Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

News toka DC ni kuwa jina lake limependekezwa kuchua nafasi ya Hillary ambaye ameamua kuachia ngazi. Ukweli ni kuwa huyu mama not only hapendwi na jamaa wa State Department na hasa idara...
8 Reactions
120 Replies
11K Views
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM...
0 Reactions
279 Replies
18K Views
Awali ya yote niwapongezi wazalendo walalahoi wa nchi kwa uvumilivu mwingi dhidi ya uongozi usionatija wa Serikali yetu. Katika Vyombo vingi vya habari leo hii kuna Picha kutoka Ikulu ikimuonyesha...
5 Reactions
105 Replies
11K Views
WANA JF, Kumbukeni jana mheshimiwa rais alikuwa mkoani tabora kwenye ziara ya kiazi,akiambatana na waziri wa ujenzi dr.magufuli pamoja na maghembe.wakati wa utoaji takwimu na ufafanuzi juu ya...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Serikali inapojenga daraja, kuzindua mkoa mpya, ujenzi wa hospitali ni HAKI au HISANI na je Katiba mpya inasema kuwa kazi za serikali kutoa huduma za afya, elimu au ujenzi wa madaraja na barabara...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Petition published by Sandra Cardoso on JAN, 2013 28 Signatures Target: Tanzania Region: GLOBAL Web site: http://nooneleftbehind-tanzania.blogspot.com/2012/... Sign the petition...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. KATIKA makala zilizotangulia tuliona namna ambavyo CHADEMA kupitia kwa viongozi wake na hasa wabunge ilivyosimamia msingi wa ‘kulinda rasilimali za nchi.’ Tuliona mfano wa ndugu Halima...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Baada ya Mbunge wa Bukoba Mjini na waziri wa maliasili Khamis Kagasheki kushindwa kumung'oa Anatory Amani kwenye umeya ndani ya mkutano mkuu wa CCM wilaya, na kufanya CCM mkoa na Taifa kuwaambia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tangu tume ya katiba ianze kusikiliza makundi maalum, naona yanatolewa mapendekezo yanayofanana na mapendekezo ya sheria. Kwa mfano, leo Mengi kasema serikali isiwe na vyombo vya habari. Vilevile...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka Katibu mkuu wa CCM aje ape anipe jibu hivi imekuwaje yupo kimya,kuhusiana na matukio ya askari polisi kuonekana wakijiingiza kwenye uuaji wa Tembo na uusafirishaji wa pembe na meno ya tembo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani kama swali litakuwa gumu au limewaudhi mashabiki wa vyama vya siasa. I'm sure GREAT THINKERS watakuwa wamenielewa naulizia nini
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MBUNGE wa Maswa Magharibi, John Shibuda, anaweza kupoteza ubunge wakati wowote , Raia Mwema, limeelezwa. Hiyo inatokana na chama chake, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kumtuhumu...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
SAKATA la mtuhumiwa, Joshua Mulundi, anayekabiliwa na kesi ya kumteka na kutaka kumsababishia kifo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka, sasa limechukua sura mpya baada...
0 Reactions
90 Replies
8K Views
Mifuko ya Saruji 24 iliyoharibika Aliyekuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Mlaguzi, Antony Msagala (CCM) akitoa Tamko la Viongozi wake kusema Uongo na kumdharilisha juu ya Ubadhirifu wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ikiwa imebakia siku chache mwezi ujao M4C itikise wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, na kufuatiwa na uchaguzi wa viongozi ngazi ya wilaya, Mwenyekiti wa CHADEMA wilayani hapa Bw. Rajabu Bujoro...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Heshima kwenu.! Baada ya Kamanda Mawazo kufanya mkutano mkubwa jana pale Igoma ,leo makamanda M4C Mwanza chini ya Mawazo kinaelekea kijiji cha Chifumfu ,wilayani Sengerema kupeleka ujumbe wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanzania haiko shwari, mambo hayaendi sawa madini tunaibiwa,meno ya tembo tunaibiwa tukiuliza tunapigwa longo longo tunapotezea maisha yana kwenda sio sawa kabisa. Sera yetu iwe ni UZALENDO kwa...
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Wanabodi. Kwa nini Dr. Slaa apendi kwenda kwenye misiba ya wasanii wetu. Dr. Slaa anaonekana kwenye misiba michache ya kisiasa ambayo ina maslahi na Chadema. Dr. Slaa mbona unawatenga...
1 Reactions
463 Replies
34K Views
Kwanza naanza kwa kuwapongeza Wananchi wa Ntwara kwa kuamua kuzuia Gesi asilia kusafirishwa toka Mtwara kuja Dar. Wanastahili pongezi kwa vile ni Watanzaia amabo wamejitambua na kujua umuhimu wa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
TUNAUANZA mwaka mwingine ‘mpya' tukiwa na matatizo yetu yale yale ya zamani, isipokuwa tu kwamba yanazidi kuwa magumu kutokana na udhaifu wetu katika kuyashughulikia. Yatazidi kuwa magumu na...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom