Wanachama wa CCM Yatoa Mpya 2012!

Wanachama wa CCM Yatoa Mpya 2012!

MALIKITI

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
37
Reaction score
29
Wengine mtasema ni uongo, hatahivyo imetokea mtaani kwetu, wakereketwa na wanachama wa CCM kuweka T-shirts zao kwenye rambo kuogopa kuzomewa mitaani, wakiwa safarini kwenda katika mkutano wa diwani. Tuliwashangaa walionekana katika mkutano wa diwani wamevaa mashati, vilemba na skafu zenye rangi za CCM wakati barabarani walikuwa wamevaa nguo za kawaida.

Udadisi wangu ulipofanyika, iligundulika siku hizi kuvaa nguo za CCM barabarani siyo deal bali ni kuvutia zomea zomea toka kwa wananchi walioichoka CCM.
CCM mwisho wa kuongoza nchi umefika!

Tukio hili limetokea jana jioni, Mbagala, DSM
 
Arusha moshi mbeya songea wanapigia deki na kuoshea magari
 
watajuta kumchagua jk kuwa raisi wa nchi mwenyekiti ccm....pipozzzzzz
 
Hahahahaha!hi kali kwelikweli!kuwa CCM ni sawa na umejipaka mavi na kukatiza katikati ya umati wa watu.
 
Acheni maneno maneno, CCM tunachanja mbuga, nyie kazi yenu kutunga uwongo, serikali yetu inatoa facts kwa watanzania
 
Heshima kwenu wakuu!!
Huo ni ukweli usiopingika kuvaa t-shirt za magamba ni mikosi. Hapa mtaani kwetu huwezi vaa t-shirt ya magamba kisha ukakatiza mtaani labda uivue kwanza ndo' utembee otherwise utaandamwa na zomea zomea.
 
Wengine mtasema ni uongo, hatahivyo imetokea mtaani kwetu, wakereketwa na wanachama wa CCM kuweka T-shirts zao kwenye rambo kuogopa kuzomewa mitaani, wakiwa safarini kwenda katika mkutano wa diwani. Tuliwashangaa walionekana katika mkutano wa diwani wamevaa mashati, vilemba na skafu zenye rangi za CCM wakati barabarani walikuwa wamevaa nguo za kawaida.

Udadisi wangu ulipofanyika, iligundulika siku hizi kuvaa nguo za CCM barabarani siyo deal bali ni kuvutia zomea zomea toka kwa wananchi walioichoka CCM.
CCM mwisho wa kuongoza nchi umefika!

Tukio hili limetokea jana jioni, Mbagala, DSM

Wanauza utumbo halafu wanaogopa nzi????
 
Mm hata nikifa wakanizika kwenye sanda ya njano,nawatokea wote ndotoni!
 
Sasa hivi CCM ni ya kuogopa kama ukoma

Kuwa mwana CCM ni aibu, ila watu wanafuata mkumbo kwa ajili ya kutafuta chochote
 
Ni kweli , viongozi wengi wa CCM wa ngazi za chini , yaani wale wa matawi na kata huwa wanapoelekea labda Jangwani kwenye mkutano wa hadhara , Zile sare zao huvalia ndani ya yale Mabasi au Mafuso ya kukodi , mwanzo sikujua sababu lakini baada ya uchunguzi kidogo, nimegundua wanaona aibu kubwa sana kutinga yale mavazi mtaani wanakoishi .
 
hehehe kumbe bado CCM inawaumiza vichwa?
DSM usiongee kuhusu Upinzani wewe CDM hakuna lenu huku
 
hehehe kumbe bado CCM inawaumiza vichwa?
DSM usiongee kuhusu Upinzani wewe CDM hakuna lenu huku

Majimbo ya makubwa na muhimu dar ni Ilala,Kawe na Ubungo.....kati ya hayo mawili yanaongozwa na CDM,pia ni most populated constituencies!
Unaesema dar unamaanisha nini kama wajanja wa Masaki,Osterbay,Msasani,Mbezi beach,Makongo juu,Kawe beach na Chuo kikuu wamechagua chadema....halafu pengine wewe mlala njaa tu wa magurumbasi umeshindwa kuwa na fikra za mabadiliko,na kuridhika na maisha ya kuishi nyumba za kuvuja wakati kuna sera ya kuwapunguzia wananchi gharama za ujenzi!
 
Back
Top Bottom