupeleka pabaya sana.Iran si Nchi ya kuwa nayo karibu na hasa kipindi hiki.Tanzania tunaelekea wapi na kutatokea nini hasa baada ya hili tukio ? Watu wanasema JK alipata mapesa ya Kampeni toka Iran je matukio haya yanaweza kuoanishwa ili kujua kulikoni hadi Iran wafanye kuitumia Tanzania kufanya uharamia ?
 
Acheni siasa mbovu,kama Tanzania inashiriki kusafirisha madini ya Uranium kwenda Iran,hilo sio tatizo lenu,Kikwete sio wa kwanza kutumiwa katika deal ya Congo,Lawama zote mpeni Ben Mkapa ndiye aliyeanzisha mchezo huo baada ya kuhongwa na akina M7 na P/Kagame ambao invasion ya Congo ni kwa ajili ya madini ,Be Mkapa anafahamu hilo na hakuchukua hatua yeyote ile kusitisha mauaji yaCongo,kumbukeni kabla ya uchaguzi P/Kagame na M7 wote walikuja kutambulishwa kwa Jakaya na aliyewaita hapa alikuwa ni Mkapa ambaye awamu yake ndiyo iliyokuwa ikifanya clearance ya madini ya congo kupitia central bank ,hayo tunayafahamu na msijaribu kumuingiza au kumtupia lawama JK,ni Mkapa ndiye aliyeanza yote hayo kupitia US ,kama mnakumubkumbu nzuri Hilalry Clinton alikuja hapa na hata Laura Bush naye alikuja hapa kuhahakikisha mamboyote nisawa.alikuja hapa kusahakikisha deal zote zinzkwenda sawa.Kama wao wanaitumia congo kujipatia madini bure na kujenga silaha na bombs za kuua watu ulimwenguni na Iran nao wana uwezo kama wao na sioni sababu ya kumlaumu JK kwa suala dogo kama hili .Hebu angalieni jews wanavyoua watuLebanon,hao ndio wa kulaumiwa kwa kutumia madini ya kongokufanyia uuaji wa waziwazi,bila ya UN kuchukuwa hatua yeyote ile.
Kuweni wa kweli punguzeni udini.
peace
Willo
 
Willo,
Good to see you again man. It's been long ways from BSC.
Where is Ngabu?
 
Mimi sitaki kuliongelea sana hili!

Ila cha ajabu utaona kuna watu wengine wanapiga kelele Iran, ...

Lakini wakati huo wanaonyesha ushabiki wa WAZO KWA MAREKANI.

HUU NI UHUNI AMBAO UNANIUDHI SAANA!.

LABDA NI VEMA NA BUSARA KUSEMA NCHI YETU IWE NEUTRAL.

PIA IKUMBUKWEWE KUWA WAISLAMA WA DAR WAKIANDAMANA KUPINGA UUAJI WA WARAABU HAIMANISHI SERIKALI YETU INAUNGA MKONO HIZBOLAH!!

MBONA JUZI NIMESIKIA HUKO UK WATU WALIINGIA KWENYE NDEGE SCOTLAND KUPINGA MAREKANI KUTUMIA VIWANJA VYA ULAYA KUPELEKA MABOMU KUUWA WATU LEBABANON.


SASA HAPO TUSEME SERIKALI YA UK INAUNGA MKONO THE SO CALLED MAGAIDI!

JAMANI TUWE OBJECTIVE ILI TUSIJE ONEKANA NI KIKUNDI CHA WALALAMIKAJI TU!

SAWA KILA MTU ANA UHURU WA KUTOA MAWAZO YAKE. LAKINI PALE UNAPOSEMA KIKUNDI FULANI NI SAWA KUUAWA NA WAKATI HUO UNAUNGA MKONO WAUAJI HAPO MIMI BINAFSI SIWAELEWI KABISA HAO WATU!

SIUNGI MKONO SERIKALI YETU KUSHIRIKI KATIKA NJIA CHAFU KAMA ALIVYOFANYA BMW NA AMEISHA LAANIWA TU HANA MAANA. ILA PIA USHABIKI NI KITU KIBAYA SANA(WATU MILIONI TATU WALIOUAWA drc NA uGANDA NA RWANDA SIYO KITU KIDOGO!).
 
Mimi nashangaa sana. Hivi India na Pakstani zina tofauti gani na Iran au North Korea.
Au simply because Iran and North Korea are not ready to KISS America's ass?
Mimi nawaheshimu sana viongozi wa Iran na North Korea. Wanalinda heshima na maslahi ya nchi zao. Tunataka JK agangamale kama viongozi wa Iran na North Kore.
 
Mimi nashangaa sana. Hivi India na Pakstani zina tofauti gani na Iran au North Korea.
Au simply because Iran and North Korea are not ready to KISS America's ass?
Mimi nawaheshimu sana viongozi wa Iran na North Korea. Wanalinda heshima na maslahi ya nchi zao. Tunataka JK agangamale kama viongozi wa Iran na North Kore.
 
Hatuhitaji siasa za extremism hapa bongo, lazima tuiheshimu amani yetu na heshima tuliyonayo kimtaifa iliyowekwa na baba wa taifa Mwalimu Nyerere, ni masikini lakini tunaheshimika kwa busara,

hatuhitaji kujiingiza kwenye siasa za kufikiria kuzifuta nchi zingine kwenye ramani, China sasa ni taifa la tatu kwa kukua uchumi duniani sio kwa sababu imejihusisha na hizo siasa za extremism, bali wamekopi mambo ya maendeleo ya West, na kuya-modify kukidhi matakwa ya u-China, it worked

Tunahitaji kuiga hayo ya U-China!, sio ya hao wapumbavu wa North Korea na Iran, tena huyu mzee wa Iran si alisema kuwa Israel ifutwe hivi haoni kuwa sasa kwenye hivi vita ndio wakati muafaka kwake kuitandika Israel na kuifuta kwenye ramani ya dunia!
 
Hatuhitaji siasa za extremism hapa bongo, lazima tuiheshimu amani yetu na heshima tuliyonayo kimtaifa iliyowekwa na baba wa taifa Mwalimu Nyerere, ni masikini lakini tunaheshimika kwa busara,

hatuhitaji kujiingiza kwenye siasa za kufikiria kuzifuta nchi zingine kwenye ramani, China sasa ni taifa la tatu kwa kukua uchumi duniani sio kwa sababu imejihusisha na hizo siasa za extremism, bali wamekopi mambo ya maendeleo ya West, na kuya-modify kukidhi matakwa ya u-China, it worked

Tunahitaji kuiga hayo ya U-China!, sio ya hao wapumbavu wa North Korea na Iran, tena huyu mzee wa Iran si alisema kuwa Israel ifutwe hivi haoni kuwa sasa kwenye hivi vita ndio wakati muafaka kwake kuitandika Israel na kuifuta kwenye ramani ya dunia!
 
Mzee ES,

ahahahaha we kweli mtu wa ajabu, unamshauri huyo mzee aifute Israel??!! are serious?, kuifuta Israel kutawaathiri wa Palestina, wasiria na walebanon. Husisahau madhara ya silaa za nyuklia.

Kweli willo ameongea point, tusiwe tu tunashabikia mambo. Swali dogo hili hapa nijibuni: Israel wamekataa kutumia njia ya Amani kutatua mgogoro, wanapigana kwasababu askari wawili wametekwa (hawajauwawa!!!) Je mpaka sasa askari wake wameuwawa wangapi?!

Kwa vyovyote vile Hiz wana makosa ila Israel wamezidisha unyanyasaji!
 
"Tunataka JK agangamale kama viongozi wa Iran na North Kore".
Kwanza kabisa, anzie kula chakula chako mwenyewe, vaa nguo zako mwenyewe halafu usimame ndiyo umgangamalie Marekani au Western, wewe kila kukicha ombaomba, huna lile wala hili halafu umgangamlie mtu!! Hivi unajua budget ya nchi yako inatetegemea nani?
 
Mtakeni agangamale kama Iran halafu tuone bajeti ta Serikali na mishahara atalipa vipi kama si mwanzo wa Watanzania kula nyasi .JK refrain from those issues haina maana kuwa ubabe usiokuwa na faida miaka hii ya 2006.Waacheni wa Iran muone kama hawatazana ku suffer kama N.Korea wanakufa na kuzikana kama chawa kisa Nuclear na utemi .
 
Mzee FD,

Unajua ninajaribu kukukwepa na michango yako ya personal, ila siwezi kukukwepa tena,

Nafikiri wewe ndiye mtu wa ajabu, kujifanya unajua kumbe hujui kitu, ungekuwa unajua then usingeshangaa kuwa ni yeye mzee wa Iran aliyesema anataka kuifuta Israeli kwenye ramani ya dunia, na sio kwamba mimi ndiye ninayemshauri,

Nafikiri willo amewasema watu kama wewe, pumbavu ambaye huelewi kitu halafu unajifanya unajua, mimi nimemuuliza swali mzee wa Irani aliyesema kuhusu kuifuta Israeli, kwamba opportunity ni hii sasa anangoja nini?

Hebu in the future jaribu kutoa michango kabla ya watu wengine sio mpaka usubiri wengine watoe ndio ufuatilie nyuma kama paka, nilishakuonya siku nyingi lakini unaonekana huelewi toka uliponiita January Makamba, nilikuambia acha kurukia rukia wanaume usiowajua!
 
ES,

Ama kweli una kumbukumbu! nilikosea kukuita hivyo na wala sikutaka kutafuta we ni nani baada ya hapo. Maana ulikuwa mpya kwangu sikuwa nakuelewa, baada ya kukuelewa, sikuwa na haja ya kukutafuta tena!!!. Kama ungesoma vizuri katikati ya mistari ungeelewa kuwa sikumaanisha kuwa wewe ndie unayemshauri rais wa Iran!!!! nilishangaa kuwa una m support?!? thats all. Wala sikuwa na issue personal na wewe wala sitokuwa nayo milele, kama unafuatilia sana utaona naepuka sana personal issues kwenye net, hazijengi bro.

Upumbavu ni subjective, nakubaliana na hilo jina kutoka kwako. Kuwa mtu wa ajabu, sio mbaya maana halina direct translation. Ila upumbavu una direct translation.

Zaidi ya hayo hapo juu nakumiminia heshima tu Mzee es

Asante
 
Ooops nilisahau!

Kama jamaa ataamua aifute Israel kwa sasa, bro hizo silaha zitaangamizwa hapo hapo ardhini kwao. kwahiyo hawana uwezo wa kuifuta Israel kamwe!
 
Hoja ya rais wa Iran ililetwa humu kwa mara ya kwanza na Bob Mkandara huko nyuma, watu wakatoa michango yao na mimi nikasema kuwa huyo mzee ni mwenda wazimu,

sasa wewe umetokea wapi na hizi habari za mimi kum-support huyu mzee wa Iran? Wewew hujui unachoandika wala huelewi michango ya wengine, lakini tayari unatoa hukumu kuwa watu humu ni wa ajabu,

Sasa mimi na wewe "Mtu wa ajabu" kama ulivyosema ni nani"? Halafu ulitegemea nini kuwa nitakaa pembeni na kukupa free pass?

Watu hawawezi kupata tatizo la kutofautisha baina ya mtu mmoja anayetoa michango yake na mwingine ambaye kazi yake ni kumvizia huyo wa kwanza na kumuita "Mtu wa ajabu",

vipi bro huwezi kuona hapa mtu wa ajabu ni nani?
 
Bro,

Peace,
Nakumbuka wala sijasahau, samahani kama kusema mtu wa ajabu lili sound kama tusi, Am sorry bro. Ila ukiangalia kwa makini utaona sentensi ya ku support ina alama ya kuuliza na kushangaa, yaani: kuuliza ina maana sijaelewa inatakiwa unieleweshe, kushangaa ni kutoamini maana wewe uliyemuita jamaa mwendaazimu una muunga mkono kweli?. In a nutshell we were together.

Turudi kwenye topic bro, mimi sinayo tena moyoni.

Peace
 
Back
Top Bottom