Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi [CCM] katika Manispaa ya Moshi (UVCCM) umeiomba serikali mkoani Kilimanjaro kuwachukulie hatua za kisheria baadhi ya viongozi wa Chadema wanaotumia lugha...
Saturday, January 12, 2013
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar (wapili toka kulia)akiingia nyumbani kwa Balozi wa Nigeria (hayupo pichani) Potomac, Maryland, huku...
Pandikizi la vurugu na kutokufuata sheria za nchi ambalo limefanywa na linafanywa na CHADEMA kwa watanzania hasa baadhi ya maeneo sasa linaanza onekana wazi. Yaliyotokea Mwanza madereva wa...
ALHAMISI, JANUARI 24, 2013 05:02 NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kumkamata Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Mkopi, kwa kukosa la...
BAADA ya mwanae kufukuzwa ktk chama Baba Mzazi wa Mtera Mwampamba aitwaye ALLAM MWAMPAMBA alianzisha haraki za kutaka mwachama wa CHADEMA wilayani mbozi waanze maandamano ya kupinga maamuzi...
CHADEMA NA WANAHARAKATI WANAPINGANA NA CCM KWA KILA KONA. LKN AKITAJWA MWALIMU NYERERE KIMAKOSA WANARUKA NA KUHAMAKI NA KUONA KAGUSWA MTUKUFU NDANI YA TANZANIA
HAYA AMESHINDWA KUYASIMAMIA...
WEDNESDAY, JANUARY 23, 2013
KATI KATI NI MWENYEKITI WA ccm ALIYEMALIZA MUDA WAKE 2012 WILAYA YA MBEYA VIJIJINI WILLIUM SIMWALI
BAADHI ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na baadhi...
Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, Meya wa Ilala Jerry Silaa ametamba kuwa baada ya kuisambaratisha CUF huko Zanzibar baada ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa sasa ni zamu ya CHADEMA...
KITAIFA
Na Waandishi Wetu
Posted Jumatano,Januari23 2013 saa 22:4 PM
KWA UFUPI
Katika siku za karibuni, kumekuwa na mijadala, mizozo na maoni kutoka kwa kada mbalimbali kuhusiana na suala...
naomba kama kuna mtu humu ndani ambaye amewahi kutaka kuwasiliana na Chadema makao makuu na kushindwa kama mimi
nimejitahidi sana utafikiri kila mtu yuko busy sana
tunaomba Chadema wekeni...
Kwa mujibu wa gazeti la Daily News la leo tr. 24 Januari, 2013, ilikusudiwa tangia mwaka 2010 kwamba gesi inayopatikana Mtwara, isambazwe katika nchi zote zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Ndugu wana JF, kuna taarifa kuwa katika mkoa wa Mtwara eneo la Msimbati yako mafuta yanachimbwa na wachimbaji wana helkopta tano na wanaishi Dar es Salaam na wanaenda Mtwara na kurudi. Mafuta...
Baada ya kuona wenyeji wa Mtwara wakianza kuwasha moto kwamba GAS ya Mtwara isiende Dar, nimekuwa mmoja wa watu wanaosaidia hii vita ambayo lengo ni kuhakikisha kwamba viwanda vijengwe Mtwara ili...
"Governments must learn to be SERVANTS and not MASTERS ... and people must be taught how to hold their governments accountable" - by IMF. Serikali za kiafrika zina cha kujifunza?
Wadau wote wa JF heshima kwenu.
Kuna wakati najaribu kufikiria sana matatizo mbali mbali yanayotukabili sisi wananchi wa Tanzania na hatua ambazo serikali yetu inachukua ili kuyapatia ufumbuzi...
Ndg. Zangu wana JF. Tunawaombeni magwiji wa lugha watusaidie kutafsiri haya makala kisha yasambazwa nchi nzima. Sidhani mwandishi atakuwa na tatizo makala haya mazito yakimnufaisha kila mtanzania...
Ngugu zangu kumekuwepo na danganya toto nyingi, kuhusu kuwatuhumu na kuwalaumu wananchi wa Mtwara huku tunaficha ukweli wa mambo. Kabla ya maandamano ya mwaka jana Mtwara kutokea, baadhi ya Vyama...
Waasi wa Chademaambao baadhi tayari wamepewa adhabu pamoja na kuvuliwa uanachama wameanzakuonyesha wazi jinsi walivyotumiwa kukihujumu Chadema na Viongozi wake.
Juliana Shonza ameonekana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.