MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), anatarajia kuzuru Butiama, mkoani Mara kwa ajili ya kutoa shukrani katika kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Lema amefikia hatua hiyo...
Wadau kama tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika utendaji wao hawa watu kila mtu ana...
MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesisitiza kutomtambua Meya wa Jiji la Arusha, Gaudence Lyimo huku akieleza nia yake ya kumbana Spika wa Bunge, Anne Makinda kuandaa majibu ya...
Mgogoro ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha umechukua sura mpya baada ya wajumbe wa Kamati ya Utendaji Wilaya hiyo kupinga uamuzi wa Kamati Kuu ya...
Mara tu baada ya mada ya usaliti ndani ya CHADEMA kuandikwa humu mijadala mikali kuhusiana na mada hiyo ilizuka huku kukiibuka makundi makubwa mawili yaani MASALIA(Pro-Zitto) na...
1)mngekipenda Chama na kumshabikia Zitto mtueleze mmefanya nini kwenye maeneo mnayo ishi kuimarisha chama na maslah ya nchi kuimarishwa.Fanyeni Kazi ya imarishen CDM kwanza ndio mje kupigia...
Tupo kwenye kipindi cha pili cha uongozi wa Rais Kikwete. Kwa namna mbali mbali wananchi wametoa tafsiri nyingi kuhusu utawala wake. Kwa kipindi chote cha Uongozi wake CDM kwa umahiri mkubwa...
Baada Jeshi la Wananchi wa Tanzania kusema kuwa litamchukulia hatua kali za kinidhamu askari wake aliyeonekana katika picha na mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema katika gazeti la Mwananchi la...
Katibu huyo bwana Elius Ndabila, akizungumza na Radio moja Mkoani Mbeya kwa njia ya simu amesema kuwa tuhuma za Mweshimiwa Mbunge ni za kutengenezwa na zinapaswa zipuuzwe.
Amesema Mbunge...
Mwanajeshi mmoja ameamua kujitoa mhanga na yuko tayari kufukuzwa kwaajili ya CHADEMA maana amechoshwa na maisha magumu ya kwake binafsi na ndugu zake...
Lema, Nassari na mwanajeshi aliyeamua...
Siku moja baada ya maaskofu kutoa tamko la jumuiya kikristo huko zanzibar padri apigwa risasi kichwani. Ikumbukwe katika tamko lao waliainisha kuwa kuna mauaji yamepangwa zidi ya wachungaji...
This is serious, baada ya kuchoshwa na madudu ya CCM, mke wangu ambaye alikuwa active member na mjumbe ya kamati gani sijui huko UWT, wiki kadhaa zilizopita aliamua kujiunga rasmi na CHADEMA, na...
Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 24, mzaliwa wa kijiji cha Butiama, mkoani Mara. Nina shahada ya kwanza ya sayansi ya mazingira na usimamizi (BSc.Environmental science and Mangement)...
Wanabodi wenzangu, kuna jambo ambalo mimi binafsi kwa mtazamo wangu, huwa nahisi linachangia sana kwa wanasiasa wa vyama vya upinzani kukata tamaa na kuwa wasaliti kwa wapiga kura wao au kwa...
Within the following week, the Villagers of the Chasimba are going to post all documents and details of all FISADIS who want to trespass this area through Wazo Twiga Cement. Please be patient to wait.
Tuliambiwa kuwa ni kamati kuu ya CDM ilimpendekeza MBOWE agombee uraisi mwaka 2005 (Karata bora ya kwanza)
Tukaambiwa kuwa ni kamati kuu ya CDM ilimpendekeza (hakuomba), SLAA agombee uraisi 2010...
Hakika ushindi Mh.Lema umerudisha amani kwamba haki ya mtu haipotei ijapokuwa inahitaji juhudi kubwa katika kauisaka na kuitafuta.
Jimbo la Sumbawanga hususani wanaharakati na vijana wengi...
Katika hali yakusikitisha na kuhuzunisha ni hili jambo la baadhi wakazi wa Msasani (Mbuyuni) wa line moja kupatwa na mateso yakukatiwa umeme jana na hata siku zingine japokuwa ofisi ya TANESCO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.