Katika hali inayoendelea kwa CCM kuendeleza wimbi la kugawanyika mkoani Singida,leo imedhihirika pale m/kiti wa chama hicho mkoani Singida ndg. Mgana Msindai alipomkaanga mbunge wa jimbo la...
Mnasema ccm hawajafanya lolote chini ya daktari JK.je haya hamyaoni.
1.wametuwekea pesa nje ya nchi.
2.kuua tembo na kusafirisha wanyama hai nje ya nchi.
3.kuvuana magamba.
4.kubadilisha ilani yao...
Tarehe 29/12/2012, Mhe, Mwigulu Nchemba ( Lameck Mkumbo Madelu) Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara, alifanya ziara maalumu ya kujifunza katika Jimbo la Kibaha Mjini. Katika ziara hiyo ilimwezesha Mhe...
"Tulipokua tukiiondoa serikari ya kikoloni tulikua na shabaha pia pia ya kuyaondoa maovu yote yaliyoandamana na serikari ya kikoloni. Uongozi katika serikari ya kikoloni ulikua hautokani na raia...
Kila mkutano alianzisha na kusimamia ajenda
Wengi walidandia kwa kuunga mkono au kupinga
KUNA namna nyingi za kuelezea taswira ya Bunge na wabunge katika mikutano yake minne ndani ya mwaka...
Jakaya KikweteVerified‏@jmkikwete
Maliasili yoyote ile katika eneo la nchi yetu si mali ya watu wa eneo lile pekee. Matumizi yake lazima yawe kwa manufaa ya Taifa letu...
Bima ya Afya ni ufisadi mwingine,wanakata mishahara ya wafanyakazi kila mwezi kwaajili ya bima ya afya lakini ukienda hospitalini hakuna dawa kwa wenye bima huu ni utapeli.
Heri ya Mwaka Mpya 2013.
Wanachama wa Chama cha mapinduzi (CCM) ambao hawafungamani na kundi la mafisadi na viongozi uchwara ndani ya CCM wanasikitishwa sana na mgogoro unaoendelea sasa ndani ya...
Serikali kwa kutumia sheria kandamizi ya magazeti ya mwaka 1976 ililifungia gazeti la Mwanahalisi kwa madai kuwa taarifa zinazochapishwa na gazeti hilo zilikuwa za uchochezi na zinazoweza...
Achilia mbali kwamba ni za mikopo na misaada mufirisi, lakini je? hizi ndio barabara ambazo kila kukicha magufuri anadai Chikwete asipozurura nje ya nchi zisingejengwa? ndio hizi mtaendelea...
KUTOKA KWA KATIBU WA MBUNGE:
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amewahimiza vijana na asasi zao kuwasilisha ombi bungeni ili bunge lijadili na kupitisha mpango wa taifa wa ajira kwa vijana kwa lengo la...
Kesho tarehe 03/01/013 msafara wa mwenyekiti wa mkoa wa Singida utakuwa wilayani Mkalama. Atapokea wanachama kutoka vyama vya upinzani akiwemo diwani wa CHADEMA wa kata mojawapo. Itakumbukwa...
Kweli nimegundua kuna tofauti ya kiongozi wa kuchaguliwa na kiongozi wa kuteuliwa..baada ya Lema kurudi alipiga marufuku mgambo kupiga watu na akawaelekeza kutumia taratibu za kisheria...
Ilipohitimu saa 6 usiku mitamb yote ya analog ilizimwa na kwenda rasmi kwenye digital mimi wala sipingi kwenda kwenye mfumo wa digital lakini wananchi wengi sana hawatamudu huduma za kununua...
"Serikali: Marufuku Wakristo nchini, Malawi kujadili mgogoro"
Hiki ni kichwa cha habari nilichokutana nacho kwenye gazeti la leo la mwananchi (mtandaoni), niliposoma kichwa hicho nimeshindwa...
Naomba kuwasilisha uchunguzi wangu mdogo kuwa wananchi wakawaida wanaolalamika na ugumu wa maisha unaosababishwa na utekelezaji mbovu wa sela ya CCM hasa ya maisha bora kwa kila Mtanzania...
Wale wanaodhani mafisadi ndani ya CCM wataachia madaraka kirahisi kwa kisanduku cha kura wamepotoka kabisa. Hawa jamaa wana maslahi makubwa binafsi na ya mabwana zao kulinda.
Wapinzani mlikua...
Nimetafakari sana suala la kanda ya kusini lakini kwa kua nishaliongelea kwenye suala la gas na kuitanua mikoa ya kusini ngoja nijikite kwenye mikoa mingine naomba watakayo ona ushauri wangu mzuri...
Geita, Tabora, Shinyanga na baadhi ya maeneo ya Tanzania yenye neema za madini moja wapo ni hizo tajwa hapo awali, Tabora ( Nzega ) ki ujumla ni mkoa ulio nyuma sana kimaendeleo, na ni mkoa wenye...
Wanabodi,
Hawa CCM mbona wanahofu na Dr Slaa. Kwani kada wao Maarufu na Msemaji wa CCM mtandao ametamka. Kuwa CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Mhe. Mbowe aliyekiri kwa jinsi Dr Slaa alivyofanikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.