Habari wa wakuu!
Katibu mkuu wa Chadema Dr,W.P. Slaa ameitoa kauli hiyo katika kongamano la wanafunzi lilifanyanyika leo jijini Dar es salaam.
Ametoa wito kwa vijana wa chadema kuendelea...
21/01/2013
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mhe. Edward Lowassa na Mbunge wa sasa wa Temeke, Abbas Mtemvu, jana Jumapili jioni walikuwa ni miongoni mwa waombolezaji waliofika kuuaga mwili wa...
Nimemsikiliza naibu waziri wa nishati na madini akiongea akiwa Arusha kuhusu mradi wa bomba la gesi.Nimebaini kuwa ni hadaa kwa wanakusini kuhusiana na wao kufaidika na gesi hiyo.
Anasema kuwa...
Ndugu wa jf
Kwa mtazamo wangu ingetokea leo uchaguzi wa Wabunge unafanyika Mbeya, Salama ingekuwa kwa Mlugo, Silinde, kidogo na Mwakyembe kwa huruma.
Bila shaka Mwandosya asingegombea, lakn...
Nakumbuka muda si mrefu uliopita Profesa Muhongo alitutangazia watanzania kuwa
hakuna mgao Tanzania,na kuwa mgao ulikuwa unapangwa mezani na watu kwa maslahi
yao.
Kwa sasa sio siri tena kuwa kuna...
Ni makamu Mkt wa Barrick Gold Mine aanza juhudi za kutaka kuwa mbunge ili aendelee kuihujumu Njombe baada ya kulihujumu taifa.
Ndugu zetu Wananjombe tusithubutu kuchagua viongozi kwa nguvu ya...
Mkutano wa CHADEMA jimboni kisarawe umemalizika kwa mafanikio makubwa sana kuwaamsha wana Kisarawe sasa wamesema uonevu basi wako tayari kwa mabadiliko kwa kipindi cha miaka 52 wameishi katika...
Members wa JF mnatakiwa kumwomba radhi balozi Mwanaidi kwa kumsingizia kuwa alikuwa mmoja ya waanzilishi wa CHADEMA
ukweli umedhihirika kuwa jina lake halimo katika hao waanzilishi na Document...
Kwa takriban wiki 3 au 4 sasa kumekuwapo na sintofahamu huko kusini mwa Tanzania eneo linaloaminika kwamba liko nyuma kidogo kimaendeleo hapa nchini,sintofahamu hiyo imetokana na kugundulika kwa...
Nimekuwa mfuatiliaji sana kuhusu huyu mzee Ndesamburo mbunge wa Moshi Mjini kwa tiketi ya chama cha demokarasia na maendeleo, kutoka na hali yake ya uzee sidhani kama mwaka 2015 ataweza kugombea...
Serikali imekaa kimya
CHADEMA nao kama chama wamekataa kutoa msimamo wao
Zitto na wanasiasa wachache wametoa misimamo yao binafsi lakini hakuna tamko linaloashiria kuwa ndio msimamo RASMI WA...
Kuna watu mpaka leo miaka 20 tangu CHADEMA ianzishwe wanadai Chama hicho ni cha Kikanda. Nawashauri waandalie orodha ya Waasis wa Chama hicho na Wajumbe 89 wa Mkutano Maalum uliochagua Viongozi wa...
Mbunge wa Nccr Mageuzi Moses Machali akizungumza leo ktk kipindi cha Hamza Kasongo kwenye Mada inayosema MUSTAKABALI WA TANZANIA KWA MUJIBU WA NCCR MAGEUZI ameshindwa kabisa kuongelea hoja hiyo na...
Hello Great thinkers!!
Kwa miaka 51 sasa barabara na baadhi ya miundo mbinu katika mikoa ya kusini iko nyuma serikali iko busy kuondoa kila kilichoo KUSINI wametoa kiwanda cha korosho,taa za...
Mi najiuliza, huyu Nape anashida gani na CHADEMA? Mara kwa mara nimekuwa nikimsikia akiizungumzia CHADEMA kwa mabaya.
Nimesikia kwenye magazeti leo asubuhi kuwa; eti CHADEMA isitafute mchawi...
15 JANUARY 2013
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
RAIS Jakaya Kikwete amesema, miongoni mwa faida ambazo zimetokana na Mapinduzi ya Zanzibar ni kupatikana kwa fursa ya elimu kwa wazawa pamoja na...
Thursday, January 17, 2013
Jeuri ya fedha ya Meli Mt. Al Biraq iliyoingia nchini mafuta ya ovyo ya dizeli ambayo hayana viwango vya ubora ya kutaka kuyauza nchini kwa lazima licha ya kukataliwa...
Umetokea mkanganyiko wa kauli kutoka kwa watendaji wa serikali, hususani wananchi kuhusiana na kunufaika na gesi ya Mtwara. Mfano mdogo tu ni wa Naibu Waziri Simbachewene ambaye anawashutumi...
Nimewahi kulizungumza hili juu ya muelekeo wa CDM hasa katika ngazi za mikoa juu ya mgawanyo wa ruzuku.Wengi wakapuuza na wengine kunikejeli eti ''magamba'', kama ilivyozoeleka humu kwa wapambe...
Toka kachaguliwa huyu bwana Donald Max ambaye ni mbunge wa Geita mjini is equal 0....!
Kana kwamba hatuna mbunge, hajawahi kuweka mkutano na wananchi wake na kuwaeleza mipango na mikakati katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.