Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJF, Wakati Mjadala wa Katiba Mpya unaendelea suala la Wabunge na Madiwani wa Viti Maalumu litajadiliwa. Wapo watu ambao wanaona kwamba kundi hili la viongozi ni mzigo kwa nchi ukiangalia...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Naomba leo niweke hadharani na Msimamizi wa jf tafadhali usichanganye mada hii. NI mara yangu ya kwanza kutuma ujumbe ingawa najua wenzangu wengi huwa wanarusha mambo mengi tu. Kuna barua ambayo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tangu mwaka jana TUME YA KATIBA MPYA ilipoanza kukusanya maoni ya katiba mpya imekuwa ikibagua jinsi ya kukusanya maoni na mpaka hivi sasa kundi la wanafunzi wa vyuo vikuu halijafikiwa katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kikwete is not saying that much but it seems the strategy now is to attack the opposition (read CHADEMA) with charm offensive. How can CHADEMA fend off such a well planned, meticulously executed...
8 Reactions
51 Replies
4K Views
Kadiri mwaka 2015 unavyokaribia, matukio ya kila siku yananifanya nitafakari mustakabali wa nchi yetu. Nguvu ya Magazeti kusema ukweli na kuwapeleka watanzania wanapotakiwa inahitajika. Kampuni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Jiji la Mbeya angalau linaanza kupendeza kwa ujenzi wa barabara baada ya kuwa na idadi kubwa ya madiwan wengi wa upinzani kwa mara ya kwanza ktk historia ya jiji.Pia mkurugenzi shupavu kuziba...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Mgonjwa aliyebebwa kwenye machela ni mkazi wa kijiji cha Uleling'ombe kitongoji cha Lengewaha,Jimbo la Mikumi.Kunauchimbaji wa Dhahabu na Shaba unafanyika huko lakini miundombinu bado ni...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
  • Closed
Mwaka 2012 ulikuwa ni mwaka wenye changamoto nyingi, mafanikio makubwa ya kisiasa kama vile kushinda uchaguzi mdogo Arumeru na chaguzi kadhaa za Udiwani Kwa upande wa chama. Bungeni ulikuwa mwaka...
117 Reactions
522 Replies
37K Views
Wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana Heche katika kusukuma mbele ajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama...
1 Reactions
115 Replies
7K Views
Heshima kwenu.! Baada ya Kamanda Mawazo kufanya mkutano mkubwa jana pale Igoma ,leo makamanda M4C mwanza chini ya Mawazo kinaelekea kijiji cha Chifumfu ,wilayani Sengerema kupeleka ujumbe wa vugu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJf, Kesho tar.09/01/2013 viongozi na wabunge wa chadema watakuwa na kikao cha kuwekana sawa na kujipanga kwa ajili ya bunge lijalo mapema mwishoni mwa mwezi huu Tar.29/01/2013. Nimefanikiwa...
4 Reactions
162 Replies
14K Views
kulingana namaendeleo ya teknoma upashanaji wa habari kijana wa miaka 14 anauelewa mpana sana kuliko kijana wa 14 miaka ya 1977 wakati katiba ya sasa ikitungwa. hivyo basi kama ilivyo tunataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chanzo cha kuaminika ndani ya CCM kimenitonya kwamba Mzee Wassira ndiye aliyewatuma watoto wao kuja CHADEMA ili kutema cheche na baadaye kujiengua kurudi CCM kwa mbwembwe kabla ya 2015 ili...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Naomba tuwatangaze mashujaa wetu bila upendeleo wowote. Awe mwana siasa au mwananchi wa kawaida aliyefanya kazi nzuri kwa ajili ya kuleta maendeleo ya Nchi yetu. Aliyefichua uovu kwa faida ya...
2 Reactions
92 Replies
6K Views
MGOGORO wa makada wawili wa CCM; Benard Membe na Hussein Bashe umechukua sura mpya, baada ya mbunge huyo wa Mtama, kukiomba chama hicho tawala kuingilia kati ili kuupatia suluhu. "Nitashughulika...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
SEKRETARIETI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),imejichimbia mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutengeneza mpango mkakati wanamna ya kuendesha shughuli zao kwa mwaka huu. Itakumbuka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila kijana wa leo katika taifa letu anategemea kuzeeka siku moja and hopefully, age graciously; Kwa vigezo Vya Umoja wa Mataifa, Umri wa uzee unaanzia miaka 60; Takwimu zilizopo zinaonyesha...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Tume ya marekebisho ya katiba; Joseph Sinde Warioba, hivi karibuni amekuwa akitoa matamshi yanayoonyesha dhahiri kutunyanyapaa wananchi ambao tumekuwa mstari wa mbele kutoa maoni...
15 Reactions
45 Replies
4K Views
Inavyoonekana ni kana kwamba mkurugenzi wa jiji la Mwanza yupo katika likizo ndefu kutokana na ukweli kwamba kuna barabara jijini Mwanza zinapitika kwa shida kubwa sana. Angalia barabara ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SIKU moja baada ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), kudai CCM inashirikiana na baadhi ya viongozi wake kukisaliti chama hicho, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom