Kama hali hii ya ujangili wa tembo itaendelea basi mjue itachukua takriban miaka 5 hadi zaidi kidogo ya miaka 10 kwa tembo wetu kumalizika!
Ingawa ni taarifa ya January 2012 lakini majibu yake...
KADA maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Shafii Yatera (40) ameuanza vibaya Mwaka 2013 baada ya kusherekea Mwaka Mpya akiwa Gereza Kuu la Karanga mjini Moshi.
Yatera...
AKIANDIKA makala yake kwenye gazeti la FAHAMU Toleo Na. 222 la Jumanne Desemba 25 31, 2012, mwandishi mkongwe wa habari nchini, Barnabas Maro alihoji endapo Nape ataweza kummaliza Dk. Slaa...
Baada ya CHADEMA kushinda kesi na CCM kutokukataa rufaa chini ya Dr Kafumu tume ya uchaguzi inapatwa na kigugumizi kutangaza jimbo li wazi.
Tume ya taifa ya uchaguzi imefika wakati wananchi wa...
Leo mahakama imefurika mapema, hali ya hewa ni nzuri,
Updates:
- Bado hukumu haijaanza kusikilizwa, nyuso za wakombozi zimejaa bashasha. Hii ni dalili nzuri kwa kupokea matokeo!
- Viongozi...
Miezi michache iliyopita Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitoa tamko kuwa kamwe watu wa Kaskazini wasitegemee kuwa Rais mwaka 2015 atatoka kwao na kwamba wazee wawapishe vijana kwa kuwa sasa ni zamu...
na Angelica Sullusi, Mbeya
SIKU chache baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (CHADEMA), kumtolea uvivu Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, akidai ana elemu ya...
Moses Mashalla, Arusha na Boniface Meena, Dar | Mwananchi | Oktoba 06, 2012
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amekitikisa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa hatua yake ya...
CHADEMA Arusha itakuwa na Kumbukumbu ya miaka miwili (2) ya mauaji ya makusudi ya raia wasio kuwa na hatia yaliyotokea 5/1/2011.Kumbukumbu hii itaenda sambamba na chama kufanya shughuli za...
Wakuu hii ni mojawapo ya hotuba nzuri zilizowahi kutolewa na Mwalimu, na unfortunately was his last at the University of Dar es Salaam.
Mojawapo ya nukuu!!!!!
" I am telling you people, how Can...
Lowasa amekuwa akitumia kaulimbiu ya maamuzi magumu akiwa ndani na nje ya bunge, hivi kweli serikali ikiamua kuchukua maamuzi magumu atasimama? Hajui ana kesi ya kujibu kuhusu mali zetu?
Na Mwandishi wetu
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), limeelezea athari zinazotokana na uchimbaji wa madini ya urani kwamba hutoa mionzi hatari inayosababisha athari kwa...
Kuna mengi wananchi hatuyaelewi katika hii sekta ya Afya huku tukibaki kulaumu madakatari badala ya kutaka serikali iwajibike kwa hali duni ya Afya.... Viongozi wanatibiwa nje ya nchi...Katika...
Ndugu waTanganyika wenzangu, tumeshapigwa changa la macho. Hivi mnajua tume ya katiba iliyoundwa imeshaondoa uwezekano wa Serikali ya Tanganyika Kurudi.
Kwa kuwa hiyo tume ya katiba, haina...
Ndugu zangu,kaka zangu,dada zangu na wadogo zangu tuliojaliwa kujiunga hapa jamvini.Kwanza niwashukuru sana kwa wote mlionionyesha ushirikiano kwa kuchangia hoja katika mada niliyoipost hapa...
Wengine mtasema ni uongo, hatahivyo imetokea mtaani kwetu, wakereketwa na wanachama wa CCM kuweka T-shirts zao kwenye rambo kuogopa kuzomewa mitaani, wakiwa safarini kwenda katika mkutano wa...
Wakuu, salaam na heri ya mwaka mpya 2013
Huwezi kuamini kuwa serikali ya ccm hadi leo hii imeshindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wake.Njaa imewakaba na sikukuu imepita kavu kavu.
Wengi...
SERIKALI wilayani Arumeru, imeshikwa kigugumizi baada ya kushindwa kutoa majibu ya deni la Shamba la Lakilaki lililonunuliwa na Wilaya ya Arumeru kwa mkopo wa Sh bilioni 8.6, uliotolewa na Benki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.