Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CCM haina jinsi isipokuwa kumshambulia Slaa Lula wa Ndali Mwananzela Toleo la 273 la Raia Mwema 19 Dec 2012 KWELI tunaweza kukilaumu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapoamua kuanzisha na kuendeleza...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Tarehe 19 December ilikuwa siku ya mwisho kwa Tume ya Kukusanya maoni ya upatikanaji wa katiba mpya. Tume ilifanikiwa kutemebelea nchi nzima na kukutana na wananchi walioweza kutoa dukuduku lao na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
tar 30 mwezi kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika stand ya mabasi kabwe mbeya msigwa na sugu watahutubia!
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo asubuhi kwenye kipindi cha Power breakfast watangazaji wa Clouds FM wameongea mengi ya kumbeza Lema na kesi yake. Sijui sasa hivi wanajisikiaje baada ya hukumu kusoma. Ombi langu kwa vyombo...
56 Reactions
445 Replies
40K Views
Ijumaa, Desemba 28, 2012 04:39 Na Mwandishi Wetu, Mvomero DIWANI wa Kata ya Mtibwa, Luka Mwakambaya (CHADEMA) na wakulima wa kata hiyo, leo wanatarajia kuandamana...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TAARIFA YA SEKRETARIATI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA UTANGULIZI: Tarehe 24 Februari 2010 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ofisi ya Rais- Sekretariati ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Soma maneno ya Nyerere hapa chini. "LAKINI ni dhahiri kwamba tumefanya makosa katika kuchagua silaha; kwani silaha tuliyochagua ni fedha. Tunataka kuondoa unyonge wetu kwa kutumia silaha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habar wakuu! Nimeona ni vyema kufanya tathimini kati ya wanasiasa wetu vijana bila kujali itikadi ya vyama vyetu, Pia tumeshuhudia mnyukano mkali hapa JF kati ya Katibu mkuu wa CHADEMA dkt...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
wabunge (NCCR-4,CCM-3,CHADEMA-1 (Kigoma Kaskazini)) kigoma kaskazini 1. Hakuna ofisi ya jimbo, inafunguliwa uchaguzi ukikaribia na inafungwa uchaguzi ukiisha. 2. Chadema ina madiwani 2 kati ya 10
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Iwapo unaumwa, njia pekee ili upate kupona lazima upate matibabu. Na kwa wale wa imani za kileo matibabu yao ni kwa njia ya uponywaji. Lakini pia, wakati mwingine si mpaka uumwe. Unaweza kutumia...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
Wanabodi heshima kwenu kwa fikra pana na ukarimu wenu wa kujenga hoja kumsaidia mwanzilish wa threat au jamii pamoja na wanajamvi. Ninaomba kwa kutambua hatua tuliyopiga ya WANAWAKE Kushiriki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
  • Poll Poll
Nilipenda hii iwe poll, mods please if you can help on that I will appreciate. Kuna taarifa kuwa kikao cha kamati kuu ya cdm kitakaa,na pengine kujadili issue iliyopo inayohusiana na Mh kupokea...
15 Reactions
656 Replies
45K Views
Mwaka 2012 imekuwa na matukio mengi ambayo yanahusisha na husishwa na utendaji wa viongozi mbali mbali ikiwemo mawaziri wetu. Wengi wamechemka, wengine wameonesha mafanikio na wengine hata kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Mbowe aliyewasili Karatu jana asubuhi, alikutana na wajumbe wa kamati ya utendaji wa wilaya ambapo alitarajiwa kutafuta...
2 Reactions
127 Replies
9K Views
Ninyi watanzania tupatieni Rais 2015 kwa kuzingatia haya-MWANANICHI MAKINI Utangulizi. Hoja zilizopo kwenye post hii hazilengi mtu yeyoye wala haina nia ya kushawishi wananchi kumchagua mtu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari wana jf, Binafsi Nimekuwa najiuliza maswali juu ya hii nchi yetu, tutaweza fikia ile nchi ambayo wengi tunaitarajia? Wakutufikisha huko nani? na tena tutafikaje huko?. Hebu tuache ushabiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waache magamba waendelee kujifariji, wananchi wa Kyela wameamka, ngoja tusubiri 2014 na 2015, Pia mtoa taarifa usiwadanganye watu, mimi nilikuwa Kyela na nimeshiriki mchakato wa uchaguzi...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanajamii, nimetizama hii video nikabaki hoi. This is sad and absurd. Hii sumu imeshapandwa, Zanzibar must be let go
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Imeandikwa na Mwandishi Wetu | Gazeti la Jamhuri | Dar es Salaam | Alhamisi, Desemba 27, 2012 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameingia katika kashfa mpya baada ya JAMHURI...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wajumbe Kamati Kuu, Kwa heshima kubwa nawaandikia waraka huu mfupi kuhusu jambo moja ambalo ni la msingi kabisa na ambalo wanachama wa kawaida kabisa wangependa ufafanuzi mapema iwezekanavyo...
20 Reactions
118 Replies
12K Views
Back
Top Bottom