Gazeti la mwananchi la leo....

hahaaaah, ile picha nimeipenda, ila wale wananjaa, maana hata kile kitoto kilichokuwapo mkutanoni kimesinzia pia.
 
Mgombea mwenyewe anaongea amesinzi,seuze na wasikikilizaji
 
@Tumain
Mwizi hujua namna ya kuiba mala halali ambayo si ya kwake
 
Mtakunja uso vibaya baada ya uchaguzi ...maana chadema watakuwa mbali sana kwenye kona ya walalamikaji..ccm inachekelea ushindi wa kishindo wananchi wana akili sana siyo walevi kama mnavyofikiri..

NDO MAAANA WANANCHI WAMEAMUA KUSINZIA ili kuwaruhusu ccm wawaibie, hahahaaah.Vipi swaumu mkuuuu.
 
eee jamani tunaumizana sana humu jamvini.................wanasinzia baada ya kulishwa pilau....we mwananchi gani yupo tayari kutohudhuria mkutano wakati pilau zimetangazwa naye ananjaa au hajaonja muda mrefu sasa? c mnajua maisha yenyewe ya kuungaunga hasa sehemu km tunduru huko maisha bora kwa kila mtunduru magumu ile mbaya.....acha wachape usingizi wakisubiri pilau na pombe za kienyeji kila baada ya miaka mitano............ebo!
 
hahaaaah, ile picha nimeipenda, ila wale wananjaa, maana hata kile kitoto kilichokuwapo mkutanoni kimesinzia pia.

Hawa ndo wanafanya mheshimiwa anaanguka jukwaani!!!! maana wanamwambukiza usingizi ati. Aiseee
 
Mis use of resources Bilal ni mtaalamu wa mambo ya nyuklia,tungekuwa serious kwa sasa angekuwa busy kule Namtumbo anasimamia nuklia yetu.
Hana mvuto kwa kweli akiongea unaweza shusaha net ukalala
 
Naipenda Mwananchi wanafanya kazi yao vyema. kumbe ndiyo maana waandishi wake walitimulewa kule bukoba katika kampeni za JK wanajua wako makini
 
Kwa kweli huyu mgombea mwenza wa sisiem hana mvuto kabisa, nilihudhuria moja ya mikutano yake ya kampeni inayoendelea huku kusini.....hakuna la maana zaidi ya watu kuboreka. Balaa lilikuja pale watu walipoanza kuondoka mkutanoni eti polisi wakazunguka eneo la mkutano kuzuia watu wasiondoke....!
 
Mtakunja uso vibaya baada ya uchaguzi ...maana chadema watakuwa mbali sana kwenye kona ya walalamikaji..ccm inachekelea ushindi wa kishindo wananchi wana akili sana siyo walevi kama mnavyofikiri..

Si tujuze na kafu watakuwa kona ipi? hahahahahahahahahaha! au watakuwa na kaka yao sisi m kona ile ingine? Bwahahahahahahahahaha
 
Wale "wamepelekwa" mkutanoni, wakati wale wa CHADEMA huwa wanaenda mkutanoni....
 
CCM waligawana madaraka dom wakadhani itakuwa kirahisi namna hiyo
 
Hiyo picha nilipoiangalia jana ilinifurahisha sana. Huenda hao ni miongoni mwa waliozuiliwa wasiondoke mkutanoni... kuna tetesi kuwa watu wanazuiwa wasiondoke kwenye mikutano ya kampeni ya chama twawala. :) :)
 
Hello Friends,
I have been busy at this time of the year,trying to join the loose ends before the year ends. well, may I take this opportunity to send my warmly X-Mass greetings , wishing the best of luck,happiness,and prosperous new year to you all.

Kisendi.
 
Back
Top Bottom