Tutakuwa na mkutano wa hadhara siku ya jmos ktk kata ya MOSHONO jijini Arusha ni ktk ziara za ujenzi wa Chama Mh Lema na viongozi wa WILAYA na Mkoa watakuwepo,ktk ujenzi wa Chama ktk kata zote za...
Makala haya chini yameandikwa na Michael Dalali (mdogo wake John Mnyika?) hapa - Tusipoandika historia yetu, tusije laumu ikipotoshwa! | Fikra Pevu nami nimeona niwashirikishe. Naamini wanasiasa...
Pamoja na mambo mengine. Kapinga bajeti ya w/ardhi, ahoji kwa nini serikali inang'an'gania kuendeleza k'mboni kwa kuwahamisha watu ambao washajenga! Kwani wao hawastahili kukaa mahali pazuri? Au...
KITAIFA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye
Na Raymond Kaminyoge
Posted Jumatatu,Januari21 2013 saa 22:14 PM
KWA UFUPI
Dk Slaa ambaye ni mara yake ya pili...
Inawezekana kweli ni mpinzani makini.
Nimeangalia mwenendo wake nimepata maswali mawili.
Ni mpinzani dhidi ya mfumo mbovu wa CCM?
Aliondoka kwa mbwembwe CCM hasa baada ya kutoshwa kugombea...
Kuna ukweli uso pingika kuwa vurugu za leo kati ya o na polisi hapa jijini zimetokana na hao vijana kupewa pesa na ccm- mafisadi ili wampokee Mangura kwa msafara mkubwa wa pikipiki, lakini wakala...
Mwenyekiti wangu, wanachadema hatuko tayari tena kuona maccm yakijichagua bila kuchaguliwa halafu viongozi wa dini wanakufuata eti wanakushauri uwe na subira. Chaguzi zijazo liwalo na liwe lazima...
TUESDAY, JANUARY 22, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe. Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa...
Tangu apate nyadhifa ni haipungui miaka 30 sasa Lakini kwake Hijja imekuwa ngumu
Karibu ya marais wote waislam ulimwengu wanaenda hijja
KWANINI KIKWETE TU SIO ALHAJ
1)Alhaj Ali Hassan Mwinyi...
mkurugenzi wa halmashauri ya nzega ndg KYUZA KITUNDU amepandishwa cheo na TAMISEMI kwa kuhaMishwa kutoka ukurugenzi WA halmashauri ya nzega hadi RAS wa mkoa wa SHINYANGA,itakumbukwa kwamba wiki...
Alie wahi kuwa waziri mkuu amesema amegundua vijana wengi nchi wanafungwa kwa makosa madogo madogo kitu ambacho serikali ingeweza kubuni adhabu mbadala kwani hata wanapo fungwa hutoka wakiwa...
Kama tungekuwa na Tume Huru ya uchaguzi, tungepata viongozi bora..
badala yake Tuna watawala wanapatikana kwa njia ya Rushwa na kuchakachua kura.
Kama kiongozi anajua kuwa hana haja na kura za...
maoni ya vyama vingine nimeyasoma kwenye magazeti.
Pia leo nimesikia maoni ya wana habari.
Je hii Tume ina cheza mchezo gani na CCM?
Tutegeme kitu kwenye hii tume?
Siku ya Alhamisi, Disemba 27, 2012, mkoani Mtwara, lilijiri tukio ombalo, kwa watawala wetu,halikufikirika, halikutegemewa na katu halikutazamiwa. Wananchi wa eneo hilo waliingia...
Wakuu,
Hawa jamaa wa Mwananchi "wanaingiliwa" nini???
Hebu oneni
KATIKA kuonyesha hali si shwari ndani ya Chadema, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha) wa chama hicho, Juliana...
Hii nimeikuta kwenye tweet ya Dr. Mengi leo;
@regmengi: "Rushwa imekithiri, maadili yameporomoka"Mangula. Lakini mh. wahusika wanajulikana. Tatizo ni nani amfunge paka kengele ?
MY TAKE...
Usafirishaji wa Gas sio tatizo la maendeleo ya Mtwara kwani kuuzwa kwa Gas ni lazima itasafirishwa tu kwa bahari au kwa pipeline. Canada mfano wana tengeneza pipeline kutoka Canada mpaka Houston...
SAKATA la kupinga ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya wananchi zaidi ya 30,000 kusaini katika fomu maalumu kupinga gesi hiyo kusafirishwa...
Akiwa mbele ya mwenyeji wake pres.Olande'wa ufaransa, JK ametamka waziwazi kuwa ni mwafaka kwa Ufaransa kuingilia kisiasa nchini MALI,Huku akiwalaani kwa kitendo cha mwavuli wa uislamu wa kigaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.