Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndiyo wakuu Hapa nawapa taarifa za kusikitisha sana .Kumetokea mauajia ya Watanzania 3 juzi usiku wakiwa wanavua samaki .Wavuvi wametokea maeneo mjini na ziwani ni huru kuvua.Kuna kikundi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila ninaposikia kelele dhidi ya JK nakumbuka wimbo mmoja wa zamani unaosema "sasa walia nini, shauri yako mume ulimchagua mwenyewe" Hadi sasa nashindwa kuelewa kwa nini Watanzania walio wengi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Moja ya mambo yaliyoshika kasi kwenye vyombo vya habari takribbani wiki mbili sasa ni suala la GAS Mkoani Mtwara. Licha ya wanaharakati mbalimbali kuonekana kama vile wamemwagiwa maji na...
42 Reactions
221 Replies
17K Views
Kwa zaidi ya mwezi sasa tumeshuhudia machafuko makubwa mkoani Mtwara, na zaidi ya yote kama ilivyo kawaida SERIKALI IMETUMIA NGUVU kuwadhibiti wananchi ambao yamkini wamekuwa na hoja za msingi, na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Eneo la ardhi kwa ajili ya kilimo, linagombewa kati ya jeshi (JKT) Kambi ya chita na wananchi walio kata ya chita wilayani kilombero. Mgogoro huo umeendelea kukua kiasi cha kutaka kuwatia watu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
"Hatufurahishwi na vurugu zilizojitokeza, hasa hatua hii ya kuua watu na kuharibu mali za viongozi pamoja na serikali, lakini CCM itambue kuwa ndicho chama dola tulichokichagua kituongoze, kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mtu mzima atakuwa na umri wa miaka 42 ana akili za ujana zakubadil fiikkra za tz Amekulia maisha ya kjana masikin wa kawaida Elimmu ya kutosha na kizaz chake akijuani kwa kulindana kama...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM ndg. Philip Mangula amekerwa na kauli ya mh. Sitta ya kutangaza NIA yake ya kuutaka Urais. Mangula alisema kitendo alichofanya Sitta cha kujitangaza hadharani si kizuri...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Rais kikwete kutoguswa na shinikizo la maandamano ya wananchi wa Mtwara kuhusu usafirishaji wa bomba la Gas kwenda Dar es Slaam ni kutokuangalia kwa makini mambo ya msingi kwa mtazamo wa kiuchumi...
15 Reactions
83 Replies
8K Views
Wanajamvi, Kutokna na vurugu zilizotokea hapa Masasi kwa siku ya jana vyombo mbalimbali vimeripoti habari hiyo ila wamepotosha kwa kiwango kikubwa. Ukweli wa tukio zima ni huu hapa: SABABU...
16 Reactions
54 Replies
6K Views
GrEatThinkers Nishati ya Umeme ndiyo Engine ya kila kitu. Kupanda kwa bei ya Umeme18% bila mishahara ya wafanyakazi kupanda kwa zaidi 18% na Pembejeo zote wakulima kushushwa chini ya 18% ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katibu wa NEC-CCM Nape NNauye ambaye vile vile ni Mkuu wa Itikadi na Uenezi, ametoboa siri ya kifo cha CHADEMA kuwa kitatokana na ubaguzi kati ya wananachama wake. Ingalau magazeti mawili...
2 Reactions
174 Replies
11K Views
Ukweli ni kuwa uthamani wa hawa tembo wanaoibiwa na kukatwa meno kila siku utaonekana pale watakapoisha,nani asiejua vifaru sasa ivi ni wa kuhesabika na tunawaona kwenye muvi tu japo walikuaga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Vurugu kubwa zimezuka katika mgodi wa madini wa SAZA wilayani Chunya mkoani mbeya sababu ikiwa wananchi wanataka madini yao yawanufaishe na kuwaondolea ufukara mkubwa walionao. Nikiongea na...
2 Reactions
136 Replies
17K Views
Sio jambo la kawaida sana wananchi kupingana na uongozi waliouweka madarakani hata kama unavurunda. Kinachotokea nchini kwa sasa ni hasira za wazi dhidi ya serikali au viongozi wake. Je ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni hatari sana tena sana na tukiacha hili likapita hivi hivi basi tutakuwa tunalea maadui wetu wakubwa ambao Mwalimu Nyerere aliwaona ni hatari kwa maendeleo ya taifa letu.Ujinga huu ambao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mchakato wa Katiba Mpya umezaa matumaini makubwa kwa watanzania wengi kwamba hatimaye hali zao za maisha zitabadilika na kuwa bora zaidi. In precept (principle), mtazamo na matarajio haya ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ina huzunisha sana kama sio kutia huruma sana kwa nchi yetu ya Tanzania kuwa hapa tulipo. Kwani tuna mali asilia nyingi sana lakini ni masikini wa kutupwa kuliko. Hii ni kwa sababu ya watu wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, Asubuhi hii nimepitia Mahakama ya Rufaa nikiwa nafuatilia jambo fulani na nikafanikiwa kuona "cause list" ya mashauri mbalimbali yatakayosikilizwa na Mahakama ya Rufaa. Shauri la Rufaa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Dr. A. Massawe is a Professional Mining Engineer and former Lecturer at the University of Dar es Salaam (Chemical and Mining Engineering Dept). I saw his comments on the ongoing saga of our...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom