Mikael P Aweda, mkuu sir umesema VIZURI KUHAMASISHA....maanake hakuna aliyelazimishwa bali wamehamasishwa...kama CDM wanavyohamasisha......salute youMkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
matendo yanasema zaidi kuliko maneno.......loading...NYAMAGANA yatema umati....
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
hili la malori nalisikia toka kwako.inaonekana ulikuwepo kwenye mkutano.hebu tufahamishe walitumia malori mangapi na yalikuwa ya kwao au ya kukodi.mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
Mkuu watu ni wengi ila hujatuainishia bajeti ya malori na posho za mabalozi za kuwahamasisha na kuwashawishi wananchi kuhudhuria mkutano wa ujenzi wa chama.
Ntwara lazima watachezea nchalewaje wafunike Mtwara kama wanaweza!