Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Thobias Mwanakatwe 31st December 2012 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataka wanasiasa kuondokana na fikra kwamba, Katiba Mpya ni kwa ajili ya uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
856 Views
Wanabodi, Leo usiku wa Tarehe 31/12/2012 mitambo ya Kizamani ya Analojia itazimwa (Hii ina akisi kuwa, CCM itazikwa rasmi kwenye Mioyo ya Wa Tanzania) Mitambo mipya ya Digitali itawashwa (CHADEMA...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
BARAZA la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), limesema sera ya majimbo ndio mwarobaini wa kuhakikisha rasilimali zilizopo zinawanufaisha wananchi na taifa kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu...
0 Reactions
1 Replies
909 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 30/12/2012 CUF: MADAI YA WANANCHI WA MTWARA YANA MISINGI MIZURI YA KIUCHUMI YASIPUUZWE BALI YAFANYIWE KAZI. Tarehe 27 Desemba maelfu ya wananchi wa Mtwara...
16 Reactions
41 Replies
5K Views
1. ufisadi 2. Rushwa 3. unafiki 4. Ubinafsi wa viongozi 5. Kukosa maono kwa viongozi Haya ni baadhi ya mambo ambayo nayaona ni kikwazo cha maendeleo, kama yapo mengine mtaongezea. Hapa nitatoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kesho anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika uzinduzi na kutangazwa kwa matokeo ya Idadi ya watu nchini Tanzania. Mwenyekiti wa Taifa wa Kamati ya Sensa,Waziri Mkuu...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
KWA NINI WANANCHI WA KUSINI WANAPINGA GESI ISITOKE Kupinga gesi isitoke mtwara kwanza ieleweke,wanaopinga si wananchi wa mtwara pekee yao bali ni wananchi wote wa mikoa ya kusini kwa sababu...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
na Asha Bani MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), amemuumbua Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philip Mulugo, akidai hatishwi na kauli zake kwani ana elimu ya...
4 Reactions
145 Replies
18K Views
Kuna habari zilizothibitishwa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (MOFA) kuwa, Mabalozi Waandamizi Jaka Mwambi (Urusi), Mwanaidi Majaar (USA), Omari Mapuri (China) na Sisco...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hongereni sana Majaji Mlo mpa Lema Ushindi , Lema alishinda kihalali lakini watu wachache walogeuza nchi hii kuwa kama yao wakamvua Ubunge!Mungu Washushie Laana hao watu , Watoto wao, na kizazi...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
Leo nimeshangazwa sana kuona Gharama kubwa zikitumika katika kutangaza matokeo ya Sensa ambapo tayari gharama kubwa zaidi zilishatumika katika kuyaandaa. Kwani wangeamua kuyatangaza matokeo hayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Prevailing circumstantial series of events hint about the possibility of one “big-headed” politician to re-play a planned drama of the failed; either kidnapping or assassination to himself. In...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Salamu zangu za mwisho wa mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 kwa CCM ni kuhusu nafasi ya naibu katibu mkuu wake Mwigulu Chemba. CCM inahitaji kumtafuta mtu makini mwenye uwezo wa kujenga chama...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu nadhani ni wazima wa afya na mnajiandaa vyema kuuaga mwaka 2012 na kuukaribishwa mwaka 2013. Ndugu wana JF kama mjuavyo kuna matukio mengi sana ya chama kilichopanga ikulu kwa miaka 51...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mtanzania wa kawaida kabisa, lakini kutokana na imani niliyonayo kwa CHADEMA nimeona ni vizuri tuzungumzie mambo yafuatayo ili kukiboresha chama chetu kwa manufaa ya taifa letu:- kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kitendo cha kusikitisha sana, mnamo mwaka 1983 Serikali ilitoa maeneo kwa wafanyabiashara kujenga vibanda vya biashara. Tangu wafanyabiashara hao wamejenga vibanda hivyo kodi ya ardhi ilikuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nimekuwa nikifuatilia sana zile nyumba za NSSF/NHC kujua utaratibu na jinsi kuweza kupata hasa zile za moja moja...nilichoambulia kujua nilisikitika sana,Wabunge woote,wanasiasa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo asubuhi Mwigulu katoa tuhuma nzito kwamba 1-kuna mpango wa CHADEMA kuua raia katika mikutano yao, na 2- kwamba eti Polisi wanashirikiana na CHADEMA kuua raia. Hili la pili ni la kipuuzi kwa...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Na Ibrahimu Yassin,Kyela CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kyela jana vimechuana vikali kwenye uchaguzi mdogo wa vijiji na vitongoji uliofanywa...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Mfungwa aliyekuwa mikononi mwa askari magereza,ametoroka na kulazimika kukimbia uchi wa mnyama mtaani baada ya kuvua sare za wafungwa ili kukwepa kutambuliwa mtaani. Mashuhuda wa tukio walidai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom