CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Singida, kimetoa ufafanuzi kuhusu sababu zilizomfanya aliyekuwa Diwani wa Iseke, Amosi Mughenyi, kujiuzulu.
Akizungumza katika mkutano...
Mheshimiwa Joseph Mbilinyi (mr sugu) Mbunge wa Mbeya mjini akihutubia mamia ya wananchi wa jiji la mbeya na vitongoji vyake waliohudhuria mkutano wake wa kuaga mwaka 2012 na kuukalibisha mwaka...
Nilikuwa namuangalia Dr Dalali Kafumu yule mwanasiasa na msomi aliyekuwa kamishana wa madini na mbunge wa igunga kabla ya kuvuliwa na mahakama. Alichonishangaza ni kuyaelewa matatizo ya nchi hii...
BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), limesema sera ya majimbo ndio mwarobaini wa kuhakikisha rasilimali zilizopo zinawanufaisha wananchi na taifa kwa ujumla.
Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu...
Usalama wa Taifa wavamia CHADEMA
Na Saed Kubenea - Imechapwa 08 December 2010
VIGOGO kadhaa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) wametajwa "kuingilia" Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Sitta Tumma, Kwimba
MKUU wa Wilaya (DC) ya Kwimba, mkoani Mwanza, Seleman Mzee, ametangaza vita na watu wanaoua wakazi wa wilaya hiyo kwa kuwakata na mapanga na kusema tayari 25...
LICHA ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kukiri kuanza uchunguzi kwa baadhi ya watendaji wa Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA), wanaotuhumiwa kujihusisha na vitendo...
LEO ni siku ya mwisho kwa mwaka 2012, ambao unaupisha mwaka mpya wa 2013. Makala hii inajaribu kuyatazama baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri katika mahakama mbalimbali nchini kwa kipindi cha...
Habari wakuu.
Muda huu ndio naingia kwenye viwanja hivi watu ni wengi sana kuzidi eneo na muda mfupi ujao barabara yaweza kufungwa kwa sababu ni eneo ambalo liko karibu na barabara ya...
Suala la itikadi za ugaidi zimeendelea kushamiri visiwani Unguja na Pemba kwa miaka kadhaa sasa.
Kushamiri kwaitikadi hizi kunatokana na ufadhili mkubwa kutoka nchi za kiarabu, hususan Saudi...
Wakuu.
Hiyo hapo kwenye link ni documentary ya mauwaji ya muandishi Daud Mwangosi. Shuhudia yaliyo jiri kama hukupata hiyo fursa.
http://youtu.be/8EdZ1koyvDg
Mh.Raisi,kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wako,tangu uingie madarakani hujawahi kuidhinisha mfungwa yoyote yule kunyongwa.Kwa hili nakupongeza kwa kuonyesha kuwa unatambua ya kwamba kutoa uhai wa...
Habari wana bodi!
Leo nilikwenda kujipatia mahitaji yangu ya vyakula vya ndani kwa ujumla nimebaki nimepigwa na butwaa pale nilipo ambiwa kilo ya inga wa sembe ni shilingi 1,500/- nikakumbuka...
Kijana Hussen Mohamed Bashe! maarufu hapa kwetu Nzega" KAYANDA"! anazidi kuwaonyesha wakazi wa Nzega na Taifa kwa ujumla kuwa pamoja na maswaibu yote yanayomkuta katika medani za kisiasa bado ni...
Mh. Mkuchukicha anajaribu kuhadaa umma kwa kutoa mifano ya rasilimali kama umeme na madini kwa mikoa inayopatikana. Hoja ni je? Mikoa hiyo imenufaika vipi? Mfano mdogo ni Shinyanga na madini yao...
Kama kuna Chama Cha Upinzani kilichotokea kukua kwa kasi na kupendwa na mamilioni ya watz kwa namna ambayo inazungumzia matatizo ya watz na changamoto za kitaifa kwa ufasaha basi ni CDM, Pamoja na...
Mwaka 2012 Ndio hivyo tena unayoyoma, ingependeza au kujikumbusha yale yaliyojiri ndani ya huo mwaka either yalichukua headlines katika loacl news zetu au hapa JF basi yalibamba sana na...
nikiwa kama mdau wa sekta ya wanyamapori nimehuzunishwa na habari yenye muendelezo katika gazet la mwch la jana na leo.. POLISI WADAIWA KUGHUSHI NYARAKA OFISI YA AG, pamoja na mambo mengine...
Mh.Lisu tunakukaribisha kibaha,hii imetokana na Nchemba Mwigulu kuwaambia wananchi wahudhuriaji ccm kuwa wewe ni kichaa (mwendawazimu) unalo faili la wagonjwa wa akili Dodoma Mirembe hospital...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.