Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa kilimo na chakula ameagiza uchunguzi ufanyike na ikiwezekana hatua zichukuliwe kwa waliohusika na uuzwaji wa ndege tatu za serikali kwa bei ya kutupa. Amesema ameshtushwa na uuzwaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa miaka karibu 20, Tanzania imekuwa katika mchakato wa siasa za vyama vingi. Katika miaka hii 20, damu imemwagika, dhuluma imetokea, uonevu na unyanyasaji umeendelezwa, kauli za kudai haki na...
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Wana JF Heshima mbele, Napenda kumpa ushauri wa bure kabisa Mh Juma Nkamia kuwa ana maadui wawili wakubwa kwa ubunge wake wa Kondoa Moja ni CDM...nguvu ya Umma ni tishio Mbili-Diwani wa Kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, leo ninakwenda kusimama mbele ya Wabunge wote wa CCM kuomba kupitishwa kwenye kura zao za maoni ya kugombea Ubunge wa EAC, ninaamini niaenda pale nikiiwakilisha JF sasa ni muhimu sana leo...
27 Reactions
387 Replies
24K Views
Mh. N/ Waziri wa elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa...
5 Reactions
136 Replies
14K Views
Wakati hapa Tanzania tukiwa hatujasahau sakata la kijana aliyevaa sare za JWTZ na kupongezwa hadharani na wanachama na makada wa CDM, huko Kenya mabo ni serious zaid. Joshua Waiganjo amekamatwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumbe ngoma yote ya suala la bomba la gesi, ni dili la watu wa PanAfrican energy na songas. Kumbe Muathirika mkuu wa kwanza wa bomba hili, ni kampuni ya PanAfrican Energy ambayo ina bomba la...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Viongozi vijana nchini Tanzania wamegawanyika katika makundi mawili. (1) Real Leaders and (2) Leaders Wannabees. Aina hizo mbili za viongozi wanaweza kutofautsiha kama ifuatavyo: Real...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonekana ni maamuzi ya kukurupuka, mvua kidogo zilizonyesha hapa jijini na mikoani zimesababisha treni za dar na mikoani zilizozinduliwa hivi karibuni kwa mbwembwe kali kusitisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mujibu ya takwimu za B.O.T., ambazo pia zimenukuliwa na gazeti la nipashe la leo tar 04.01.2013, Zinaonesha kuwa deni la taifa kwa sasa limefikia Tshs TRILIONI ISHIRINI. Takriban sawa na...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
January Y. Makamba Jana nilizungumza kuhusu kuhama kutoka teknolojia ya analojia kwenda dijitali. Utaratibu huu utaanza na Dar es Salaam. Leo tutazima mikonga ya mawasiliano ya analojia iliyopo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa nini madaktari wapuuzwe? Mwandishi Wetu RAIA MWEMA...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
*Viongozi wa juu waandaliwa maandamano nchi nzima *Yadaiwa wameshindwa kutatua kero zinazowakabili HALI imeendelea kuwa si shwari ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya...
0 Reactions
124 Replies
9K Views
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu ambaye pia ni Mbunge wa Monduli Edward Lowassa (CCM), amewataka Watanzania kuutumia mwaka mpya kwa kufanya maamuzi magumu, ili kuweza kukabiliana na changamoto...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Kumbukumbu ya matukio makubwa yaliyo wakuta wana harakati za kisiasa nchi. kwanza ni CHAMA CHA WANANCHI (CUF)mwaka tarehe 27/01/2001 pemba yalitokea mauwaji ya wanachama wa cuf kupigwa risasi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yawezekana watanzania wengi hatujafuatilia jinsi madawa ya kulevya yanavyoleta madhara mazito kwa vijana,hasa walio vyuoni.Nimejaribu kuongea na vijana kadhaa walio vyuo vikuu, na tayari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jakaya Kikwetwe C.C.M Freeman Mbowe CHADEMA Haruna Lipumba C.U.F James Mbatia N.C.C.R Augustine Mrema T.L.P John Cheyo U.D.P
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amenukuliwa akikanusha kutanganza kuwa Dkt. Slaa atakuwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA 2015. Alifafanua kuwa, alichokisema...
8 Reactions
184 Replies
13K Views
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda sasa ila sijapata jibu la uhakika hasa, hivyo nitapenda hekima zako ili tuweze kujadili nini hasa maana ya regime? Na ni facts gani hasa zinazoashiria nchi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi nafikiri kwa uelewa wangu nikwamba serikali mpaka sasa haijaelewa nini kilio kikubwa cha watu wa mtwara kuhusu gesi, nakama serikali ina tambua fika madai ya watu wa Mtwara kuhusiana na suala...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Back
Top Bottom