Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wote wa CHADEMA Wametimuliwa kwa makosa mbalimbali, ikiwepo ufisadi. Mwenyekiti wa sasa aliyerusha taarifa hizo kwenye fb, amemtaja Felex Sanzya kuwa ndiye...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Closed
Willibrod Slaa Hoja ya kujikopesha kwa sura ya ufisadi ni "mfu" nimetamka nilikopa 20 kwa kuwa watumishi wa vyama hawawezi kukopa kwingine. Aidha siyo 140 Million. Zote 20 m zililipwa awamu ya...
17 Reactions
242 Replies
17K Views
Habari wana JF ni mda mrefu nawaza nini tatizo kwenye mfumo wetu wa elimu kwann watoto wa vigogo hawasomi shule za kata/kawaida ambazo viongozi wa sisiem wanazisifia kila uchwao! Nina mifano hai...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI Na Zacharia Osanga ( email the author) Posted Jumatatu,Januari21 2013 saa 22:29 PM KWA UFUPI “Sababu kubwa za kuipa barabara hii jina hili ni kuwa Rais Arafat alizuru mara...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Tangu uchaguzi wa vyama vingi Tanzania 1995,vyama vya upinzani havijawahi kukubali kuwa vimeshindwa na kudai vimeibiwa kura. 1.wasiwasi huu unatoka wapi?. 2.uliwahi kutolewa ushahidi juu ya...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Hawa vijana walikuwa wameandaliwa sana na CCM kumwangamiza Dr Slaa na CHADEMA. Angalia majibu yake kweye FB yake. Ila kwa kweli hakuna madhara yeyote CHADEMA itapata kutokana na wasaliti hawa...
5 Reactions
133 Replies
11K Views
Leo ndio nimestuka na kuanza kujiuliza wapi yalipo yale magari ya akina Mringo na wenzake ambayo yalifikia mahali cha kutukosesha amani ya usalama wa watoto wetu kwa kila dakika kupita mitaani...
21 Reactions
79 Replies
7K Views
Likizo yangu ya mwaka huu ilikuwa miongoni mwa likizo bora kama nilivyo tabiri kabla ya hapo. Kazi zangu ninazozifanya na kunipatia riziki zinanifanya nisitumie muda wangu vyema katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ALIYEKUWA Mbunge wa Igunga, Dk. Dalaly Kafumu (CCM), ambaye alivuliwa ubunge na Mahamaa Kuu Kanda ya Tabora Agosti mwaka jana, amekata rufaa kupinga hukumu hiyo. Akisoma hukumu hiyo, Jaji wa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanabodi. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini, Abdallah Ngajulage ametanganza kukihama chama na kujiunga na CCM...
1 Reactions
109 Replies
9K Views
Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni!Leo hii nashindwa kuamini kuona namna wana ccm na hasa viongozi wa juu wa chama na serikali wanavyoitumia nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu katiba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mh. Rais, fikiri mara mbili juu ya madai ya wananchi wa Mtwara kuhusu gas wanayoipigania. Wananchi hawa wanachodai ni kuwajengea uwezo wa kiuchumi kupitia gesi hiyo inayopatikana katika sehemu ya...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
hawajali,hawaskii. CCM wameweka pamba maskioni. CCM watanzania wamewakosea nini?mlikwenda nyinyi wenyewe kuomba ridhaa kwao na wao wakawapa,japo sehemu zingine nyingi tuna hakika wote ikiwemo na...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF na watanzania wote! Wengi wetu tunapenda kufuatilia habari za kisiasa katika nchi yetu kwa sababu mbalimbali; kuu kati ya hizo ni kwa kuwa siasa zinagusa maisha yetu ya kila siku na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma habari moja kwenye gazeti la Kiswahili kwamba Chadema ifanye mageuzi ya ndani ya uongozi ili nguvu ya maamuzi ishuke kwenye ngazi za chini za uongozi. Comment yangu katika habari hiyo...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Wakuu ni muda sasa tangu kufungiwa kwa gazeti la MWANAHALISI sikumbuki ni kwa muda gani hili gazeti limefungiwa.au ndo limefungiwa milele? Naomba mwenye kujua lini hili gazeti letu pendwa...
0 Reactions
90 Replies
8K Views
Ukifuatilia kwa makini mjadala unaoendelea kuhusu Gesi utagundua kuwa licha ya mjadala kuwa na mambo mengi lakini jambo moja ni dhahiri; Rasilimali za nchi ni zetu zote lakini kwa miaka hii...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Association of Tanzania Employers (ATE) has proposed that Ministers should be barred from being Members of Parliament and that the cabinet is to be made of, in their words ‘experts only’. The...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tambwe Hiza sisi CCM tupo madarakani na tumepewa madaraka kwa sababu katiba iliyopo inajitosheleza, wenzetu CDM wamekosa madaraka sababu walitaka/waliahidi wakipata madaraka ni lazima katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SPIKA wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta ametofautiana na mrithi wake, Anne Makinda kuhusu muundo wa Bunge katika Katiba Mpya, akisema nchi inahitaji Bunge moja...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom