Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rushwa ni adui wa haki sinto toa rushwa wala kupokea rushwa. Nitasema kweli daima nafitina kwagu mwiko. Binadamu wote ni sawa. Sintotumia cheo chngu kwa faida yangu wala ya ndugu zangu...
17 Reactions
73 Replies
9K Views
Wow kumekucha! Naona CCM wamependekeza kuruhusu wagombea binafsi kwenye nafasi zote ukiwemo urais. Hii ni habari kubwa sana kwenye siasa za Tanzania ijayo. CHADEMA wanataka miaka 18 ndio umri...
9 Reactions
157 Replies
12K Views
UZEMBE wa Wauguzi wa Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kuchelewa kumpokea na kumpa huduma zinazostahili mjamzito, kumesababisha kujifungua hadharani nje ya wodi. Mama...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
----- Original Message ----- From: Amb. Ali Karume To: shariff@omantel.net.om Sent: Wednesday, January 02, 2013 7:09 PM Subject: RE: [zirpp] ZANZIBAR INDEPENDENCE DAY 10.12.1963 Professor...
6 Reactions
101 Replies
12K Views
"" Wahuni" naam;hilo ndo jina sahihi ambalo mimi ninalichagua kwa baadhi ya vijana wasio na nidhamu kwa Chadema na baadhi ya viongozi wake wanaoongoza harakati za kukikongoroa chama hicho kwa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Mheshimiwa waziri mkuu,napenda kutanguliza salamu zangu za mwaka mpya wa 2013 ambao naamini ni mwaka wenye malengo mapya kiutendaji na kisiasa pia. Lengo hasa la kuandika barua hii ya wazi kwako...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Napata sana shida kujua hasa CCM ni ipi na serikali ya CCM ni ipi kutokana na vitendo vyake vinavyokinzana kati ya serikali ya CCM na CCM yenyewe.Tumekuwa tukiona maazimio mbalimbali ya chama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu wanaumiza vichwa, kujipanga kupelekea ukombozi wa nchi kutoka hawa mafisadi wanaojifanya wamejimilikisha nchi, eti kuna vijipakizi vinaibuka na kuanza kuleta fujo ndani ya chama. Infact...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri Mkuu aliyejiuzuru Mh.Edward Lowasa ameendelea kutapatapa katika medani za siasa. Safari hii amejitetea kuwa hana utajiri wa kutisha kama maadui wake wanavyomchafua, badala yake ana utajiri...
7 Reactions
146 Replies
18K Views
Ndiyo Wakuu , heshima kwenu ! Baada ya Kamanda Mawazo kuichakaza CCM Kwimba , wiki hii 2/1/2013 ata ongozana na Makamanda wa M4C kanda ya Ziwa kuwasha moto Igoma Jijini Mwanza. Ikumbukwe...
0 Reactions
107 Replies
9K Views
Wednesday, January 9, 2013 Juzi Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilianza rasmi kupokea maoni ya makundi maalum kwa ajili ya mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya ya Tanzania. Tume hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, Leo nimesikiliza hotuba ya Mwl J.K.Nyerere kupitia sibuka tv. Angalizo kubwa na msisitizo Tanzania kuacha tabia ya kuwa omba omba kwa nchi za magharibi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Ndugu wanaJF kabla ya ziara ya Kikwete kuingia Tabora alikuwepo Singida,kwenye mkutano wake wa hadhara pale Singida alibanwa kuhusiana na kero ya maji ikambidi amuinue mhandisi wa wilaya kuelezea...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Kutoka mwaka 2010 hadi 2012,Hii ndio orodha ya wanachama pontetial wa chadema waliofukuzwa kwa makosa tofauti tofauti yakiwemo,Kupingana kimawazo na viongozi wa juu wa chama. 1.Diwani wa Geita...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndejembi: Shellukindo unamharibia Lowassa Top ofForm MWANASIASAmkongwe nchini na Kada wa CCM, Pancras Ndejembi amejitosa kwenye mjadala wambio za urais mwaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
BAADHI ya wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, wamesusia kushiriki kikao kilichoitishwa na mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete, kwa madai ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hivi wanasiasa wa upinzani wa Tanzania huwa wanapatwa na nini?? Kuna usemi kuwa ngoma ikilia sana mwisho upasuka. Siyo siri tena CHADEMA kinakufa. Hau ndiyo ile movement for change waliokuwa...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Dear All, Blogu la Zanzibar Ni Kwetu (ZNK) linawatakia Watanzania wote kila la kheri katika mwaka huu mpya wa 2013. Sisi kama blogu la jamii tutaendelea kwa vitendo na kwa kalamu kuuhifadhi na...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Wasalaam, Wana JF, ni muda mrefu sasa umepita tangu nianze kusoma mijadala ndani ya huu mtandao wa wanaJF, na sikuwai kuchangia hoja yoyote katika mijadala iliyokuwa inajadiliwa. Si kwamba...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Uongozi ni ushawishi. Uongozi siyo kutegeana, kutegeshana, kunyemeleana na kufukuzana. Na uongozi siyo vitisho au mikwara. Kiongozi anayeishi kwa vitisho ni kiongozi aliyeshindwa hoja. Hili ni...
8 Reactions
118 Replies
9K Views
Back
Top Bottom