Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Miezi michache iliyopita Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitoa tamko kuwa kamwe watu wa Kaskazini wasitegemee kuwa Rais mwaka 2015 atatoka kwao na kwamba wazee wawapishe vijana kwa kuwa sasa ni zamu yao kula. Na majuzi January makamba alirudia kauli hiyo ingawa yeye aliwazungumzia wazee zaidi lakini Mbunge wa kilindi Beatrice Shilukindo amesema wazi kuwa atamuunga mkono waziri mkuu aliefukuzwa kwa wizi wa mali za watanzania, Je Shelukindo haoni kama anaenda kinyume na msimamo wa ccm ambacho ndicho chama chake na anapaswa kufaata msimamo wa chama chake kuwa kamwe rais ajae hata toka kazikazini.