Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba: Tanganyika Irudi Kwanza Ndipo Rasimu ya Katiba Ifuate

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fredrick Sanga, Jun 23, 2012.

?

Unapenda Muundo Gani wa Muungano

 1. Serikali Tatu

  36.2%
 2. Serikali Mbili

  1.0%
 3. Serikali Moja

  19.5%
 4. Sitaki Muungano

  44.8%
 1. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ndugu waTanganyika wenzangu, tumeshapigwa changa la macho. Hivi mnajua tume ya katiba iliyoundwa imeshaondoa uwezekano wa Serikali ya Tanganyika Kurudi.

  Kwa kuwa hiyo tume ya katiba, haina mamlaka ya kutengeneza rasimu ya katiba ya Tanganyika, na wanafikiri watu wanakubali serikali mbili.

  Kwa sababu hiyo tayari tume hiyo, kwetu sisi watanganyika, imefanya kitu kinaitwa pridjudice (yaani uamuzi kabla ya kupata maoni kuhusu aina ya muungano), na hi si haki, si haki kabisa.

  Je kama ilivyo sasa, katika dodoso zangu, kwamba wananchi wengi wakapenda Mungano wa dola tatu. Nani ataandika rasimu ya katiba ya Dola la Tanganyika?

  Nani atapitia katiba ya Dola la Zanzibar kurekebisha mswala ya muungano. Pamoja na Mhe Jaji Warioba kuruhusu, mjadala kwa uwazi, kuna haja ya kurejea Mswada wa kuunda tume ya katiba na kuweka hatua mbalimbali za utendaji.

  Mapendekezo:

  [FONT=&amp]1. [/FONT]Aina ya muungano

  [FONT=&amp]a. [/FONT]Mjadala
  [FONT=&amp]b. [/FONT]Kura ya maoni
  [FONT=&amp]c. [/FONT]Ma/Bunge la/ya katiba (Subject to discussion)
  [FONT=&amp]2. [/FONT]Rasimu ya katiba

  [FONT=&amp]a. [/FONT]Mjadala
  [FONT=&amp]b. [/FONT]Rasimu ya katiba
  [FONT=&amp]c. [/FONT]Ma/Bunge la/ya katiba
  [FONT=&amp]d. [/FONT]Kura ya/za maoni (katika vipengele mbalimbali)
  [FONT=&amp]e. [/FONT]Uchaguzi
  [FONT=&amp]f. [/FONT]Urekebishaji wa sera kuendana na katiba

  Sasa hakuna haja ya kuelewana vibaya hapa. Suala ni kuwa watu tunaokwenda kitaalam. Hii ni kuchokonoa wa JF na Tume ya katiba kujitathmini.

  Tusije tukatumia fedha na muda mwingi, halafu mwisho tukaambulia patupu. Ikitokea hivyo itakuwa aibu kwa Raisi, Serikali, Bunge hata sisi wananchi hatuta kuwa ubavu wa kuzungumza hata na wakenya tu. Katika hili tuachane na unafiki wa kuunga hoja asilimia mia moja halafu kuikosoa hoja hiyohiyo kama vile mtu ana nafsi mbili.


  Tume inajibatilisha kwa hizi predjudice
  .


  Nawakilisha, mkiniangusha, shauri yenu. Kabla ya kupiga kura hakikisha umelog in.


  Kumbe Zito naye ana mawazo mbadala, soma hapa
  http://www.mwanabidii.com/showthread.php?973-Zitto-Kabwe-Muundo-wa-Muungano-Serikali-Tatu-Moja-Mbili-Zote

  I declare my interest: Napenda serikali tatu ili tuweze kupanua muungano na nchi nyingine.
   
 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Najua kwamba pamoja na kwamba napenda serikali moja, wazenji hawatakubali, basi iwe serikali tatu. Na suala hili lirudishwe bungeni ili hadidu za rejea za tume zirekebishwe. Hii itawezasha upatikanaji wa rasimu ya katiba ya Tanganyika pia.
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wadanganyika, hawaelewi nini?
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Moderators pigeni kura hapa.
   
 5. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Pigeni kura nataka nipate kitu cha kumridhisha warioba. na inawezekana nikawa sio sahihi, nitakuwa nimejifunza. Nape piga kura, Myika, Zitto, JK NK. Hii ni kura ya siri.
   
 6. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Naona kuna mdau mmoja tu. Labda hawa jamaa ni waoga sana, au hawaelewi uzi. Ngoja tuone.
   
 7. T

  Taso JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Hapana!

  Mapendekezo:

  1. Muungano uwepo au usiwepo?

  Aina ya Muungano maana yake nini, unajuaje tunataka Muungano?
   
 8. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Ni kweli kwamba "Nyinyiemu" wametumia muda mwingi sana kushughulikia kero ndogo ndogo kiasi cha kuwabore watu lakini bado wanaotaka uvunjike kwa kutoa kauli kali na vitisho ni watu ambao hata Mapinduzi Matukufu ya 1964 ni kero kwao. Ila kama kuna majority nyuma yao kwa nini usivunjwe? It is only fair uvunjike kwa kuwa majority wanataka hata kama ni grave mistake kuuvunja.
  Ushauri wangu ni vema tupige kura ya maoni pande zote za Muungano. Wasioutaka kama Uamsho na Mimi binafsi (japo si mwanauamsho) pamoja na wengineo tufanye kampeni kuwashawishi watu waukatae na wale wanaoupenda sana wapewe nafasi ya kushawishi watu waseme wanautaka kisha tutekeleze matokeo bila kinyongo. Kama Muungano utashinda dhoruba hii ni wazi lazima tuulinde bila kujali chochote na kama kuna mtu atafanya chokochoko dhidi yake lazima tumbane kiasi cha kutosha.
  Nilijaribu kuelezea mawazo yangu katika thread hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/281670-kikwete-wape-zanzibar-wanachokitaka-tuishi-kwa-amani.html
   
 9. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Umeshapiga kura. Mpaka sasa wanotaka serikali tatu wanaongoza. Piga kampeni
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  I do respect your comments and polls.. Tutapata picha ya awali.
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Jun 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,137
  Trophy Points: 280
  ..Tanganyika irudi na mchakato ukomee hapo.
   
 12. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Naona hiyo ndio sawasawa
   
 13. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #13
  Jun 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  mkuu natamani uongeze na poll inayoonyesha watanganyika wanaokataa muungano na wazenji wanaokataa tulinganishe idadi.
   
 14. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mod ungeangalia hii coment, halafu ungistik hii threa ili tupate picha humu jf.
   
 15. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwanini tuntaka kuvunja muungano? Naona tafanye serkali tatu. Tutatatua kero zote na kuvuta nchi nyingi kuingia katika muungano.
   
 16. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hawa wazenji wanatuzingua sana. Bora tubaki na tanganyika yetu wao waende. Huenda wakawa bora zaidi, nasi tukajifunza kwao ili tupate maendeleo.
   
 17. m

  mzaire JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me naona kwanza tuvunje huu muungano ili kuondosha kero zte, kila nchi ifikirie tena upya jinsi muungano utakiwavo uwe, baadae tukae chini tupange yapi ya muungano na yepi si ya muungano.
   
 18. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Yaani bado wapo tuu? Aaargh, wataondoka lini hawa wapemba, mie kuna duka nalitamani pale kariakoo
   
 19. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Nimeshindwa ku vote kabisa. Aidha tiss wamechakachua, mods work on it
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  TISS walinzi wangu mimi na wewe, sana usiwe na wasiwasi. Yaani we vote bila wasiwasi. usiwasingizie. Ila Mod angestick hii, naona kama ni suala la maana, ili tuelewe anagalau humu JF watu wanasemaje. Mimi napenda serikali tatu
   
Loading...