Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAJIBU YA NAPE KWA HOJA HII: INANIPA FARAJA KUCHUKIWA NA KUSEMWA VIBAYA NA WAOVU (wezi na watumiaji vibaya wa rasilimali na dhamana za uongozi walizopewa). HII INANIFANYA NISONGE MBELE...
6 Reactions
232 Replies
19K Views
SUNDAY, JANUARY 20, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mke wa Rais wa Mali,Mama Touré Lobbo Traoré waliyekutana naye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle jijini Paris...
1 Reactions
77 Replies
14K Views
Hivi karibuni kumekuwa na kutokuelewana kati ya Zambia na Tanzania juu ya matumizi ya mali za TAZARA kwa ajili usafiri wa treni ya abiria jijini Dar Es Salaam. Zambia inataka Tanzania ilipie...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Taarifa kutoka kwa watu wa karibu na Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk. Salmin Amour, zinaeleza kwamba kiongozi huyo ametoa maoni yake tarehe 13 Januari, 2013 na katika maoni yake ameieleza Tume ya...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
MEYA wa Jiji la Mwanza(Nyamagana) Bw.Stanislaus Mabula ambaye ni diwani wa kata ya Mkolani (CCM) amewataka Wenyeviti wa Mitaa na Watendaji wa Kata kushirikiana na Madiwani wao katika kupanga...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
WATANZANIA TUTOE MAONI YETU KUHUSU KATIBA MPYA KATIKA SEHEMU HIZI: 1. Unaweza kutembelea tovuti ya tume ya katiba na ukatoa maoni yako. Tembelea Tume ya Mabadiliko ya Katiba na utoe maoni yako. 2...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MAWAZIRI wanne wamebaini kuondolewa kipengele ndani ya mkataba kinachomtaka mkandarasi wa Kampuni ya ujenzi ya Leinton ya Singapore kuiachia Mamlaka ya Bandari (TPA) vifaa vyenye thamani ya sh...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
ladies & gentlemen, friends & enemies,(our enemies are those who want to steal away our natural resources), ungana nami,the big show for whole story &the big brother sizinga for more updates...
10 Reactions
217 Replies
15K Views
Nenda Bagamoyo kashuhudie magunia ya mkaa yanayopakiwa kwenye majahazi kwenda Unguja kila siku ya Mungu ili kuilisha jamii ya watu wenye chuki ambao hawako tayari kukuonesha hata njia endapo tu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JUMAMOSI NILIKUA MTWARA KWENYE KONGAMANO LA WANANCHI WA KUSINI NA SAKATA ZIMA LA GESI; Kilichonifurahisha kwenye ule mkutano wa wazi ni kutoona bendera ya chama chochote, na kauli mbiu yao...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mtu wanaccm waliyedai ni murobaini wa matatizo yao ndani ya chama imedhihirika kuwa ni garasa pengine kutokana na uzee, mazingira au kukosa kumbukumbu baada ya kuwa nje ya system zaidi ya miaka...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kamanda wa CHADEMA Burton Gwakisa,ambaye alipokea onyo kali kwa ushiriki wake kama Masalia ndani ya BAVICHA na CHADEMA kwa ujumla amesema kuwa sasa anajielekeza katika ujenzi wa chama hasa katika...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
nape ni kijana focused na integrity yake iko juu lakini namuonea huruma anapojaribu kutetea chama chake cha ccm juu ya tuhuma mbalimbali zinazotolewa kwa chama chake. Namuonea huruma kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Taarifa za leo Waziri mchapakazi katika 3 bora za CCM Dr. Harison Mwakyembe, Amewafuta kazi vigogo 5 wa mamlaka ya Bandari Tanzania kwa ubadhirifu ikiwa ni pamoja na kujibebesha mamlaka kinyume na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemkabidhi Prof. Abdallah Safari nyaraka zote za kesi ya Igunga kwa niaba ya aliyekuwa Mgombea wa CHADEMA katika uchaguzi ule wa Igunga Bw. Joseph...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Tafadhali mods naomba isiunganishwe na zile zinazohusiana na hii ili watu watoe maoni yao. Akihojiwa ktk kipindi cha hotmix mwanachama wa chadema aliyefukuzwa uanachama wa Bavicha Mtera Mwampamba...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF. Ninaangalia kuapishwa Rais wa Marekani najaribu kulinganisha na kuapishwa kwa Raisi wetu dhaifu 2010. Kwanza najaribu kuangalia jinsi watu walivyojitokeza kwa wingi bila kulazimishwa kuja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
tumekuona eat tv lakini hujaongelaa lolote zaidi ya kulialia ww unajivunia kura elfu thelasini na mbili alafu unajifananisha mbowe na zito,nakushauri jenga hoja sio kukundia chadema,mtangazaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chadema imepiga hatua nzuri na imeonesha mwanga kwa wapenda mabadiliko, pongezi kwa viongozi na wanachama, jambo moja ambalo linanitia shaka na pengine wengi wetu mtakubaliana na mimi ni uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Habari za kazi wanajamvi! Uongo wa wazi na upotoshaji unaofanywa na viongozi wa ngazi za juu wa serikali ya jk umefika kiasi ninakereka hata kuangalia taarifa za habari ama kusoma magazeti. Hivi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom