Sasa hivi uchafu uchafu wote unatoka ambao ungewasumbua close to 2015, sasa swali langu nauliza huu unaotoka unajichuja wenyewe au unashindwa kustahimili displine za usafi? Nawapa hongera sana...
Kosa kubwa lilofanywa na watanzania ni kuamini kuwa sera zilizokuwa zinaletwa na CHADEMA za majimbo ni za kibaguzi na zenye nia ya kutugawa watanzania, tungezikubali zile na kujaribu kuona mbali...
Hili ni Angalizo:
Wakati watu wanaangalia yanayotokea ndani ya CHADEMA na jinsi inavyotafuta njia ya kurudisha nidhamu na umoja wa lengo ndani ya chama wapo watu wanaofikiria kwa kufanya hivyo...
Huko nyuma niliweka ushauri wangu hapa jukwaani kuhusu huu ulafi wa CHADEMA kupokea wananchama kutoka CCM na vyama vingine na kuwapa madaraka. Wengi walioingia kwa mbwembwe chamani siyo waumini wa...
Tulipopata uhuru tuliamini ndiyo fursa pekee tuliyokuwa tunaisububiri ya kujiamualia mambo yetu wenyewe pasi na shuruti toka kwa watu weupe(wakoloni).Uhuru huu tulioupata uliaminisha kuamua mambo...
UTAFITI NILIOFANYA SIKU ZA KARIBUNI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI NA JF
Ni wazi sasa Dk slaa anaanguka kisiasa.
Hakuna ubishi kwamba JF ndio iliompandisha chati DK SLAA na sasa ndio itayomuangusha...
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia...
Inawezekana watu wengi hatuna uelewa na suala hili,
kuna ubishi unaendelea hapa juu ya familia ya rais wa tanzania inaishi wapi, wapo wanaosema anaishi ikulu na wapo wanaosema anaishi kwenye...
Wanabodi,
Magamba yameanza kuweweseka na kuchanganyikiwa, itakumbukwa leo wametoa story hapa JF ya kuhusu kuhama kwa Mwenyekiti wa Chadema wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini Ndg Abdallah...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimejibu CCM kuhusu kauli zake za hivi karibuni kuwa Chadema itakufa. Akihutubia Mwanza hivi karibuni, Nape Nnauye alikaririwa akisema CHADEMA itakufa...
mwaka 2010 nccr mageuz ilipata viti bungen.mkosamal,machar,kafurila vit maalum na baadaye mbatia.sasa vijana weng wanashawishika kujiunga na weng kutoka cdm wanakodai kuna udin.ukabila,ukanda.na...
tunasikitishwa sana na ukimya huu unaoendelea dhidi ya viongozi wetu wakuu ndani ya chama chetu cha ukombozi chadema dhidi ya upotoshaji wa serikali na dharau tunazofanyiwa wana kusini juu ya...
Yalikuwa maneno mazito,matamu na yenyekutia moyo na kama sio matumaini.
Aliyatamka akiwa kama mgombea urais wa CCM na baadae alikuja kuyasema wakati wa kuzindua bunge akiwa kama Rais wa Jamhuri...
ZIARA zinazofanywa na mchumba wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk Willibrod Slaa, Josephine Mushumbushi ‘kukagua uhai' wa chama hicho mikoani, zimeleta msuguano...
Jamani kuna watu unakuta wako kwenye chama ambacho siyo muafaka lakini wanapiga kazi mpaka kila mtu anaapreciate! Naamini Mwakyembe angekuwa raisi na Magufuli waziri mkuu, wezi wote wa mali ya uma...
Wana Jf heshima mbele. Mimi ni mkazi wa mburahati nina neno juu ya viongozi wa cuf. Juzi jumapili kulikuwa na mkutano wa hadhara hapa mburahati katika uwanja wa kasulu njia ya kwenda Manzese...
Tanzania kwa mawazo yangu inahitaji raisi ajae awe anafanya kazi kama mkurugenzi zaidi ya ushabiki na kuweka maamuzi ambayo hayana faida kwa nchi.
Kwa sasa Tanzania viongozi wengi wenye majina...
January 22, 2013
Na Salma Said, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema kitendo cha baadhi ya wananchi kususia sensa kilisababisha serikali kuingia gharama kubwa katika kuendelea...
MANGULA AENDA KUOKOA JAHAZI
na Edson Kamukara
MGOGORO mkubwa unaoendelea kufukuta ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bukoba Mjini mkoni Kagera kati ya madiwani na Meya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.