IMF yashushua Serikali

IMF yashushua Serikali

Joined
Jan 18, 2013
Posts
51
Reaction score
47
"Governments must learn to be SERVANTS and not MASTERS ... and people must be taught how to hold their governments accountable" - by IMF. Serikali za kiafrika zina cha kujifunza?
 
"Governments must learn to be SERVANTS and not MASTERS ... and people must be taught how to hold their governments accountable" - by IMF. Serikali za kiafrika zina cha kujifunza?

Hatuna tatizo la kujifunza! Tunatatizo la ubinafsi tena wa level za mimi mwenyewe acha watoto wa kuwazaa mwenyewe!!!!
 
Tafadhali weka nukuu hiyo in its original context. Is there any link?
 
Hamajaeleweka kwakweli, mnaweza kudetail hyo kitu zaid?
 
IMF wangekufa kufanya study namna CHADEMA inavyowafundusha watanzania kuisimamia serikali yao barabara. Hata kikwete anaweza akasaidia kuwapa maelezo japo kwa ufupi, si yuko pande za huko huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom