ligendayika
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,183
- 199
Mbona ilisemekana huu mkutano ulifanyika jana?
Sio kwamba wameanza kuelewa bali wameanza kuachana na uoga na hofuIdadi ya watu inaongezeka wanalizaboni wanonyesha kuamka hapa akina mama wanashangilia wanaimba kwa furaha hawa akina mama ni majasili kweli watu wameanza kuelewa