Mh Beatrice Shelukindo ameamua kuvunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Edward Lowassa kumrithi Mh. Rais Kikwete.
Shelukindo alitoa kauli hiyo Jumapili wakati akiwasalimia wakazi wa...
Na Denis Mlowe – Iringa
Diwani wa viti maalum na katibu wa madiwani wa chama cha mapinduzi mkoani Iringa Agusta Mtemi amewataka wanachama wa chama cha mapinduzi kuepukana na tabia ya...
The headline for this story, at Current is Growing The Empire. US Deploying Troops To 35 African Countries.
Of course the DC spin is that this is all about "training" troops of these nations...
Wakuu.
Ccm wamekata rufaa kupinga kuvuliwa ubunge kwa Dr Peter Kafumu, habari ni kama inavyosomeka hapa chini.
Simba aliliambia NIPASHE kuwa rufaa ya Dk. Kafumu ilikatwa kupitia Wakili wake...
The following is according to my observations;
Ten Male Personalities in Politics, Government and Institutions for the year.
1. Wilbroad Slaa – Chadema
2. John Mnyika –...
Dear All,
Wazanzibari wameishukuru CHADEMA kwa dhati kabisa kwa kumfunga na kumziba mdomo yule mwanachama wao anaeitwa Mzee Mwanakijiji ambae alikuwa akikebehi na kusema kuwa hauna mantiki yoyote...
Wanabodi,
Sasa hivi Nape anafanya mahojiano na Sabinus Mbogo, mtangazaji wa vipindi vya mijadala radio Wapo. Uzuri wa kipindi hiki kuna nafasi ya wasikilizaji kutoa maoni au kuuliza maswali. Kwa...
Naomba mnisaidie je hii ni halali?
Juzi Rais JK alihutubia mjini Tabora uwanja wa chipukizi, ambapo awali mkutano ulipangwa kufanyika eneo la cheo na kukoswa watu ndo wakahamishia mkutano uwanja...
Ndugu wanajamii forum habari nilizozipata hivi punde ni kuwa Mh. sana Dr. W.P Slaa siku ya Jumamosi atakuwa Moshi na moja ya eneo atakalodhuru ni Chuo Cha Mwenge.
Naomba kupata taarifa kutoka...
MSAJILI wa vyama vya Siasa, John Tendwa, ameibua mjadala mzito kwa viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamemtaka kuwaeleza Watanzania kama anamiliki kadi yoyote ya chama cha siasa, kabla ya...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete yuko kwenye ziara yake ya kazi mkoani Tabora toka jana alipoianza akitokea mkoa wa Singida. Jana alipokelewa mkoani hapa akitokea Singida.
Akiwa kwenye mkutano wa...
Ndugu zetu polisi wanatabia ya kuwanyanyasa wananchi, hata sasa hivi watu wanapokufa muhimbili, wao wanazuia maandamano. Sijui ni kwa maanufaa ya nani wakati ni ndugu zao pia wanaokufa...
Mwalimu Julius K. Nyerere atabaki kuwa ni alama muhimu kwa vizazi na vizazi vya nchi hii na Utawala wa Mwalimu Julius K. Nyerere katika ardhi ya Tanganyika/Tanzania utabaki kuwa ni alama adhimu...
Hii inatokea kwa ajili ya mwekezaji, Brigedia wa Kiarabu ambaye amenunua eneo kwa ajili ya kuwinda. Starehe ya Mwarabu ni muhimu kuliko maisha ya mtanzania. Wanawake wanabakwa jamani. this is so...
Baba! Baba! Nafikiri leo ukiyakumbuka maneno yako, unajuuuuta kumfahamu Wenje! ha ha ha ha ha ha!
Mafisadi! Piga chini! Wezi! Piga chini! Majambazi! Piga chini! Wachakachuaji! Piga chini!
Wera...
Modern-Day Slavery on D.C.'s Embassy Row?
By E. Benjamin Skinner
Monday, Jun. 14, 2010
Secretary of State Hillary Clinton discusses the 2010 Trafficking in Persons Report
Drew Angerer...
Moscow, Russia - India's proposal to set up a bank of the BRICS nations (Brazil, Russia, India, China and South Africa) will top the agenda at the group's summit on March 28.
India believes a...
Gazeti la Dira Ya Mtanzania linamuhusisha Mh. Edward Lowassa kuwa ndio chanzo cha mgomo wa madaktari ili kumkwamisha Rais kiutendaji kwa manufaa yake ya kuusaka urais 2015. Vilevile linazidi...
CCM imekuwa madarakani kwa miaka zaidi ya 50. Tulichokivuna wanatanzania ni Ufisadi, Umasikini, Umwinyi na usultani wa Viongozi wake. Wamekuja na mambo kibao, Nuguvu mpya, na hari mpya ambayo...
USA wadau wengi sio wanasiasa kama watu wengi wanavyofikiria na washabiki wa vyama vya siasa sio wengi kabisa kama mitandao na habari zinavyoonyesha. Balozi alivyoamia tulijaribu kumwambia kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.