NI HAKI YA MSINGI KABISA WANANCHI WA MKOA WA MTWARA KUANDAMANA KUPINGA GESI KUPELEKWA DAR ES SALAAM WAKATI HAWAJUI HATIMA YAO.
TAREHE: 05/01/2013
Jumuiya ya vijana CUF Taifa inaendelea kuunga...
Tanzania looked set to start the
year as the second largest
destination for Kenyan goods
after Uganda even as Chinese and
Indian products flooded its
market.
Official data shows that
Tanzanias...
Ikiwa Chadema itashinda nafasi ya urais 2015 kama wanavyotabiri wao,hakuna ubishi CCM Itaendelea kuongoza katika namba ya uwakilishi wa idadi ya viti vya ubunge, HIVYO NI LAZIMA WAZIRI MKUU ATOKE...
Mapema mwaka jana Naibu katibu mkuu wa CHADEMA, Zuberi ZitoKabwe alinukunuliwa na gazeti la Nipashe kuwa hatogombea nafasi yo yote ya uongozi ndani ya chama chake.
· Zitto:Sitagombea...
2012 was a good year for female politicians in Africa, with two female presidents and a female leader of the African Union. HowzitMSN looks at 11 women who are making their mark on African...
Habari za asubuhi wana Jf.
kama mtakumbuka wiki iliyopita nilipata kudokeza juu ya kile nilicho kisikiliza na kumuelewa yule meya wa manispaa ya Ilemela aliyefukuzwa uanachama na CHADEMA, leo...
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa singida,jana alizomewa baada ya kuwaambia wakazi wa manispaa hii kuwa mbunge wao wa singida mjini ndugu Mohamed Dewji anawasalimia yuko Uganda,uingreza na sehemu za Asia...
Kipindi cha jicho la habari naona kimeanza, wachambuzi watatupia macho mambo yaliyojitokeza kwenye habari wiki hii huku kikubwa ni suala la Gesi Mtwara kauli za Rais, na Waziri na wanasiasa...
Wahenga walisema historia hujirudia, yaliyomkuta mtawala wa GALILAYA Mh. Ponsio Pilato ndiyo hayo hayo yamemkuta na mtawala wa wabongo Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Bahati mbaya kwa Ponsio...
Kuna Jimbo la Sumbawanga Mjini;kuna Kata za Arusha waliofukuzwa uanachama wa CHADEMA;kuna kata mbili za Jimbo la Sengerema ambapo Madiwani wake walihamia CHADEMA wakitokea CCM. Tume ya Uchaguzi...
MWENYEKITI WA KWANZA KALLEY PANDUKIZI CHADEMA DIASPORA USA (MARYLAND, DC NA VIRGINIA) ANG'AKA
KATIBU WA KWANZA LIBERATUS MWANGOMBE CHADEMA DIASPORA USA YUPO MODERATE ZAIDI
Niwazi kuwa mifumo iliyowekwa na serikali ya CCM haikidhi kiu ya watanzania ya kupata maendeleo yanayolingana na Rasilimali ambazo Mwenyezi Mungu ametujaalia.
Kwa upande mwingine mfumo...
Wakati nikiwa nasoma shule ya msingi enzi ya chama kimoja tulifundishwa somo la siasa,tuliambiwa kuwa imani mojawapo ya ccm ni kuwa chama kinaamini kwamba binadamu wote ni sawa.
Mimi si...
watanzania wenzangu ninawaomba sana mambo yote yanayohusu urais ndani ya chadema yaacheni mpaka muda na katiba vitakapowadia si vema kuwalaghai watanzania wasiokuwa na hatia alafu kugawa chama cha...
Kama alivyosema mwanajanvi mmoja nami naomba nianze mwaka kwa kupingana Mwenyekiti wangu. Nadhani kwa kusema kuwa mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na 10 wa CCM ni kuwapunja wabunge wetu labda...
Operesheni chakaza CCM kabisa ndani ya Arumeru Magharibi tumejipanga kwa moyo mkunjufu na wa dhati na tumedhamiria kuitokomeza kabisa CCM ktk pande zote za Tanzania na ifikapo mwaka 2015 CCM...
KUWATUMIA WATAALAMU WA KITANZANIA WALIOKO UGHAIBUNI (DIASPORA) NA NDANI YA NCHI KUJENGA UWEZO NA UFANISI WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI MUHIMU ZA SERIKALI
______________________________Serikali ya...
Pigo kwa kanisa, makatibu wa tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba,ambao wote ni waislam wamechakachua maoni ya wakristo ambao kwa ujumula wao wanapinga katiba mpya kuitambua mahakama ya...
Wakuu,
Kuna askofu anahojiwa katika kipindi cha asubuhi cha star tv,anasema kiongozi anapokosa
1.Right vison
2.Right peaple
3.Right strategies
4.Right timing, pia huyo mtu atashindwa...
Mahmoud Ahmad Arusha
Mbunge wa Jiji la Arusha Godbless Lema amelipongeza jeshi la polisi mkoani hapa kwa kuweza kudhibiti vitendo vya uhalifu wakati wa kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.