Muhariri wetu wa Zanzibar Salim Said Salim
MUDA mrefu sasa pamesikika malalamiko mengi juu ya watumishi wa umma kuona wanawajibika zaidi kwa chama tawala cha CCM . Watu hawa...
Maandamano ya amani yaliyofanyika mjini Mtwara siku ya alhamis wiki hii yameibua hoja mbali mbali kutoka kwa viongozi, wananchi, vyombo vya habari na mjadala wa siku nzima kwenye mitandao ya...
Kumekuwa na wimbi la vijana wenzangu kwenye mitandao ya kijamii hata kwenye mijadala ya kawaida mitaani kuwashambulia wenzao ya kwamba mawazo wanayotoa ni kwa sababu wamenunuliwa na mtu Fulani...
Wakati tumebakiza masaa machache kuingia mwaka mwingine wa mateso (ya CCM) 2013, nimeona tulijadili hili kwa pamoja. Miaka zaidi ya 20 iliyopita tangu watanzania tulipowatangaziwa kuwa tunaingia...
Je Unajisikia furaha, amani na kuwa salama kwa Tanzania kuchimba madini ya Uranium?
Naomba tupige kura, voting please Moderator may you help to put a vote here, thank you
Kuna nini kati wa CCM UDOM NA VYOMBO HIVYO? Nina mashaka na radio 5, Baraka fm na Bomba fm, tangu jana kuna watangazaji wanamkuza sana huyu dogo. Mda huu radio Bomba wanamjadili na kumumwagia sifa...
Ndugu wana JF,
Tangu ndugu ZZK na Mnyika waje na hoja ya mkonge hapa tanga hasa maeneo ya korogwe na muheza,hatujaona tena mikutano ya CDM.
Ikumbukwe kwamba tanga imekuwa ngome kuu ya magamba kwa...
Written by Amour -?29/12/2012
Nimeliona hili nikahisi niliweke hapa Kinaga ubaga ,kama utafatilia hali halisi ilivyo Hapa kwetu Unguja na pemba ,Utagunduwa Baadhi ya Viongozi wetu wanavyojiweka...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Said Arfi ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Katavi kuchunguza tuhuma zilizotolewa dhidi...
Jamani hebu oneni wenyewe, ni nchi gani hapa duniani ikakubali kuwaacha wanafunzi wasome bila maabala na walimu wa kutosha halafu ikaweka kipaumbele kuwakopesha wabunge wake magari, kuwalipia...
Swali la kipimajoto cha leo cha ITV kinapotosha umma kwa kusema kuwa kuongezeka kwa ufaulu wa matokeo ya mtihani wa darasa la saba je halmashauri zinaweza kuchukua wanafunzi wote waliofaulu? Hii...
Je kuna kitu ambacho serikali ya Tanzania inaweza kufanya vizuri? Je vitambulisho viko wapi wakati wananchi waliambiwa pesa imeshategwa na zoezi limeongelewa kwa miaka karibu kumi sasa. Pesa...
Wadau pamoja na wazawa wa kigoma kutoka na leka dutigite bado hali ya usafiri kutoka kigoma-kasulu-kibondo-kakonko-nyakanazi ni tete kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Hii ndiyo sababu...
Naamini demokrasia ni ajira,dmmokrasia ni biashara iliingizwa kwenye soko la afrika bila kuthibitishwa ubora wake.mfumo wa utawala au mchakato wa kupata watawala nanamna ya kuendesha mambo kwa...
SERIKALI IMEWATENDEA MADAKTARI NDIVYO SIVYO: AIBU
Tanzania ni nchi yangu na mimi nimtanzania. Nina mengi moyoni siku ya leo hasa kutokana na timbwilitimbwilinyingi zinazofanywa na watawala wetu...
Kuna wakati Balozi Ali alionesha mapenzi yake ya dhati kwa chama Chake CCM bila kujificha, viongozi karibu wote wa chama chake cha CCM hufurahiwa naUjumbe wake anapoutowa pale anapokipigania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.