Wanakaya zaidi ya 150 wa kijiji cha Ambureni/Moivarowameamua kujiunga na CHADEMA baada ya kuchoshwa na ufisadi unaofanywa naSerikali ya chama cha mapinduzi.
Wakizungumza mbele ya waandishi wa...
WanaJf ni vizuri kwa sasa Tume la uchaguzi likatoa matokeo ya uchaguzi wa rais kwa mwaka 2010 ili tujue kila mkoa na kitongoji chake wagombea yaani Kikwete na Slaa walipata kura ngapi. Itakuwa si...
Ndiyo Wakuu ! Heshima kwenu ! Kama vyombo vya habari vilivyo ripoti wiki hii ,hususani kupitia Gazeti la Tanzania Daima jumatano ni kuwa vuguvugu la mabadiliko lenye kauli mbiu M4C limezidi...
Bila kujali itikadi za kivyama, je ni nani aliyekua kiongozi bora kwa mwa 2012 hapa Tanzania . Siasa zake zinaweza kuigwa na viongozi wengine ?
Je kakuvutia kwa Lipi Zaidi ?
1.Uchapakazi wake...
Watoto wa shule ya St. Rose of Lima, Miami, Florida wakiwa kanisani kuwaombea wenzao 20
waliouawa kwa kupigwa risasi mapema mwezi huu.
Nchini Marekani mhuni fulani kuingia shuleni na bunduki na...
Na Alex Manonga.
Bila shaka baadhi mlipata fursa ya kutazama kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa na kituo cha televison cha Star TV. Yalizungumzwa masuala mengi na yenye tija lakini...
Ndiyo waungwana , heshima kwenu ! Leo vijana makamanda (BAVICHA Mkoa Singida) watafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Standi ya Zamani katikati ya mji wa Singida . Wazungumzaji...
Rais wangu unajiskiaje unapokaa Ikulu hauumwi maleria, lakini sisi wananchi wako huku kwa Mtogole maleria ni vitu tulivyo zoea, una jiskiaje unachotaka kula unakula lakini wananchi wako kinacho...
Na Charles Charles
JUMANNE ya wiki iliyopita, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe alitangaza kuwa chama hicho kitautumia mwaka 2013 ili kufanya...
Leo ni siku mbili kabla ya kufikia mwaka 2013 mwaka unaotakiwa kuwa mwaka wa kuweka msingi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 na ule uchaguzi mkuu wa mwaka 2014. Kwa kawaida...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAAMUZI YA MKUTANO WA KAMATI KUU YA CHADEMA ULIOFANYIKA TAREHE 15 NA 16 DISEMBA 2012
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imefanya mkutano wake...
Friday, 28 December 2012 09:18
Dar es Salaam. Police in Kinondoni are interrogating a guard who was on duty when the house of the minister of State in the President's Office (Special...
Ule mkutano mkubwa ulio kuwa unasubiliwa kwa hamu na watanzania hasa wana karatu unategemea kuanza mida ya saa kumi lakini mpaka sasa watu ni wengi sana kwenye uwanja wa Mbowe hapa karatu pamoja...
WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli amemteua
Prof Ninatubu Lema kutoka Chuo cha Uhandisi na Teknolojia (CoET), kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), uteuzi huo unaanzia
Desemba 20...
Taarifa zilizonifikia ni kwamba Kamanda Wenje (mbunge wa Nyamagana) anatarajiwa ''kuunguruma'' katika uwanja wa kampala uliopo kata ya Gongolamboto jioni hii.
Mkutano huo umeandaliwa na uongozi...
Chama cha Mapinduzi CCM kiko katika hali mbaya katika Jimbo la Kwimba baada ya maelfu ya wanachama wake pamoja na viongozi kadhaa kuhamia CHADEMA.
CHADEMA imezoa wanachama 15000 katika mikutano...
Habari wana jf naomba niwaletee kidogo huu ufisadi kwenye ujenzi soko la mwanjelwa jijini mbeya
kwa wale wanao kumbuka kabla soko la mwanjelwa kujengwa kuna soko liliungua na kuteketea kwa moto...
Mimi ni kijana ambaye kwa sasa nina makazi nje ya nchi lakini ni kijana niliyekulia Arusha. Nilipoenda Arusha mwezi wa tatu kuna vitu ambavyo sijafurahia. Kwanza ni kile kitendo cha Lema kuwaambia...
Jana ilitangazwa kufanyika kwa mkutano wa CCM ukiwa na niya ya kuelezea mafanikio ya ilani. Taarifa ilikuwa huo mkutano ungeanza saa 5 asubuhi. Matokeo yake hadi saa 7 hii hakuna watu hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.