Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna kitu nachochukia kusikia mwanasiasa fulani kahama chama fulani kwenda kingine na huku akipanda jukwaani anaanza kukiponda chama alichokuwepo hizi ni siasa majitaka kwani umeona ni kibovu...
1 Reactions
7 Replies
998 Views
Ndugu wana JF. 1.Nataka kuteneneza mswada wa kuzuia kunywa Pombe siku mbili kabla ya. Uchaguzi Mkuu Uchaguzi wa Wabunge Kura ya Katiba mpya Sababu zilizo nituma Rushwa nyinyi upitia uko...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Waungwana, wachambuzi wa mambo, natumaini wote mko salama. Nataka tushirikiane kutoa mchango, wa kujenga hiki chama kikuu cha upinzani, yana weza kuwa mawazo yanayo udhi kwa wanachama wake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
QF Mtakumbuka kuwa mwaka 2006 wakati rais anamteua inspkta jenerali Mwema na WASIFU wake kutolewa mojawapo ya sifa muhimu tunayokumbuka ni kuwa alizaliwa mwaka 1953 Mkoani Kilimanjaro. Kwa msingi...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Sasa tunaingia mwaka wa tatu kutokea uchaguzi mkuu uliopita wa 2010 ufanyike. Katika uchaguzi huo Chadema ilifanikiwa kushinda majimbo kadhaa ya ubunge na kushinda udiwani katika...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kutokana na kulalamikiwa saana na Waislaam kuwa Makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Makanisa (MOU) yanafanya nchi hii iwe na "Mfumo Kristo" na hivyo kuwanyanyasa Waislaam na hata...
35 Reactions
425 Replies
42K Views
Tume ya Jaji Warioba imeshaanza kupokea maoni ya vyama vya siasa nchini juu ya nini hasa kiwepo na kiwepo kwa namna gani katika Katiba mpya. Kwa mawazo yangu,naiona hatua hii kama ni hatua ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeona maajabu sana. Katika ziara za Waziri mkuu wa Tanzania kanda ya ziwa kaambatana na mkewe. Baada ya kuona Raia hawamuelewi waziri mkuu, Tunu Pinda ikabidi aulize swali kwa niaba ya wakazi wa...
1 Reactions
82 Replies
11K Views
If commuters’ surplus body heat can be used to keep an office building warm, then why not store the heat that beats down on bike paths during the summer and use it to keep them ice-free in the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana ukumbi. Siku zote na mara nyingi tumesikia watu wengi sana wakiwa wanajadili hoja mbali mbali kuhusu hatima za Muungano wa Tanganyika na Znz hususan katika kipindi hichi cha kutoia maoni ya...
3 Reactions
162 Replies
11K Views
Chama kikubwa na mbadala wa CCM na ambacho kitakuwa na mamlaka ya nchi hii 2015 mbona mpaka sasa hivi kahikatoa tamko au taarifa yoyote kuhusu hali ya kisiasa kule visiwani, vurugu zilizotokea na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
“Kama tutashindwa kuwajibishana wenyewe kwa wenyewe katika makosa yenye ushahidi kama huu basi tutakuwa hatuna sababu ya kupewa nchi mwaka 2015 kwa kuwa hawa wasaliti hawawaathiri Wanachadema tu...
11 Reactions
64 Replies
5K Views
Lilipowekwa bandiko hapa JF lihusulo tetesi za wewe na wengineo kuvuliwa uanachama wa BAVICHA na CHADEMA,ulikurupuka kwa nguvu ya kimbunga kuja kukanusha uliouita upotoshaji. Ukajidai kujenga...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Anaongelea swala maswala ya katiba,mada uwasilishwaji wa maoni ya katiba upande wa CUF
0 Reactions
1 Replies
851 Views
"viongozi wa muungano wa vyama vya siasa Mtwara wamekamatwa na Polisi. Tunafuatilia na tutatoa taarifa zaidi" Source: ZITTO KABWE ON FACEBOOK
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Siku za hivi karibuni kila mtu amekua mwanasiasa. Je ili uwe mwanasiasa hodari ni lazima kuibua tuhuma zisizokua na kichwa wala miguu? Je siasa za vyama haziwezi piga hatua bila kuongelea vyama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, ametajwa kwamba anaongoza mtandao wa kukivuruga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kupitia Baraza la Vijana la Chama...
0 Reactions
160 Replies
10K Views
Du!!!!! who is this young guy Nape, aliagiza serikali imtimue mkandarasi wa barabara ya Namtumbo/Tunduru kwasababu ya kasi yake mbovu ya ujenzi wa barabara hiyo... Itakumbukwa Nape alipofanya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Na Happiness Katabazi UPANDE wa jamhuri katika kesi ya kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kulisababishia hasara Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) inayomkabili...
2 Reactions
47 Replies
9K Views
Katibu wa itikadi na Ulegezi wa CCM Nape Nnauye leo Atasikika ktk kipindi cha Mkasi kinachoendeshwa na Salama Jabiri..JE NI NAPE YULE WA POROJO ZA KISIASA AMA ATAKUJA KIVINGINE.stay tuned
1 Reactions
70 Replies
9K Views
Back
Top Bottom