Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1. Wam-take Jk asitishe ujenzi wa bandari Bagamoyo na ujenzi uhamishiwe Mtwara. 2. Mitambo ya gesi na miundo mbinu ijengwe Mtwara na wazo la kufanya kila kitu Dar es salaam likome (Dhana ya...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Matukio ya vurugu huko Morogoro na Mtwara yalikuwa mabaya kuwahi kutokea. Kinachonifurahisha ktk fujo hizo ni jinsi ambavyo hatujasikia Polisi kuwaua raia kama ilivyotokea ktk maandamano ya CDM...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wahenga walisema ‘adhabu ya kaburi aijuae ni maiti'. Dunia imewahi kuishuhudia Tanzania ikipambana vikali na Uganda katika mwaka 1979 kwa madai ya kuvamiwa na sehemu ya nchi yake katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
watu wa Tanganyika lilipokuja suala la wazanzibar kuzungumzia nchi yao na mustakbal wao waliaza kuseme hao uamsho magaidi hao al shababi hao wahuni sasa Tanganyika waisilamu wametetea gesi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Na Charles Mwankenja 28th January 2013 B-pepe Chapa Bendera za Chama cha Wananchi (CUF) inapepea nusu mlingoti kuadhimisha kumbukumbu ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hizi, Changamoto,Vurugu,Mabadiliko,Kujitambua na Ghasia (Vyovyote utakavyo ona inafaa kuita) zilizo ibuka katikati ya mwezi january Mikoa ya Kusini ni Jambo la kustaajabu sana kwa baadhi yetu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya vuruguru zilizotokea Dumila zikihusisha mgogoro wa mashamba leo nipo eneo la Wami Dakawa na kuanzia asubuhi polisi wanakamata na kupiga wananchi wa kijiji cha Wami Dakawa wakiwatuhumu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ni kweli tanzania haihitaji katiba mpya, bali quran ndiyo inayotakiwa itoe hukumu kwa wananchi wa tanzania??? Angalia picha na usome ujumbe ulioko kwenye hilo vazi la mtu huyo ninayeamini ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wote mtakubaliana na mimi kuwa treni hili halimilikiwi nna CCM, swali langu la kwanza ni je wana CCM wote walikuwa wakisafiri kwenda Kigoma walilipa nauli? Na kama walilipa wana tiketi kuprove...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MKUU wa Wilaya ya Arusha, John Mongela, ametangaza kuifungua Shule ya Sekondari Korona iliyopo Njiro kwa Msolwa ambayo juzi ilifungwa na Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, kutokana na...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
nimesoma hii habari leo nikajiuliza kwa nini kwetu imeshindikana na nadhani tukifanya kama wenzetu ndio itakuwa ni suluhisho la tatizo kwenye maeneo yenye natural gas kwa habari zaidi soma hii...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Kwanza mlianza na Azimio la Kujivua Gamba. Mkawataja na wanachama wenu watatu mliowapachika jina la Mapacha Watatu ambao ndio hasa walikuwa walengwa wa kuvuliwa gamba. Hao ni Edward Ngoyai...
0 Reactions
3 Replies
947 Views
Kwa mjibu wa Ripoti ya Habari asubuhi ya leo kituo cha BBC kimeripoti Kuwa Rais Pierre Nkrunzinza wa Burundi alilazimika kuvunja ziara yake ya Ethiopia na kurudi nyumbani kufuatia moto...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
removed
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nasikitika TBC WALICHOTANGAZA SIO Kilichotokea. Kamanda ameongea simple simple while hali imetisha sana
0 Reactions
87 Replies
7K Views
Waheshimiwa, Napendankuwapongeza timu mzima ya CDM na hasa Rais Dr Slaa kwa kukaa kimya!!! Imesaidia kwa kutopewa lawama kuwa nyie ndio mmesababisha hii vita ya Wananchi na Serikali...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Siandiki haya kuwakatisha tamaa watu wa Mtwara. Ila nikiangalia historia ya mapambano iwe ya kudai haki za walio wengi hata baadhi ya makundi kama walimu, madaktari hata makundi ya kidini, naona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natanguliza heshima mbele! Nipo tayari kupokea Kadi ya CCM na kuwa mwanaharakati endapo tu ntapatiwa majibu ya kuridhisha juu ya Swali lifuatalo. Utangulizi. Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Msafara wa KATIBU wa ccm ndg. Kinana umewasili leo mjini kigoma na kulakiwa na mamia ya wananchi na wapenzi wa chama hicho. Pia alisalimiana na viongozi wa Mkoa na Wilaya wakiwa tayari kwa sherehe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu nilishitushwa sana na kauli ya Antony Dialo,anasema mfanyakazi yeyote wa selikali akionekana anashabikia upinzani atawajibishwa lakini akishabikia CCM ruksa! Sasa ikowapi democrasia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom