Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu ningependa niwape Taarifa sahihi kuhusu bwana Abdallah Ngajurage aliyejitangaza kwamba alikua ni Mwenyekiti wa CHADEMA Kibaha Vijijini na ameamua kurudi CCM kutokana na kuchoshwa na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa kitendo cha sisi tuliobahatika kuujua ukweli juu ya ubaya,udhalimu, na kila aina ya uovu wanaotendewa watanzania wenzetu na CCM vikiwapo hata uuaji wa wapigania haki za walio wengi(Mwangosi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza kimeonywa kuhusu mwenendo wake wa kumtumia Meya wa Halmashauri ya Ilemela, Henry Matata, kama turufu yao kisiasa dhidi ya wapinzani wao kwa kuwa hatua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Neno Fupi La Usiku Huu; Kitanda Ulichotandika Ukilalie! Ndugu zangu, Mwingine ataniuliza, "je, nilichotandika ni sharti nikilalie?" Jibu; hakuna lazima ya kufanya hivyo, japo ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kupata elimu kuhusu mirabaha mbalimbali inayofanywa kuhusu rasilimali zetu kama madini na vinginevyo.mfano mzuri ni madini tunapata 3%. Je hii ni sawa na kiasi gani cha pesa? Au ni mapato...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naiomba serikali yangu kiziwi isikie hili. 1. Kwa Sababu serikali ya ccm imezembea mpaka Hali imekuwa tete kwa wananchi kutoiamini serikali na vyombo vya dola. 2. Kwa sababu serikali ya ccm...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Chadema HQ, Napenda kutoa taarifa kwa chama ya kwamba Watanzania waishio Botswana wameamua kuunga mkono juhudi za kuleta mabadiliko zinazoendelea ndani ya taifa letu. Tumeamua hivyo kwa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Imeandikwa na Bart Mkinga. Hivi karibuni kampuni ambayo kati ya wamiliki wake ni-Abrahaman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM, ilihusika na usafirishaji wa pembe za ndovu kinyume na sheria za nchi...
23 Reactions
109 Replies
8K Views
Wananchi wa kibiti wameziba barabara kwa mawe na magogo kutokana na kitendo cha polisi kumpiga hadi kumuuwa mwananchi mmoja hapo jana,mabomu ya machozi yanapigwa na polisi wanazidi kuongezeka toka...
5 Reactions
144 Replies
15K Views
Great thinker mmoja wa Jf ajulikanaye kwa jina la RICARDO KAKA amefikiri kwa kina na kuja na hitimisho la kisomi ambalo na mie namuunga mkono 100% na CCM na serikali yake inabidi walizingatie na...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Watanzania tumebaki kulalamika juu ya matukio ya vifo vitokavyo na polisi wa nchi hii.NCHI NYINGI DUNIANI POLISI HAWAHUSHKI KABISA NA MAUAJI YA RAIA.Sasa Tanzania imekuwa ni kawaida tu na mzaha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu Mwkt wa vijana taifa BAVICHA alikuwa Diwani wa CHADEMA akiwa mwaka wa pili chuo cha SAUT Pambana kamanda HECHE source, Wall page yake
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama cha Tanzania legion and Club(TLC) cha maaskari wa K.A.R waliopigana vita ya pili ya dunia wanailaumu serikali kwa kuwatelekeza na kuwaacha wakihujumiwa mali zao. Tangu chama hiki kianzishwe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Macho na Masikio ya Watanzania mwisho wa wiki hii yataelekezwa Dar-es-Salaam ambapo Chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kitafanya vikao vyake vya Kamati Kuu na Baraza Kuu.Vikao hivi...
21 Reactions
122 Replies
9K Views
Mbunge wa Arusha mjini Mh. Godbless Lema leo amesitisha wanafunzi wa shule ya Korona Secondari iliyoko kata Ongutoto wilaya ya Arusha. Korona inayopaswa kuwa na wanafunzi 1,200 lakini kwa sasa ni...
12 Reactions
189 Replies
19K Views
Inasikitisha sana kuona vijana wanakosa umakini kiasi hiki. Binafsi nasikitika zaidi inapoelezwa kuwa hawa vijana wa akili hizi ndiyo "ndege mjanja" alidhani wangeweza kufanya naye kazi ya...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais Kikwete alikuwa katika ziara ya kikazi nchini Ufaransa kufuatia mwaliko wa rais mwenzake Francois Hollande (Ufaransa). Katika safari hiyo;miongoni mwa mambo mengine, Rais alifanikiwa pia...
1 Reactions
74 Replies
6K Views
Napenda nirudie tena JOSHUA NASSARY BADO HANA MSINGI MERU kwanini nilisema kuwa kijana anapambwa na watu wana mwambia ni jembe lakini hamna kitu anaangaika na mambo yasio na msingi na nasema...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Mimi sikuzote naamini ushindi wa mgombea ni ushindi wa chama husika, lakini takwimu hizi za huko kigoma katika jimbo la zitto kabwe zimenishangaza kidogo uchaguzi wa 2005 kikwete alipata zaidi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu, kwa nia moja kwa nguvu moja tuwatoe CCM madarakani kabla ya 2015 ili wasizidi kuiua nchi yetu. Umaskini unazidi kuongozeka, Gadaf alitawala miaka 41, walau yeye nchi yake...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom