Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

Baba mzazi wa Mwampamba afukuzwa CHADEMA

mpepo

Senior Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
106
Reaction score
73
BAADA ya mwanae kufukuzwa ktk chama Baba Mzazi wa Mtera Mwampamba aitwaye ALLAM MWAMPAMBA alianzisha haraki za kutaka mwachama wa CHADEMA wilayani mbozi waanze maandamano ya kupinga maamuzi ya Baraza kuu la BAVICHA. Alianza kwa kusambaza sms na baadae akaandika barua akisambaza kwny kata mbalimbali.

Vijana wote na wanachama wa CHADEMA wakagoma, ndipo alipoitwa kwny kikao akakiri kosa. Lakini baadae aliendelea kutoa matusi na maneno ya KEJELI ndipo kikao cha pili kichofanyika jana akagoma kuhudhuria na ndipo wajumbe wakapiga kura ya kumvua uanachama.

Ikumbukwe kuwa mama yake Mwampamba ni Diwani wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA japo hajui kusoma na kuandika kwani tangu alipoapishwa hajawahi KUULIZA swali wala kuchangia kwny vikao vya Council. Hivyo Basi viongozi wachama wamumpa tahadhali kama naye atajiunga na kundi la MMEWE na MWANAYE kukichafua CHAMA basi naye atafukuzwa UANACHAMA na kukosa UDIWANI vilevile ameambiwa ajifunze kusoma ili aweze kuwa na mchango katika HALMASHAURI.

SOURCE MIMI NILIKUWEPO
 

Attachments

Wonders shall never end karne hii bd Mtu anapewa udiwani hajui kusoma?! Kweli cdm hamnazo
 
Wonders shall never end karne hii bd Mtu anapewa udiwani hajui kusoma?! Kweli cdm hamnazo

Mkuu wewe unaishi nchi gani? hujasikia wakisema chadema hata ikisimamisha jiwe lazima lishinde? ha ha ha ha ha chezeya watu waloyachoka magamba weye!!!
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

aaa.jpgaaaaa.jpgaaaaaa.jpga
 
Kama Mama hajui kusoma kuna uwezekano wa 97% baba nae ngumbalu. Upo uwezekano dogo alitumia simu ya baba kusambaza ujumbe. Dogo jeuri, Mama hata "a e i o u" hajui? Vijana nendeni shule, hivi vijisenti vya CCM vitawafikisha pabaya
 
Wonders shall never end karne hii bd Mtu anapewa udiwani hajui kusoma?! Kweli cdm hamnazo

Sometimes hata mimi nafika mahali na kuhoji umakini wa chama changu kwenye maamuzi muhimu kama haya(kama ni kweli)
 
Now this is funny, baba, mama, mtoto chamani... Na vyeo juu na umaamuma juu

cdm must clear these mess before 2014, otherwise ile dhana ya chama cha familia itakua na mashiko

sasa umebadili ile single ya chama cha kikanda/kidini na kuwa cha kifamilia?? magamba mnalo safari hii!!
 
sasa umebadili ile single ya chama cha kikanda/kidini na kuwa cha kifamilia?? magamba mnalo safari hii!!
we kweli ni imbechili... mimi kamwe ni msema kweli na mpinga ccm, ila la baba, mama na mtoto... tena mabwege kupewa chama lilikua kosa kubwa... ni wakati muafaka sasa cdm kuangalia kila kitongoji chama kinaendaje. na hilo ni jukumu kubwa sana

BTW, ukimkuta mgeni wa mama kafunga taulo kiunoni usikurupuke kumuita baba, wengine waganga wa kienyeji
 
Haya wee..! Walola leelo Mwampamba, wandaga zyaashi....!!!
 
BAADA ya mwanae kufukuzwa ktk chama Baba Mzazi wa Mtera Mwampamba aitwaye ALLAM MWAMPAMBA alianzisha haraki za kutaka mwachama wa chadema wilayani mbozi waanze maandamano ya kupinga maamuzi ya Baraza kuu la BAVICHA. Alianza kwa kusambaza sms na baadae akaandika barua akisambaza kwny kata mbalimbali.

Vijana wote na wanachama wa CHADEMA WAKAGOMA, ndipo alipoitwa kwny kikao akakiri kosa. Lakini baadae aliendelea kutoa matusi na maneno ya KEJELI ndipo kikao cha pili kichofanyika jana AKAGOMA kuhudhuria na ndipo wajumbe wakapiga kura ya kumvua uanachama.

Ikumbukwe kuwa MAMA yake MWAMPAMBA ni DIWANI wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA japo hajui kusoma na kuandika kwani tangu alipoapishwa hajawahi KUULIZA swali wala kuchangia kwny vikao vya COUNCIL. Hivyo Basi viongozi wachama wamumpa tahadhali kama naye atajiunga na kundi la MMEWE na MWANAYE kukichafua CHAMA basi naye atafukuzwa UANACHAMA na kukosa UDIWANI vilevile ameambiwa ajifunze kusoma ili aweze kuwa na mchango katika HALMASHAURI.

SOURCE MIMI NILIKUWEPO

Habari yako inakuwa na doa hapo kwa mama yake mbona unaanza kumhukumu mapema kwani wakati amepewa nafasi hiyo si taratibu ya chama ilifuatwa? kwanini uanze kudhalilisha hapa?
 
BAADA ya mwanae kufukuzwa ktk chama Baba Mzazi wa Mtera Mwampamba aitwaye ALLAM MWAMPAMBA alianzisha haraki za kutaka mwachama wa chadema wilayani mbozi waanze maandamano ya kupinga maamuzi ya Baraza kuu la BAVICHA. Alianza kwa kusambaza sms na baadae akaandika barua akisambaza kwny kata mbalimbali.

Vijana wote na wanachama wa CHADEMA WAKAGOMA, ndipo alipoitwa kwny kikao akakiri kosa. Lakini baadae aliendelea kutoa matusi na maneno ya KEJELI ndipo kikao cha pili kichofanyika jana AKAGOMA kuhudhuria na ndipo wajumbe wakapiga kura ya kumvua uanachama.

Ikumbukwe kuwa MAMA yake MWAMPAMBA ni DIWANI wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA japo hajui kusoma na kuandika kwani tangu alipoapishwa hajawahi KUULIZA swali wala kuchangia kwny vikao vya COUNCIL. Hivyo Basi viongozi wachama wamumpa tahadhali kama naye atajiunga na kundi la MMEWE na MWANAYE kukichafua CHAMA basi naye atafukuzwa UANACHAMA na kukosa UDIWANI vilevile ameambiwa ajifunze kusoma ili aweze kuwa na mchango katika HALMASHAURI.

SOURCE MIMI NILIKUWEPO

Mkuu yaani baada ya miaka mitatu ndio mnagundua kwamba huyu mama hajui kusoma wala kuandika?
 
Sometimes hata mimi nafika mahali na kuhoji umakini wa chama changu kwenye maamuzi muhimu kama haya(kama ni kweli)

kilicho fanyika mwaka 2010 ni mwanachama yoyote akioba kugombea na akakosa mpinza ndani ya chama basi ndiyo huyo atasimamishwa..
 
ila mimi nafurahi haya yamewakuta mapema, watajuta wakati wanaona nchi inaongozwa na CDm hapoo 2015. kweli tamaa mbaya
 
Hawa watu wa Mbozi na ujasili wao wanakwenda wapi sasa?
 
Back
Top Bottom