Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 Mbunge wa Njombe kusini,Anne Makinda alipewa uspeaker wa Bunge la Tanzania na matokeo yake imekuwa ni kama aibu kwa wananjombe na mikoa ya kusini yote.Mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI MPYA LA JANA MATANGAZO BEI ZETU WASILIANA NASI TUMA HABARI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Itakapotimu saa kumi nitawaletea moja kwa moja yote yatakayojili kutoka Bombambili SONGEA mjini ambapo mh.TUNDU LISU atakuwa akiwahutubia maelfu ya wakazi wa Songea.Kaa nami...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Raia Mwema | Toleo la 274 | 26 Dec 2012 HATUA ya Mahakama ya Rufani nchini kutengua uamuzi unaohusu kuikabidhi kampuni ya kuzalisha umeme ya Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) kwa mfilisi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Historia inatuonyesha mkoani Mtwara, CCM imejikita miongoni mwa wananchi hivyo imethibitishwa na viti vya ubunge na madiwani vyote uchaguzi mkuu wa 2010 vilienda CCM. Wakati huohuo vyama vya...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, hayo si maneno yangu bali ni maneno ya Diwani mmoja jijini mwanza mwenye mgogoro na CHADEMA Bwn. HENRY MATATA. Nianze kwa kusema kuwa leo asubuhi hii imekuwa ni mpya ya kufungia...
3 Reactions
92 Replies
8K Views
Written by Ahmed Omar Khamis // 29/12/2012 // Habari // No comments Mamia warejesha kadi Tanga mbele ya Maalim Seif. Wanachama 50 Mkoani Tanga waliowahi kukihama chama cha CUF kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MWENYEKITI WA BARAZA LA KATIBA ZANZIBAR PROFESA ABDUL MOHD HUSSEIN SHARIF Written by Harith // 29/12/2012 // Habari // No comments MWENYEKITI WA BARAZA LA KATIBA ZANZIBAR PROFESA ABDUL...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA NAPENDA kutoa taarifa kwa umma kutokana na habari zinazoandikwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari, huku chanzo cha habari hizo kikiwa ni Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Tanga, Bwana...
15 Reactions
117 Replies
7K Views
Wadau nimepata nafasi ya kufika jimbon kwa mh. Opulukwa (CHADEMA) Hakika hata ofisi ya mbunge kufuli lina kutu, wanachi hawana pa kupeleka kero zao baadala yake wanakimbilia kwa mkuu wa wilaya...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Zile ziara za mikoani za Sekretarieti mpya ya CCM zimeishia wapi? Au ndio sasa wapo mkoa wa televisheni? Nadhani ililengwa hasa Arusha...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika kuchangia mjadala leo asubuhi ktk kipindi cha TUONGEE ASUBUHI... Mzee huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM amesema Rais Kikwete ni kama Mungu anayemiliki Mbingu na Ardhi ya Tanzania...
2 Reactions
118 Replies
9K Views
Saturday, December 29, 2012 Waziri wa Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali juu ya suala zima la kuuingia katika mfumo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SIASA Posted Decemba 29 2012 saa 11:36 AM KWA UFUPI “Serikali ya Chama Cha Mapinduzi, imejipanga kuwasaidia vijana lakini haiwezekani kusaidia mtu mmoja mmoja hivyo mnapaswa kuunda vikundi na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
RIP Mr. R. Kilombile. Vipi jamani manaojua taratibu za NEC, hii kata itatangazwa kuwa huru ili wana-M4C tuanze kujifua au mda hauruhusu tena mpaka uchaguzi mkuu - 2015.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Saturday, December 29, 2012 Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama hicho katika viwanja vya Tangamano Jijini Tanga. Katibu Mkuu wa CUF...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
ccm wao wanakuwa na njozi ya kurudisha majimbo na nafasi zote zilizochukuliwa na chadema, miaka yote walikuwa wapi?tangu chadema ishinde mamlaka ya mjimdogo usariver iliyokuwa inamilikiwa na ccm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
City dwellers go for plastic over public toilets Saturday, 29 December 2012 10:33 Dar es Salaam. The lack of public toilets in major towns across Tanzania puts...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mratibu Elimu kata wilayani Nzega mkoa wa Tabora amekiri kuchukua pesa za ujenzi wa shule na kuweka kwenye akaunti yake. Mratibu huyo, Richard Nkwabi wa Kata ya Puge wilayani Nzega alikiri kuweka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katka hali isiyo ya kawaida wananchi wa jimbo la buyungu wilayani kibondo wamechoshwa na mbunge wao ambaye pia ni waziri wa kilimo kwa kutotaua changamoto za kilimo pamoja na kushuka kwa kiwango...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom