Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amebana Spika wa Bunge Anna Makinda na Waziri wa Viwanda na Biashara Dr Abdalah Kigoda kwa kukwepa kuchukua hatua juu ya madai ya ufisadi katika Kiwanda cha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Marehem Jai Somani mwenye tshirt ya kijani MSHITAKIWA Katika kesi ya wizi wa zaidi ya Sh bilioni tano za Benki Kuu ya Tanzania kutoka katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu ya Tanzania...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Majimarefu Asema Picha Imetengenezwa Amemaliza maongezi na wakili maarufu jijini kuiburuza CHADEMA na MWANANCHI Mahakamani Jumatatu kwa kumchafulia jina na heshima yake ndani ya chama na jamii...
3 Reactions
144 Replies
16K Views
Baada ya kusoma taarifa hapa nimegundua kwanini watu wanapigania kuwa wanasiasa haswa ccm! yaani piga ua garagaza hata kwa pesa ndefu lazima wapate nafasi! kumbe kuna faida mpaka kwa vitukuu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Makamu Mkiti wa CCM Philip Mangula alionja joto ya jiwe mkoani Mwanza pale msafara wake ulipozomewa vibaya njia nzima tokea alipotoka uwanja wa nyamagana kwenye mkutano wa hadhara. Aibu hiyo ya...
10 Reactions
180 Replies
13K Views
Ikumbukwe kuwa mwaka jana mnamo mwezi wa May/June CHADEMA mara baada kuzindua M4C pale Jangwani, DSM, operesheni hiyo ilielekea mkoani Mtwara na Lindi, kwa Mkoa wa Mtwara Operesheni hii ilikwenda...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
KUVUNJIKA KWA MUUNGANO SI JAMBO GENI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sauti:Mzee Moyo, Salum Rashid watoa maoni – Katiba Written by Mrfroasty (Ufundi) // 21/01/2013 //...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJf "Tanganyika nchi yangu nakupenda kwa moyo wote" Nikilala nikiamuka nasikia na kuambiwa vitimbi vywa huyu Kabwe kwa wananchi wa mwanza 1. Mtu mwenye dharau, dhuluma, majigambo na...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....
5 Reactions
141 Replies
10K Views
Anadai rasilimali zisogezwe moja kwa moja kwa wananchi ili wajitajirishe wanyewe! sijui nchi itajiendeshaje! Ntarudi. Yupo na mbunge wa Kigoma Machali!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Katiba mpya ambayo ni tegemeo la watanzania lazima ilenge kuwalinda watanzania wote sio wachache walio katika tabaka tawala. Kivipi 1. Wakulima kupewa kipaumbele na kuwapa uhuru wa kuamua bei za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau. Napendekeza kwenye katiba mpya isiruhusu watoto wa Viongozi wastaafu hususani mawazori na rais waruhusiwe kugombea kikatiba ili kuepuka ukiritimba wa kuridhishana nyadhifa serikalini Kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mvutano wa gesi mtwara ni dalili ya wananchi wa kusini kukosa imani na serikali yao katika kusimamia rasilimali za taifa,huu ni wakati wa serikali kujitathmini ni vipi watajidhatiti kusimamia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa nilichokiona katika sakata hili la gas Mtwara, wana Mtwara wameshikamana sana na tusidhani watakuja kudanganyika tena. Uzuri ni kwamba swala la gas ni mchakato ukihusishwa na hili la ujengaji...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi leo, picha inawaonyesha wananchi wakiwa wameuchapa usingizi kwenye mkutano wa kampeni wa ccm, unaohutubiwa na Dk. Bilal, huko Tunduru... duh watu...
4 Reactions
28 Replies
186K Views
KWA NINI RAIS KIKWETE ANAWAGEUKA WANA MTWARA?????? Hotuba ya Rais Kikwete kwa Wabunge na Wananchi Dodoma Ukumbi wa Kilimani tarehe 10 Juni 2009 Ndugu Wananchi; ... “Kwa sababu ya matatizo ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkinipa majibu ya haya nitarudi CCM 1.Gari ya serikali yaanguka ikiwa na meno ya tembo manyara 2.shehena ya pembe na meno ya tembo toka tz yakamatwa hong'kong China 3.shehena ya meno na pembe...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kuwa amebaini kuwapo mpango wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuingiza mtambo wa kuingilia...
15 Reactions
171 Replies
13K Views
Wana jamvi nimeota kuwa nimepata urais wa JMT, katika ndoto yangu nikawa nawaza nitawafanyia nin waTz, kama ndoto hii ingekuwa ya ukweli ningefanya yafuatayo. 1..Ningejenga umoja ushirikiano na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom