Pengine wengi hatujui hili. Kadhalika sikuwahi kusikia sherehe za kuzaliwa chama chetu pendwa.
Ni wakati sasa walio wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA kujua hili na kuwa na siku maalum...
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema, amesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekuwa ikila rasilimali za wananchi kwa mikono miwili bila kunawa tangu...
Kitendo cha mwenyekiti wa Tume ya kuratibu maoni ya katiba joseph warioba kuwapiga marufuku waandishi wa habari na vikundi mbalimbali vya kijamii kuchukua details kuhusu maoni ya wananchi na pia...
Katika gazeti la Tanzania Daima la leo tarehe 15/2/2012 Mwanakijiji anataka tuamini kuwa sera zinapolingana basi upinzani unatakiwa usiwepo na vyama vinatakiwa kuunganisha nguvu kutekeleza sera...
Baada ya mbunge kijana Joshua Nassary kutimiza moja ya ahadi zake ya kurudisha soko la mbuguni tena, wananchi wa kata ya mbuguni na sehemu za jirani wanangoja kwa hamu kurejea tena kwenye soko lao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kinafanya mkutano na waandishi wa habari muda huu.
Mkutano huu unaongozwa na Sekretariati ya CHADEMA ambayo wiki iliyopita ilikuwa imejichimbia mkoani...
Naibu Katibu Mkuu, Mwigulu Nchemba, yupo Channel Ten
katika maadhimisho ya miaka 36 ya CCM, badala ya kuelezea
mambo yaliyofanywa na CCM kwa miaka 36 kama anavyoulizwa
na mtangazaji yeye kazi...
Mwanzo nilidhani ni umbeya tu wa kawaida lakini nimeamini ni kweli baada ya mwenyewe Dr Slaa kukaririwa na vyombo vya habari kuwa ni kweli alijikopesha toka kwenye ruzuku ya CHADEMA shs 20m na si...
Mh mwenyekiti,kutokana na mwenendo mbaya,na mwelekeo usio na matumaini kukithiri ndani ya chadema na kuhatarisha ustawi na uhai wa chama,binafsi kwa nia njema kabisa na kwa ajili ya maslahi ya...
Ndugu wanaJF,
Kwa muda mrefu kumekuwa na tuhuma za ufisadi dhidi ya Diwani Janeth Rite wa kata ya Kunduchi (CHADEMA) Manispaa ya Kinondoni. Na hata hapa JF tuhuma hizi zimejadiliwa mara kadhaa...
- Wakuu wote JF heshima mbele sana, nimekuwa nikisumbuliwa sana na swali moja tunalalamika sana kuhusu matatizo ya uongozi wa CCM kwa taifa letu. Ni miaka 47 sasa CCM imetutawala Tanzania...
Wanajamvi mwenye taarifa sahihi anijuze! hivi ile kesi ya makada wa chadema walioshtakiwa kwa kosa la mkusanyiko na maandamano bila kibali jijini arusha bado inanguruma!? Au nini kilijiri manake...
Ni katika kipindi cha malumbano ya hoja ITV sasa(tatizo la upatikanaji wa mikopo ya kuwezesha vijana kiuchumi,Nini kifanyike?)!frankly speaking JJ yuko vizuri na systematic sana!he's the best...
Bei ya Unga wa Mahindi kupungua kutoka Sh1,500 hadi 900 kwa kilo
January 23, 2013 | Na Nora Damian wa gazeti la Mwananchi
BEI ya unga wa sembe mkoani Dar es Salaam inatarajia kupungua kutoka...
Hivi sana kumekuwa na malubano ya kidini baina ya waislamu na wakristo mifano ambayo inaonekana kwa macho-kuchomwa makanisa,matamko balimbali,dini kukashifiana,uamsho na mengine mengi na sasa hivi...
I must say that am keen visitors to this forum and I like reading what JF Members are saying. Some folks in here like Mzee Mwanakijiji raise very interesting political issues that if they are well...
Hotuba kali ya saa moja iliyotolewa na kamanda ALPHONCE MAWAZO Jumamosi ya tarehe 19 mwezi huu katika viwanja vya MINAZI MITATU katika kata ya KITANGIRI ilipandisha hasira kali kwa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.