Umuhimu wa wewe kuwa mwanasiasa!

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
Baada ya kusoma taarifa hapa nimegundua kwanini watu wanapigania kuwa wanasiasa haswa ccm! yaani piga ua garagaza hata kwa pesa ndefu lazima wapate nafasi! kumbe kuna faida mpaka kwa vitukuu vyako! duuh ni nom


UPENDELEO WA WATOTO WA VIGOGO MAKAZINI
BARAZA LA MAWAZIRI
Angela Kairuki – mtoto wa mama Mkwizu ni naibu waziri wa sheria
January Makamba – mtoto wa makamba ni naibu waziri wa teknologia
Dr Mathayo David Matahayo (Mathayo Cleopa David Msuya) –mtot wa Msuya ni Naibu waziri
Hussein Mwinyi – Mtoto wa Mwinyi ni waziri wa afya
Abdallah Mwinyi- mtoto wa mwinyi ni Mbunge wa EAC

WAKUU WA WILAYA
Gerald J. Guninita - Wilaya ya Kilolo
Paul Mzindakaya - Wilaya ya Busega (mpya)
Festo Kiswaga - Wilaya ya Nanyumbu (yuko ukoo wa mama Mongela)
Khanifa M. Karamagi - Wilaya ya Gairo (mpya)
Husna Mwilima - Wilaya ya Mbogwe (mpya)
John V. K. Mongella - Wilaya ya Arusha
John B. Henjewele - Wilaya ya Tarime
Agnes Hokororo – Wilaya ya Ruangwa

WABUNGE
Vita Kawawa
Zainabu Kawawa
January Makamba
Livingston Lusinde (ukoo wa Malecela)


SERIKALINI
Janeth George Kahama, - Mganga Mkuu wa Jiji la Dar es salaam
Dk. Hawa Rashidi Kawawa - Mganga Mkuu Msaidizi wa Jiji la Dar es Salaam
Dk. Guni Kate Kamba - Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni
Dk. Asha Omar Mahita - Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala
Dk. Amani Kighoma Malima - Mganga Mfadhiwi wa Hospitali ya Temeke


VYAMA VYA SIASA
Nape NNauye – mtoto wa Moses Nnauye ni katibu mwenezi CCM
January Makamba – Mtoto wa Yusufu Makamba

WATOTO WA VIGOGO WALIOPITA UVCCM NGAZI YA TAIFA.
1. DICKSON MEMBE
2. FREDY LOWASA
3. RIDHIWANI KIKWETE
4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
5. BEN SAMWEL SITTA
6. DEBORA MWANDOSYA
7. IRENE PINDA
8. FELISTER NDUGAI
9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
10. SHARIFA BILAL
11. HAWA KIGODA
12. JUDITH MUKAMA
13. JALOME MSEKWA

14. MBONI MHITA
15. JONAS NKYA

MASHIRIKA, TAASISI, MAKAMPUNI BINAFSI NA YA UMMA
Emanuel Mongela – mtoto wa mama Mongela ni ofisa benki ya standard charter Arusha
Patrick Mongela - MKURUGENZI wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF)
Mwamvita Makamba – mtoto wa yusufu Makamba mi ofisa wa ngazi ya juu VODACOM
Nafue Nyange Kilango Malecela- Mtoto wa Anna Kilango Malecela ni ofisa wa ngazi ya Juu NSSF


Watoto wa Vigogo BOT
Salama Ali Hassan Mwinyi
Filbert Tluway Sumaye
Zaria Rashid Kawawa
Blasia William Mkapa
Herriet Marten Lumbanga
Pamela Edward Lowassa
Rachel Muganda
Salma Omary Mahita
Justine Mungai
Kenneth Nchimbi
Violet Philemon Luhanjo
Liku Kate Kamba
Thomas Mongela
Jabir Abdallah Kigoda

Zaidi ya asilimia 70 ya hawa wasingepata vyeo hivyo kama wangekuwa watoto wa mtu wa kawaida.


quote_icon.png
By Mahamuma
Intake ya waajiriwa NSSF mwaka 2012
Miraj Lipumba,Fidea Mkapa,Nafue Nyange(Mtoto wa Anne Kilango),Danford Mahanga,John Nchimbi,Agustino G. Mkuchika,Lucy Damas(Mtoto wa Selina Kombani),Edwin Kafanabo(Mjukuu wa Gharib Bilal),Mwajuma Chaurembo,Mussa Mlawa(mtoto wa Dr.Mlawa),Issa Dihenga(mtoto wa Prof.Dihenga,katibu mkuu wizara ya Elimu),Saddallah Ramadhan(Mtoto wa Kigogo wa zamani wa usalama wa Taifa na RTD),Randof A.Shimbo,Moginge Nyerere,Aisha Seif Khatib,Omar Kimbisa na watoto wengine chungutele wa Makatibu wakuu,mabalozi na vigogo wa wizara nyeti....Je jiulize wewe mtoto wa masikini mwenye elimu yako,UTATOKAAA???...Mifuko ya Hifadhi ya jamii kama NSSF na PSPF imekuwa kimbilio la watoto wa vigogo kutokana na mishahara mikubwa wanayopeana kwa jasho la wafanyakazi wa Tanzania!!Mungu Ibariki Tanzania

Sent from Kwetu Uswazi!


 

tenende

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
6,512
490
Haya mambo ni sehemu tu ya mambo yanayowaunganisha watanzania, kusaka mabadiliko!.. CCM wataingia na propaganda za kipuuzi ili tusijadili UDHAIFU huu lakini hawataweza. kazi ni moja ni kupambana kufa na kupona kuikomboa nchi yetu. Ni lazima sisi sote tushiriki siasa kikamilifu ili tuweze kuimarisha siasa za ushindani!..
 

juu kwa juu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
260
37
Daa kumbe ukoowa mbowe NA ndesamburo na tundu rissu, Silaa na mke wake wamesahaulika .au kwa kuwa wako Chama cha ukoo?
 

juu kwa juu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
260
37
Naomba tuorodheshe majina ya watoto wa vigogo na ndugu zao waliopo kwa uhakika bila kubabaisha wala unafiki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom