Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF. zipo taarifa za ndani kutoka CCM taifa kuwa ndugu Nape Nnauye amepangiwa kugombea ubunge jimbo la Ubungo 2015 kupambana na John Mnyika, mpango huo ni mkakati wa kulikomboa jimbo hilo...
0 Reactions
104 Replies
8K Views
Suala la jina ndilo lilikuwa kati ya swali langu na amelitolea ufafanuuzi kuwa maadui zake ndio wanamuharibia na amehaidi kuwasiliana na mawakili wake kumfungulia kesi Nd. Sugu mbunge wa Mbeya...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
MBUNGE wa Ubungo na Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika SIKU moja baada ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kutangaza kumsaka mtu aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha...
2 Reactions
165 Replies
15K Views
Wadau, nimpongeze zitto kwa kusoma vitabu kama list hapo chini ilivo. Kwa sasa viongozi wengi serikalini hata ktk vyama vya siasa ni waropokaji wala hawasomi vitabu ili kuongeza maarifa. Nape...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana mwenyekiti wa ccm Singida alizomewa na wananchi hususa ni vijana baada ya kuwaambia wapokee salamu kutoka kwa mbunge wao wa singida mjini ndg.Mohamed Dewji ambae alisema hayupo yuko...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilikuwa Magomeni, hoteli inaitwa Sea boys kuna Mkakati unapangwa na wa kuwahonga baadhi ya Makada wa CHADEMA, au Vijana kuvuruga au kuingiza ajenda zao ikiwemo kubadili mwelekeo wa maamuzi ya...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Tanzania ni 1 ya nchi zinazojinasibu kuwa na amani. Kila kukicha wanaccm wamekuwa wakijitapa kuwa nchi yetu ina amani na ni mfuano wa kuigwa. Tujiulize swali hili! Kwanini Botiswana iwe namba moja...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Wakuu Huyu Mathayo aliye kuwa Mbunge wa Musoma Mjini, Amekuja na Njia ya kisasa zaidi ya Kuwinda Tembo kiasi kwamba ilichukua Muda kushitukiwa, Mathayo kwa sasa Ameanzisha kilimo Cha Matikitiki...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
by Amanda Leigh Lichtenstein on March 30, 2011 Zanzibar Water Well, 1908 I just had another flurry of rude text message exchanges with my landlord, Mohammed. The subject? Maji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAIBU Katibu Mkuu (Bara) wa Chama cha Wananchi (CUF), Mtatiro Julius, amesema kuwa chama hicho kikifanikiwa kushika dola kitahakikisha kinashirikiana na watu safi akiwemo Katibu Mkuu wa Chama cha...
1 Reactions
58 Replies
4K Views
"Tuipokua tukiiondoa serikari ya kikoloni tulikua na shabaha pia pia ya kuyaondoa maovu yote yaliyoandamana na serikari ya kikoloni. Uongozi katika serikari ya kikoloni ulikua hautokani na raia...
1 Reactions
2 Replies
999 Views
Huwa najiuliza sana , Tanzania ni muungano wa Nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar Zanzibar ipo lakini Tanzania imefunikwa!! Je ni nani anaweza kutuambia Tanganyika ilipo?! Kama ni hivyo basi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kila uchao,Ripoti za Tafiti mbalimbali huandikwa na Wasomi nchini Tanzania. Hugusa nyanja mbalimbali nchini:uchumi,siasa,utamaduni na michezo. Zipo Asasi zilizosheheni Wasomi zinazojishughulisha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
HERI ya Mwaka Mpya wa 2013wapenzi wasomaji wa Kalamuya Mwigamba. Nachukua nafasi hii ya pekee kuwashukuru sana kwa jinsi mlivyolipa sapoti gazeti letu pendwa. Mara nyingi nimewakumbusha kwamba...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Kipande hiki kidogo tu cha hotuba ya Mwalimu katika Mkutano Mkuu wa CCM mwaka 1995, kilikuwa ni utabiri mkubwa sana ambao kwa hakika umeshatokea. "Watanzania wanataka mabadiliko. Wasipoyaona...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kesho kutakua na mkutano wa hadhara viwanja vya mwembetogwa iringa mjini.makamanda watakao kuwepo ni Lissu, Msigwa, Sugu na wengine wa hapa mkoani. Ripoti kamili ni hio kesho. Peopleeeeee's...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kufuatia kuto kukubalika kwa mbunge wa CCM aliko kibona,ambaye anaishi tukuyu badala ya ileje kutokana na jimbo lake kuwa na miundombinu duni iliyo ndani ya jimbo lake. Watu wamechukizwa na hali...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
02 Januari, 2013. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU PINDA APEWA TUZO YA MKOA WA KATAVI *Ni tuzo mbili za mwaka katika...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwanini tunavilipa vyama vya siasa ili vije kututawala? Kwanini tunatoa mabilioni ya fedha kila mwezi kwa vyama vya siasa bila kuhakikishiwa kuwa vyama hivyo vitaendesha siasa safi na bora na kuwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mh. Diwani kata ya Iseke Tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi AMOS RUBEN MUGHENYI CHADEMA ameamua kujiuzulu nafasi hiyo kutokana sera za CHAMA za kutokuchangia maendeleo zilizoanzishwa na...
0 Reactions
207 Replies
17K Views
Back
Top Bottom