Maisha yetu ni Shamba la Bibi la CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha yetu ni Shamba la Bibi la CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Dec 23, 2010.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  GrEatThinkers
  Nishati ya Umeme ndiyo Engine ya kila kitu. Kupanda kwa bei ya Umeme18% bila mishahara ya wafanyakazi kupanda kwa zaidi 18% na Pembejeo zote wakulima kushushwa chini ya 18% ni Kujilisha upepo.
  · Diesel/kerosene/Petrol nayo inapanda kiholela lakini pia mashine zao OILCOM,BP,TOTAL nk zinatumia umeme ambao nao umepanda. Bei ya mafuta yanayouzwa leo 1500Tsh ongezeko lake ni karibu 300 athari ni kwa sababu Ongezeko la TANRSCO pekeyake bila Ongezeko la Soko lenyewe la mafuta toka Ughaibuni.
  · Mazao yote yatapanda bei zaidi ya 18% kwa sababu
  1. Kuna gharama kusafirisha ambayo itakuwa juu kutokana na kupanda kwa mafuta/nauli kwa zaidi 18%
  2. Kukoboa na kusaga pia kuna gharama za umeme, hivyo hapo kuna Ongezeko la 18%
  · Bei ya maji na soda iliyokuwa inauzwa 500Tsh itakuwa 700Tsh au zaidi.
  1. Usafirishaji 18%
  2. Uzalishaji 18%
  · Bei ya bidhaa zingine kama nguo,viatu vinavyouzwa 10,000Tsh vitakuwa ni 15000Tsh au zaidi
  1. Usafirishaji 18%
  2. Uzalishaji 18%
  Maisha yetu yanazidi kuwa ya shida, maisha yetu ndiyo sehemu pekee ya kuziba mapengo. wakati hao hao ndiyo wanaosamehe makampuni ya nje
  Inashangaza sana kuona hawa jamaa tukisema waongeze mishahara wanakuwa wakali wakati wengine wanachezea na kufuja rasilimali zetu.
  Wakati mimi graduate wa Degree ya Kwanza Napata TGS D kama Tsh.400,000 bila makato hapo hapo kilaza ambaye ni jamaa wa hao hao mafisadi anaingizwa Bungeni kazi yake kugonga Mabenchi na kushabikia upuuuuzi huku akilamba zaidi ya 7million na Shangingi la 200mil.
  Baada ya EWURA, watakuja SUMATRA maisha yetu ndiyo kichwa cha mwendawazimu, maisha yetu ni Shamba la bibi
  Muda umefika kwa watu wa Kibirizi, Uvinza na Ujiji -Kigoma nao kuhoji Why?????????
  Muda umefika kwa watu wa Uyole na Vwawa-Mbeya nao kuhoji Why??????????
  Muda umefika kwa watu wa Daud na Dongobesh-Manyara kuhoji Why????????
  Muda umefika kwa watu Kirumi,Majita na Kiabakari-Mara kuhoji Why????????
  Muda umefika kwa watu Kimanzichana, mwanambaya na Vikindu-Pwani kuhoji Why?????????
  Muda umefika kwa watu wa Kirando, Namanyere na Kala-Rukwa kuhoji Why????????

  Peopless....................Power
   
 2. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,
  Hayo yote tuliyaona na kutahadharisha.
  viongozi wetu wala hawajali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. n

  nyantella JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wewe kama umejiriwa serikalini you are a part and percel of the problem! umeajiriwa utumie utaalam wako kurekebisha hayo usemayo badala yake unalalamikia mshahara wa TGSD, kwani hukuona sector binafsi au uwe mwanaharakati au mwanasiasa??

  Kama mtumishi wa umma ni aibu watu kama wewe ambao wako katika ofisi za serikali na hawatekelezi wajibu wao kwa madai etu wabunge wanapata mshahara mkubwa ni mzigo mkubwa kwa hao woote unawaambia waseme why!!, wanakulipa mshahara kwa kodi zao ili utoe huduma unakuja kuandika pumba humu!! shame on you civil servant and the likes of you!!!
   
 4. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2013
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,797
  Likes Received: 1,339
  Trophy Points: 280
  Whyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy?
   
Loading...